Gorginho namkubali Sana Ni DM wakisasa , nataman aje arsenal ,acheze juu ya back 4 , yupo vzr kwa pass ,kwa style play yetu anatufaa, hata pep alimtakaga Sana .
Gorginho kwa falsafa za Tuchel labda mnamuona mbaya, au mnataka DM wale wagumu, wanaopiga tackle nyingi., But nowdays mpira umebadilika ,
CF wakusimama atafuniwe Hana msaada
No.10 asiyekaba na kukimbia Sana Hana msaada
Fullback asiyeshambulia Hana msaada
DM asiyejua kupiga pass kwa usahihi na kuvunja line ya mpinzani Hana msaada
GK asiyejua kuanzisha mpira Hana msaada e.g Degea