Ndg huna hata haya kumlinganisha KDB na Mount, ndio maana nikakuambia with limits. Nilijua tu kwa uchanga wako wa mpira utamlinganisha KDB na Mount
KDB ana miaka 31 na miaka mingi kwenye football, with a lot of experience kwenye hiyo fani
So shame for this comparizon
Mount ndio kwanza anaanza career yake ya mpira
Wataalamu wa mpira wanadai mchezaji anaanza consistency ya mpira wake 23yrs and above. Mount ndio kwanza yuko 23yrs na career yake ndio inaanza msimu huu, best performance aliyotupa under 23 ni bonus tu
Mchezaji anafika peak ya mpira kati ya 25-30, kwa wengine late 30s
Mount bado ana miaka miwili hadi 7 afikie peak yake ndio umlinganishe na KDB ambayer anamalizia peak period yake kweli kweli!
Nasikitika sana ni hiyo analysis yako inakuonyesha kuwa mpira bado sana
Halafu aliyeleta issue ya striker ni wewe ukimtaja Mount anafaa kuwa striker wa midtable team au umesahau tena, nimequote ulivyosema
Wachezaji wa kumlinganisha na Mount ni
- Bukayo Saka
- Phil Foden
- Jadon Sancho
- Marcus Rashford
- Martin Ødegaard
- Gabriel Martinelli
- Emile Smith Rowe
Liverpool hawana comparizon wote wazee na top team za EPL ukiondoa Arsenal, Manure na Man city
Kama unamlinganisha KDB na Mount go back to KDB 22yrs
Mason Mount kwa taarifa yako alishavunja rekodi ya Lampard katika huo umri. Ni kwamba sina tu muda ningekutolea nje takwimu zote alizovunja Mount kwa hao unaowaona leo ndio wazuri kuliko Mount