Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 44,177
- 104,785
Bila shaka umeandika ili tufurahi, anyway Nmecheka.Nyie kenge msijisahaulishe leo timu lenu la watovu wa nidhamu lipo uwanjani likijiandaa kupokea kipigo toka kwa Soton, beki nguli ya dunia Koloboi Kalabai pamoja na kocha mahiri wa Judo Thomas Tuchelewe zitakuwepo uwanjani baada ya kumalizia adhabu zao za utovu wa nidhamu.
Leo sijui kenge gani nyingine itakula umemeView attachment 2339663
Mm namkubali Foden kinomaKatika hii list ya competitors wa Masaon Mount
ni Bukayo Saka na Jadon Sancho tu ndio wanaweza kulingana au kumpita kidogo Mount kwenye general performance tena Sanchos mpaka uchukue takwimu za Bundelsiga, EPL bado hajamfikia Mount
- Bukayo Saka
- Phil Foden
- Jadon Sancho
- Marcus Rashford
- Martin Ødegaard
- Gabriel Martinelli
- Emile Smith Rowe
