Kocha anakera kweli kweli, wachezaj wengine wasipoperform wanaozea benchi ila wengine kama kina mount, Havertz, kubwa jinga Jorg. bado wanapewa tu nafasi, Gilmour ni bonge la mchezaji akiaminiwa na kipewa nafasi.Kuna vitu vingine kocha anatuangusha Sana jorginho anazingua kila game lakini kocha anaendelea kumuamini hivi kwanini hiyo nafasi usimpe Gilmour? mount na kai wote kwa pamoja hakuna hata game 1 walioperform vizuri lakini kocha kawan'gan'gania as if hatuna wachezaji wengine kwenye hizo nafasi.kwa hali hii inawadisappoint hata wachezaji waliokwenye benchi Kuna haja gani yakumchezesha kai winger wakati una mawinger halisi odoi na Pulisic
Chalobah hajawahigi kuwa beki mzuri, hata akipewa games 1,000. Ana mapepe flani hivi.Jana Chalobah alikuwa ni uchochoro ni Kwa vile Leicester city walikuwa nao wazembe kwenye umaliziaji
Huyu ndio kirus ch kutokufanya vizur pale chelsea. Tungempata De jong, tungekua tumemaliza shida zote.Magoli mengi tunayofungwa ni Kwa ajili ya Aisha Jorginho kushindwa kudefend au kulpoteza mpira kizembe
Kombe la dunianiView attachment 2337954
Mwezi wa 10 kuna mchakamchaka siyo wa nchi hii.
Mwezi wa 10 tunacheza match 9, Mwezi wa 11 tunacheza match 4 ndani ya siku 10.
Tunahitaji kusajili aiseee, Maana pancha zitafululiza tutajuta.
Hii ni kwa wote wanaoshiriki ucl + ueropaView attachment 2337954
Mwezi wa 10 kuna mchakamchaka siyo wa nchi hii.
Mwezi wa 10 tunacheza match 9, Mwezi wa 11 tunacheza match 4 ndani ya siku 10.
Tunahitaji kusajili aiseee, Maana pancha zitafululiza tutajuta.
Ronaldo kwa mfumo wa tt hafai aseh labda la muda tu...aubemayang ndo option aliyebaki...au wamwamini broja kama central srtikerMwisho wa siku TT apende asipende tutamrudia Ronaldo tu- Jorge Mendez anahangaika sana. Nasikia karudi tena Chelsea
Hatuna striker na tunashida naye na anweza kutupa magoli
Apunguze mshahara wake tumbebe
Haya maoni yangu tu
Tuna shida muda hauko Auba hauzwi tena kwa sababu Kounde kashasajiliwa Laliga. Man city hawamuuzi tena Benardo Silva. Barca naona hawana busines ya kufanya tena. Wenye shida ni sisi
Tufunge roho tu tumbebe Ronaldo kwa muda mfupi
Asanteni sana kwa kuwasilisha
Kwa hiyo ni Mali bluz man?Fofana to US for extra medical check up. Usajili wake utacheleweshwa
Ndiyo....Kwa hiyo ni Mali bluz man?

Waliendekeza uingereza wao, ndo shida ile ile ya Mount wana m over rate na media zao kwamba atakua poteial first class player, wakati Mount ni mchezaji wa kawaida kutoka academy wangetupisha tupate wa Brazil wenye vipaji vya mpira asiliaLampard amchukue mwanae sasa yuko Free. Heri kwake uko aendakoView attachment 2338808
Halafu alikuwa nalipwa pesa nyingi Paundi 200,000/wiki?Lampard amchukue mwanae sasa yuko Free. Heri kwake uko aendakoView attachment 2338808
Mason Mount bado ni mchezaji mzuri na ameprove hivyo misimu mitatu aliyocheza. Takwimu zake zinamlinda hata asemwe vipi. Na sijui kwa nini Mount haeshimiwi hata kule Uingereza walimsema sana hivi hivi na akabeba uchezaji bora mara mbili. Drop form ya mchezaji ni kawaida tena at that young age. Tusajili tu competitor wake utaona uzuri wake badala ya yeye kila mechi anacheza hadi anakuwa anachokaWaliendekeza uingereza wao, ndo shida ile ile ya Mount wana m over rate na media zao kwamba atakua poteial first class player, wakati Mount ni mchezaji wa kawaida kutoka academy wangetupisha tupate wa Brazil wenye vipaji vya mpira asilia
Waliendekeza Uingereza kama ambavyo TT anaendekeza Ujerumani kwa Kai.Waliendekeza uingereza wao, ndo shida ile ile ya Mount wana m over rate na media zao kwamba atakua poteial first class player, wakati Mount ni mchezaji wa kawaida kutoka academy wangetupisha tupate wa Brazil wenye vipaji vya mpira asilia
Magoli mengi tunayofungwa ni Kwa ajili ya Aidha Jorginho kushindwa kudefend au kulpoteza mpira kizembe
Nimempenda uchambuzi wako na subilia unitajie hizo heshima za manson Mount alizo leta Chelsea anazo sitahili, kumzidi James, covici au Kante, tusifuate ushabiki wa media za uingereza, huyu Mount kwa umri wake anapaswa awe kwenye peak kwa kupanda sio kwa kushuka. Naomba ufanye uchambuzi mdogo huyu best player Mount ukimpeleka Liverpool atamkosesha nani number kwenye 1st eleven yao.Waliendekeza Uingereza kama ambavyo TT anaendekeza Ujerumani kwa Kai.
Anyway, jaunty Mason, mashabiki walimuita coach's pet lakini alionesha uwezo mkubwa sana hata baada ya Lamps kuondoka hadi sasa. Huwezi kuperfom kwa kiwango kile kile kila siku. Katika kila nyanja kuna kushuka na kupanda. Mason apewe heshima na sifa anazostahili kwasababu ameifanya kazi yake vyema kadiri alivyopewa nafasi.
Mkuu hamna alie sema kwamba ni mbaya hapana, Chelsea ndo kubwa kwake, hawezi kua key striker wa team kubwa kama Chelsea, linganisha na top 4 epl team wenye strker kama huyu ..... Mount anapaswa kua key striker wa middle table team kwa Chelsea is over rated, kocha kama Jose morinuo hawezi kumpanga first eleven yake, huyu ni media playerMason Mount bado ni mchezaji mzuri na ameprove hivyo misimu mitatu aliyocheza. Takwimu zake zinamlinda hata asemwe vipi. Na sijui kwa nini Mount haeshimiwi hata kule Uingereza walimsema sana hivi hivi na akabeba uchezaji bora mara mbili. Drop form ya mchezaji ni kawaida tena at that young age. Tusajili tu competitor wake utaona uzuri wake badala ya yeye kila mechi anacheza hadi anakuwa anachoka
Kumuweka mtu benchi hii ni comparizon ya kizamani mno. Kila mchezaji an uwezo na udhaifu wake, peculiar talents zinazomfanya ushindwe kumlinganisha na mwingine. Mason Mount kwenye attacking phase ni mchezaji wa caliber ya juu sana ndie atakayemfanya sub - yaani aanzie benchNimempenda uchambuzi wako na subilia unitajie hizo heshima za manson Mount alizo leta Chelsea anazo sitahili, kumzidi James, covici au Kante, tusifuate ushabiki wa media za uingereza, huyu Mount kwa umri wake anapaswa awe kwenye peak kwa kupanda sio kwa kushuka. Naomba ufanye uchambuzi mdogo huyu best player Mount ukimpeleka Liverpool atamkosesha nani number kwenye 1st eleven yao.