Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea wanamtaka Arsen Norayrovich Zakharyan kwa Eur 15m
Miaka 19 na anachezea Dynamo ya Moscow kwenye nafasi ya kiungo
Mbona Chelsea wanawasaka viungo tu wameona nini kule mbele
Chelsea wakimpata huyu Arsen Zakharyan wamepata kitu chema tena wa direct first team
 
Unajitahidi sana kumtetea TT lakini madhaifu yake unayaficha na yameshaanza kuonekana ni swala la mda tu wote tutaongea lugha moja
Sio kwamba namtetea, anapozinguq huwa nasema tuchel kazingua,

Je wachezaj wetu nao hawana matatizo??? Kuna tuwaangalie wachezaj wetu kabla ya kwenda kwa kocha tho siku zote kocha ndie anapay price kwa matokeo yakiwa mabovu.

Ushawai jiuliza why kila kocha akija anafanya kazi msim 1 vizuri then msim wa 2 tunaonekana ni wabov kuliko hata msim uliopita?

Katika kitu nachoamini hata aje nani leo hii, wachezaj wetu wataperfom ndani ya msim 1 ili wamridhishe kocha wasiuzwe halaf msim unaofata wanarudi kwenye default mode.
 
Klopp kwa mafanikio aliyowapa Liverpool hakuna cha kumlaumu pale ila TT anapewa kila anachotaka lakini bado hueleweki kabisa
Bado ajapewa kile anachotaka. Mpatie DOF mzuri atakaeweza fanya nae kazi halaf ampatie wachezaj watakaoendana na mfumo wake,

Wachezaj ambao kawasajil kwa matakwa yake ni 3 tu mpk sasa unaposema anapata kila anachotaka unakosea, ingekuwa hivyo leo hii tusingekuwa tunapigania kukamilisha deal za wachezaj.

Klopp kaifanya liverpool kuwq strong kwa sababu aliweka wachezaj wake na kuwatoa wote aliowakuta ukimtoa henderson kama sijakosea
Kwa mafaniko Klopp ndani ya liverpool bado sana
Ukitoa Epl,carabao,fa cup n community shield ni hivyo tu pekee alivyomzidi Tuchel kwa england.
 
Kwani TT ana mfumo, mimi naona tu mimbinu pale ambazo leo mara zifanye kazi mara zifeli, Kinachofanya wachezaji wengi waflop ni kukosekana kwa mfumo stable itakayomfanya TT ajulikane kwa huo mfumo. May be huko tuendako tutamsoma ila kwa sasa mimi binafsi sioni mfumo pale. Hata huyo DOF akija atawaleta wachezaji wa kufit mfumo upi uliopo
 
Ukitaka kujua TT ana shida, wee fuatilia, Sterling atasota sana kufunga hadi atawekwa benchi, narudia tena kusema haiwezekani wachezaji wengi wala sio wachache walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao wamekuja Chelsea na kuflop
Nampenda sana TT ila asipobadilika mimi nitaacha kumsema vizuri
 
Katika top six, timu zilizoongoza kwa kusafisha matakataka na tunaona faida ni:
  1. Man City
  2. Liverpool
  3. Tottenham
  4. Arsenal
Timu zilizoamua kuwang'ang'ania matakataka na tunaona madhara ni:
  1. Chelsea
  2. Man United
 
HUYU ANA NINI?
1661538072012.png
 
Kwani TT ana mfumo, mimi naona tu mimbinu pale ambazo leo mara zifanye kazi mara zifeli, Kinachofanya wachezaji wengi waflop ni kukosekana kwa mfumo stable itakayomfanya TT ajulikane kwa huo mfumo. May be huko tuendako tutamsoma ila kwa sasa mimi binafsi sioni mfumo pale. Hata huyo DOF akija atawaleta wachezaji wa kufit mfumo upi uliopo
Vipi huko alipotoka alikuwa hana mfumo maalum kuanzia Dortmund mpk PSG
 
Ukitaka kujua TT ana shida, wee fuatilia, Sterling atasota sana kufunga hadi atawekwa benchi, narudia tena kusema haiwezekani wachezaji wengi wala sio wachache walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao wamekuja Chelsea na kuflop
Nampenda sana TT ila asipobadilika mimi nitaacha kumsema vizuri
Je hao wachezaji wameanza kuflop wakat amekuja tuchel au huko mwanzo wakat wa lampard walitoa performance nzuri???
 
Huyo ukitaka kujua kichaa angalia alivyomng'ang'ania Conte baada ya mechi na alivyopigwa bana bado anabisha kuwa hakufanya kosa
 
Hizo issue huwa zinatoka, mourinho vs wenger , ugomvi katik mpira huwa nikitu cha kawaida
 
Hapa Chelsea nitajieni mfumo anaotumia TT achana ya kale ya huko Dortmund
343/4222 hybrid

Siumesema kocha hana formation , kama unafatilia utajua tuchel anatumia mfumo gan kuanzia huko alipotoka n utajua kocha huwa anademand nini kutoka kwa wachezaj wak
 
Chelsea understood to have reached agreement with Leicester City to sign Wesley Fofana. After a number of bids rejected, believed a deal is now in place between #CFC & #LCFC for 21yo France youth international to switch to Stamford Bridge @TheAthlet
 
Sergi Milonkovic Savic wa lazio sijui kwa nini tim kubwa hazimuoni huyu mwamba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom