Pool Table
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 1,680
- 2,891
Mkuu kumbe hapa ndo maskani yakoMimi naenda kulala, hata hamu ya kuangalia mechi zingine sina
Natumaini hii ni group stage, na natumaini kuwa tutabounce back kwa mechi za Salzburg na AC Milan pamoaj na marudio yote
Pengine tumefungwa leo ili tujitambue kuwa tuko kwenye European Champion League







Nyie cheltako wajinga nyie yani leo nilijua uwakika mnashinda nikaweka mzigo wa kutosha yani mpaka sasa siamini takataka nyie mmechana mikeka yangu zaidi ya 8 umbwa nyie takataka chafu za dampo bladiful,fuseki.
Wenzenu wana-possession nyie mna positionNasikia TT mazoezini hafundishagi jinsi ya kushambulia.
Kipaumbele chake mazoezini ni ball position.





Mm shabiki wa Chelsea nakupa hongera sana, hujakaa kinyongeSiku moja moja una test zali Kwa Cheltuchel ili kujua je yaliyomo yamoView attachment 2348147
Huyo Tom Boy wenu (Thomas) hapo darajani haondoki leo wala kesho, atahakikisha anawasaga vizuri mpaka mshuke daraja.TODDY BOEHLY atafute kocha mwingine, masikio makubwa atupishe
Kweli, inauma ila ndio mchezoNafikiri umeona sababu ya kukaa kimya
Chelsea mabegi yao yalipotelea airport hizo jezi walizovaa leo wamenunua Tandika na viatu wamechukua karume ni oversize ndio maana hata mpira ulikua haukai vizuri miguuni.Nyie cheltako wajinga nyie yani leo nilijua uwakika mnashinda nikaweka mzigo wa kutosha yani mpaka sasa siamini takataka nyie mmechana mikeka yangu zaidi ya 8 umbwa nyie takataka chafu za dampo bladiful,fuseki.
Umemsahau Ten Hang falsafa yake 1,2 & 3.Narudia tena
Top managers wa EPL wana falsafa, TT falsafa yake ni ipi
Kama ni defensive tusingefungwa
- Klopp direct football
- PEP Possesive football
- Conte - Counter attck football
- Thomas Tuchel?? anategemea mbinu mbinu zinazobadilika na ambazo hazieleweki kwa wachezaji. Ndio maana timu haina consistency na bado kuna mashabiki wanamtetea apewe mitani tena. Huyu ni kocha wa msimu mmoja ukizidi sana miwili halafu afungashiwe virago vyake. Huyu akifika Desemba nyota yake itakuwa nzuri sana
Wanataka kumfukuzisha kocha. Angalia cheza yao ndio utajua TT hafiki KrismasiApproach haijabadilika, first half na sasa second half, wachezaji wako kizembezembe tu
. Wanacheza slow na unyoronyoro wa hali ya juu.Kamanda nakupinga ulivyosema TT kabahatisha kuchukua Uefa kwasababu ukiangalia team zote tulikutana nazo tuliwadominate mfano A.Madrid tulimpiga nje ndani na si kufunga tu natulipa mpira mwingi, Angalia game na Real Madrid kama unakumbukumbu nzuri tulimpiga kwa kudominate tulitoka sare ya 1 kwa 1 lakini tulipiga mpira mwingi hata walivyokuja darajani kama tungetumia nafasi vizuri ile game Madrid angefungwa si chini ya goal 4 hata final na Man city tulicheza vizuri na ndio msimu tulimfunga city game zote tatu tulizokutana nae.Shida ya TT kinachomcost nikuacha aina ya mpira uliyotupa mataji sasa hivi hatuchezi lile soka Tena tumekuwa slow, back pass na side pass nyingi.Tuchel Ni kocha wakawaida Sana , alibahatika kubeba UCL kwa kikos alichoandaliwa na Lampard,
Kwenye michuano ya Tournament hata Julio Jamhuri kiwelo anaweza kubeba UCL ,
Michuano ya Tournaments mara nyingi huwa ya ubahatishaji Sana, ndio maana Ni rahisi timu iliyokuwa mbovu kubeba kombe , Ulishawahi jiuliza Ferguson miaka 26 aliyokaaa man u amebeba UCL mara 2 tu Tena chupu chupu yote mawili
Ndio maana Tuchel amefanikiwa kufanya vzr kwenye michuano ya Tournaments Kama FA,CARABAO akifika fainal NA UCL akabeba, wapo makocha wa hivi wengi
Ndio maana leo unaweza kujiuliza yupo wapi Dimateo, yupo wapi Avram Grant aliyefika fainal UCL? muangalie Unai emery mpira atakaokupigia kwenye tournaments, mlete kwenye mbio ndefu anavyopoteana
Hivi unaweza kuamini unai emery aliyefanya vzr kwenye Europa League mara kibao ,na UCL kufika nusu Fainal msimu huu anacheza conference league? Na miaka yote kwenye Ligi ya Spain ameingia top 4 mara 1 tu 2010.
Makocha wa hivi ndio kina Tuchel, mpira wa Knockout stages anauleta kwenye league mbio ndefu ,
Kwa uchezaj ule sioni tusipobadilika haraka tunaenda ueropa.Mimi naenda kulala, hata hamu ya kuangalia mechi zingine sina
Natumaini hii ni group stage, na natumaini kuwa tutabounce back kwa mechi za Salzburg na AC Milan pamoaj na marudio yote
Pengine tumefungwa leo ili tujitambue kuwa tuko kwenye European Champion League
Binafsi sikumuelewa TT kwanini alibadilisha aina ya soka lililotupa matajiKwa uchezaj ule sioni tusipobadilika haraka tunaenda ueropa.
Salzburg sio game rahisi,
Msim ulipita tulikuwa tunacheza vizuri shida tuliyokuwa nayo ilikuwa ni kumalizia chance tunazopata ila msim huu hatucreat chance zozote zaidi ya kupiga pass zisizokuwa na kichwa wala miguu, no desire ya kutafuta magoal.
Tukianza fungwa hatuna uwezo wa kushinda zaidi ya kudraw/kulose yani tunapoteana kabisa.