Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nyie kenge leo hizo Koloboi Kalabai zenu ziambieni ziende kukaba mpira sio kukaba shingo za watu la sivyo kadi nyekundu leo haiwaachi.
tapatalk_-223215975_326x512.jpg
 
Dili la Auba linaelekea kufeli kwa sababu ya mkataba
Auba anataka mkataba wa miaka miwili, sisi Chelsea tukasema miwili haifai kwa veteran wa miaka 33
Source???

Maana nakumbuka fabrizio alisema personal terms zishakuwa agreed, shida iliyopo ni upande wa barce, wenyewe wanatak cash tu (€30m) huku chelsea wakitaka £15M +Alonso
 
Nitaelezea systems au styles au philosophies au falsafa maarufu za Football zinazotumika kwa sasa,
Hii mifumo inaweza tumiwa na formation yeyote ile, formation itabadilika tu kuendana na aina ya wachezaji ambao kocha anao chini ya umiliki wake

Tafsiri ya football system au mfumo
Mfumo ni maelekezo ya kimbinu wanayopewa wachezaji inayohusiana na kujilinda ili kuzia kufungwa magoli na kushambulia ili kufunga magoli.

Timu moja kwa mechi moja inaweza ikatumia mifumo zaidi ya moja ili kutekeleza lengo la hiyo mechi husika

Kocha anyebadilibadili mifumo kwenye uchezaji anaweza kuwachanganya baadhi ya wachezaji hasa wale wachanga na kushindwa kutekeleza maelekezo hayo na hivyo kusababisha mbinu kushindwa kufanya kazi

Mifumo yenyewe ni:

Possesive Footbal
Kocha anyetumia mfumo huu anaamini kuwa kukaa na mpira sana unatoa mwanya wa ku buy time ili kuforce timu pinzani ifanye makosa, itoe mwanya wa kushambulia na kufunga. PEP ni muumini wa huu mfumo tangu aanze kufundisha soka. Timu kama Barcelona, Napoli wanatumia pia mfumo huu

Direct Football
Hakuna kupoteza muda, Kocha kama Klopp anaamini kuwa kuupeleka mpira kwa haraka kutoka point moja hadi nyingine kwa kwenda mbele inaleta matokeo tarajiwa kwa haraka. Timu inayocheza mfumo huu ikipoteza mpira inafanya jitihada kubwa kuwin second balls na kuendelea kupeleka mashambulizi mbele ili kufunga. Timu zinazotumia mfumo huu consistency ni Liverpool, pia Lamprd ni muumini wa huu mfumo

Counter Attack Football
Kocha anayetumia huu mfumo anaamini mpira wa pasi chache hadi golini unatoa fursa ya kuexploit nafasi zinazoachwa wazi kizembe na timu pinzani wakati wanashambulia au wanamiliki mpira kwenye final third. Mfumo huu unahitaji kuwa na washambuliaji clinical kwenye kupasiana na kufunga. Conte, MOU ni waumini wa huu mfumo kwa mfano MOU kautumia akiwa Portal, Chelsea Inter na Real Madrid na iklamletea mafanikio makubwa sana
Kwa sasa timu zinazotumia huu mfumo waziwazi ni Tottenham chini ya Conte na Real Madrid chini ya Anceloti.

Total Football
Huu mfumo unamtaka mchezaji kumiliki nafasi wazi yeyote iliyoachwa wazi hasa wakati wanamiliki mpira kwenda kushambulia. Kwa huu mfumo ni ngumu kujua mchezaji anacheza nafasi ipi. na hivyo kiuwa ngumu kufanya marking. Barcelona na Juventus wanautumia mfumo huu sana

Low Press

Huu mfumo unatumiwa na timu zenye lengo ya kujilinda tu, kupaki mabasi hadi mwisho wa mechi hasa kama hiyo mechi hyaina umuhimu wa kushinda au hawataweza kushinda

Positional au Zone Marking
Mfumo huu unamtaka mchezaji kuhakikisha anabaki kwenye positiuon yake na kuulinda vyema

Mifumo inaweza kuendelea zaidi ya hapa
Nime ya helewa madini yako mkuu umeeleza vizuri sana safi sana.

Ila kipigo cha Leicester city kipo pale pale
 
Dream line up 2022 season

--------------Auba-----------------

Sterlng --------------------------- Mount

Cucurella ---- Kovacic ---- Kante ---- James

Koulibaly ---------- Silva---------- Fofana

----------------- Mendy ------------------
 
Source???

Maana nakumbuka fabrizio alisema personal terms zishakuwa agreed, shida iliyopo ni upande wa barce, wenyewe wanatak cash tu (€30m) huku chelsea wakitaka £15M +Alonso
Media nyingi zimeripoti na Mashetani wameingia nao kwenye sakata, wakimpoa Auba two year contract Auba ataenda Man U kimchezo mchezo tubaki kupambana na Broja na Havertz
 
Leo tunaenda na hii line up
Formation 3-4-2-1

--------------Havertz-----------------

Sterling --------------------------- Mount

Chilwell ---- Jorginho ---- RLC---- James

Cucurella ---------- Silva---------- Azpilicueta

----------------- Mendy ------------------
 
Leo tunaenda na hii line up
Formation 3-4-2-1

--------------Havertz-----------------

Sterling --------------------------- Mount

Chilwell ---- Jorginho ---- RLC---- James

Cucurella ---------- Silva---------- Azpilicueta

----------------- Mendy ------------------
La na Mount wanazingua Sana kwanini kila mechi lazima waanze
 
Confirmed Line up

Formation 3-4-2-1

--------------Havertz-----------------

Sterling --------------------------- Mount

Cucurella ---- Jorginho ---- Gallagher ---- RLC

Chalobah ---------- Silva---------- James

----------------- Mendy ------------------
 
Confirmed Line up

Formation 3-4-2-1

--------------Havertz-----------------

Sterling --------------------------- Mount

Cucurella ---- Jorginho ---- Gallagher ---- RLC

Chalobah ---------- Silva---------- James

----------------- Mendy ------------------
Toa havert weka broja yani hapo ndio TT anafeli hakuna mfungaji hapo goli la UEFA tu ndio linamubeba
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom