lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,380
- 25,482
Wivuuuu! puuuuBaada ya josko,timu itakua hiviView attachment 2340268
Wivuuuu! puuuuBaada ya josko,timu itakua hiviView attachment 2340268
Leao kwa dirisha hili imekuwa ngumu.ZAHA tena.!? Hiyo takataka ije kufanya nini sasa, kwan usajili wa Rafael Leao uliishia wapi?
Leao bei yake 120m+
Halafu kuna watu hapa wanafagilia sana huyu kichaa, mimi nathani atakayemuondoa TT Chelsea kabla ya World cup ni Havertz. Badala ya mechi kama hizi angempa Broja acheze tena anwafahamu vizuri hawa Soton, unakuja kumpa kichwa cha mwenda wazimu. Ndio maana Havertz hachezi vizuri, anajua hata akicheza vibaya atapangwa tuEeh! Kaanza, Cucurella leo anacheza katikati.
Silva age isha tho bado ni bora til now bado haijajulikana kama ataongeza mkataba o not,Baada ya josko,timu itakua hiviView attachment 2340268
]Naona tukicheza 343/4222 hybrid.Eeh! Kaanza, Cucurella leo anacheza katikati.
CM na DM zinaingiliana, CM mzuri ni lazima ajue kudifendChukwemeka siyo DM
JUST IN: Chelsea have offered €18M/season net salary to Frenkie De Jong.
@gerardromero []
Twende na 343, akiwepo Azpi hiyo ndio inafaa kwa sababu pale katikati sio salama kabisaNaona tukicheza 343/4222 hybrid.
Kama tulivyocheza zidi ya spurs away carabao msim uliopota
Kuna maajabu yatatokea tarehe 1 September 2022, tusubiri tuone. Usishangae CR7 au Neymar pu akatua darajani ila mimi ningependa Neymar zaidi ya CR7Hili dili sidhani kama litatimia. Nadhani nguvu kubwa imewekwa kwa Auba
CM na DM zinaingiliana, CM mzuri ni lazima ajue kudifend
Kova anacheza CM na Kante CM (japo yeye ni DM)
na pia nadhan i formation ya 343 haina DM ina CM tu
Tangu enzi za Sarii Kante anacheza kama CM, akaja Lampard akamchezesha kama Attacking Midfielder
So Chukwemeka anatakiwa kucheza zama hizi za majeruhbi ili kuinua kiwango chake, Mbona Gavi amekuwa regular starter kwenye timu kubwa kama Barcelona na ana miaka 18 tu
Kwa nini sisi tusiwaanzishe hawa wadogo tuliowasajili ili wazoee, ni lini tutawarizisha mikoba?
Chelsea's Hudson-Odoi joins Leverkusen on loan