Mbona nishatabiri mkuu kwamba tuchel amalizi msimu.Kafungua mlango wa makocha kuchoropokea, watafuata wangapi, msimu uliopita makocha 10 (nusu ya makocha epl walifukuzwa)
Msimu huu sijui watakuwa wangapi na nani atafuata baada ya Scott
View attachment 2339775
Pia Kennedy na Batshuay wamepewa namba hakuna timu zinazowatakaBilly Gilmour kaitwa kwenye mazoezi ya maandalizi dhidi ya Soton na pia kapewa namba ya jexy kwa msimu huu no 35
View attachment 2339750
Ten Hag vipi, vipigo viwili mfululizo, atabaki kweli. Vikiongezeka vipigo zaidi??Mbona nishatabiri mkuu kwamba tuchel amalizi msimu.
Halafu na hizi mechi nyingi kwa wiki zinachezwa 3, utakuja kukuta wanaisaidia timu kwenye mkwamo wakati fulani. Wakawa kama trekta inayokwamua gari iliyonasa kwenye topePia Kennedy na Batshuay wamepewa namba hakuna timu zinazowataka




Uniombe msamaha, mimi ni very very senious hapa, 90%+ mnastahili kunipa shikamoo hapa, keyboard inakufanya unione niko sawa na weweUwo ni ujana ndo unao kusumbua.... anyway mkuu tujadili megine haya tu ache najua wewe upendagi defeat, ila sie sote ni blues na tuna kutegemea sana kwa your out sourcing information unatupa update kwa wakati, Thanx tunatumbua mchango wako Lembu.
Uniombe msamaha, mimi ni very very senious hapa, 90%+ mnastahili kunipa shikamoo hapa, keyboard inakufanya unione niko sawa na wewe




inawezakana kujua kitabu yaliomo kwa kuangalia jalada lake tu, uongo mkuu?Nasikia Kopva bado hana fitness ya kuanza so twende naLeo Kai akianza badala ya Broja, tuanzishe thread ya Tuchel OUT
Twende na hii line up
Sterling ----------------- Broja --------------- Mount
Cucurella --------- Kovacic ----------Cheek ------- James
Koulibaly ----------------- Silva ------------------ Azpilicueta
----------------------- Mendy -----------------------------
AU
Sterling ----------------- Broja --------------- Mount
Chilwell --------- Kovacic ----------Cheek ------- James
Cucurella----------------- Silva ------------------Koulibaly
----------------------- Mendy -----------------------------
Usitegemee chochote mkuu kai lazima huyu kocha amuanzisheLeo Kai akianza badala ya Broja, tuanzishe thread ya Tuchel OUT
Twende na hii line up
Sterling ----------------- Broja --------------- Mount
Cucurella --------- Kovacic ----------Cheek ------- James
Koulibaly ----------------- Silva ------------------ Azpilicueta
----------------------- Mendy -----------------------------
AU
Sterling ----------------- Broja --------------- Mount
Chilwell --------- Kovacic ----------Cheek ------- James
Cucurella----------------- Silva ------------------Koulibaly
----------------------- Mendy -----------------------------
Mtoe mount weka Ziyech au PulisicNasikia Kopva bado hana fitness ya kuanza so twende na
Sterling ----------------- Broja --------------- Mount
Cucurella --------- Jorginho ----------Cheek ------- James
Koulibaly ----------------- Silva ------------------ Azpilicueta
----------------------- Mendy -----------------------------
Mkuu hapo tofauti ni ipi kwa hao wachezaji watatu tuchambulie kdgo tafadhariMtoe mount weka Ziyech au Pulisic
Mount kashuka kiwango ndio maana nimependekeza asianze Pulisic ana kiasi anaweza kusumbua mabeki lakini pia mzuri kufanya movement ndani ya box na akiwa kwenye form ni mfungaji mzuri ingawa sometimes anakosa magoal ya kiboya lakini ni Bora kuliko acheze Mount ambaye hakuna chochote alichofanya kwenye mechi zote alizocheza si kufunga si assist, Ziyech namkubali kwasababu anauwezo wakutengeneza chances na kitu ambacho tunakihitaji na combination yake na Sterling itakuwa poaMkuu hapo tofauti ni ipi kwa hao wachezaji watatu tuchambulie kdgo tafadhari
Sasa huyu zienchy wako mwambie awe anarudi nyuma ku-defend hiyo tabia yake yakupoteza mpira na kusimama epl itamshida epl ina intensity labda Ajax......ila ni mchezaji mzuri ila anachelewa kusoma mchezoMount kashuka kiwango ndio maana nimependekeza asianze Pulisic ana kiasi anaweza kusumbua mabeki lakini pia mzuri kufanya movement ndani ya box na akiwa kwenye form ni mfungaji mzuri ingawa sometimes anakosa magoal ya kiboya lakini ni Bora kuliko acheze Mount ambaye hakuna chochote alichofanya kwenye mechi zote alizocheza si kufunga si assist, Ziyech namkubali kwasababu anauwezo wakutengeneza chances na kitu ambacho tunakihitaji na combination yake na Sterling itakuwa poa
Ziyech kupata namba sasa ni ngumu hadi dirisha lifungwe kama anabaki akili yake itulie. Labda kocha amjaribishe Ziyech krosi zake zinaweza kumnufaisha SterlingMtoe mount weka Ziyech au Pulisic
Wazo lako litakuwa na afya ikibase kuwa rotation inaweza kuamsha form ya wachezaji, ila mimi labda ZiyechMount kashuka kiwango ndio maana nimependekeza asianze Pulisic ana kiasi anaweza kusumbua mabeki lakini pia mzuri kufanya movement ndani ya box na akiwa kwenye form ni mfungaji mzuri ingawa sometimes anakosa magoal ya kiboya lakini ni Bora kuliko acheze Mount ambaye hakuna chochote alichofanya kwenye mechi zote alizocheza si kufunga si assist, Ziyech namkubali kwasababu anauwezo wakutengeneza chances na kitu ambacho tunakihitaji na combination yake na Sterling itakuwa poa