Hivi hata mpira huwa unaangaliaga kweli mkuu?, mana mara nyingi matokeo huwa unaulizaga humu.Joghihno ndio Mastermind wa Chelsea. Bila yeye timu inakosa balance kabisa. Ngoja siku akosekane ndio mutajua hamujui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hata mpira huwa unaangaliaga kweli mkuu?, mana mara nyingi matokeo huwa unaulizaga humu.
Kinachomchanganya ni kwamba Jorgninho hana consistency, kuna siku anacheza vizuri ila ukifuatilia ni zile timu mbovu ambazo haziwesi kufanya pressing[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sipatagi ata muda wa kucheki game aiise ..naakuwaga bize naa mambishe nna baadae mbususu ..mpira livescoo tu mzee😂😂😂😀Hivi hata mpira huwa unaangaliaga kweli mkuu?, mana mara nyingi matokeo huwa unaulizaga humu.
Ila Joghihno Bado Ni advantage kwetu bado ana potential maana ligi Ni long run hata kama Hana consistency ya kila game Ila bado Ni muhimu Sana kuwepo ..ameshapruvu yeye Ni regular starter EPLKinachomchanganya ni kwamba Jorgninho hana consistency, kuna siku anacheza vizuri ila ukifuatilia ni zile timu mbovu ambazo haziwesi kufanya pressing
game ambazo ajacheza hapo na timu ilitoboa mimi hata akiwa man of the match sishituki toka alivyotua nikamuona siku ya kwanza sikuona player mpaka kesho niliona Chelsea iliyokufa kiungo inayotumia nguvu kubwa za full back na winga hakuna playerJoghihno ndio Mastermind wa Chelsea. Bila yeye timu inakosa balance kabisa. Ngoja siku akosekane ndio mutajua hamujui.
yes ndicho anachowezaMasta mind wa kupiga back passes labda.
Erikisen ni bonge la mchezaji sema bahati mbaya kaenda kwenye team ambayo ni mbovu imepoteza muelekeo hata nilivyoihangalia ile game yeye pekee ameonesha uhai kwenye midfielder lakini kilichotokea ni yeye kukusa wachezaji wa faraja lake wakuupa sapoti binafsi nilipenda jamaa angetua darajani angetusaidia SanaMkataba ulikuwa ni wa miezi sita tu na Ericksen ndie aliyekataa kurudi Brentford, alitaka kucheza timu kubwa
Unaweza kuwa muda wake unaishia kwa sababu ya umri ila kwa sasa bado yuko kwenye form.
Kumbuka Thomas Frank mdenish mwenzake alimtamani sana arudi lakini Ericksen akakataa. Hapo hapo vilabu vingi vilitaka sahihi yake.
Ericksen is the top attacking midfield, usimdharau aisee
Sema ukweli kuwa muda mwingi unakuwaga Kisimiri kupata kitu cha Chuga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mimi sipatagi ata muda wa kucheki game aiise ..naakuwaga bize naa mambishe nna baadae mbususu ..mpira livescoo tu mzee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
Saa kumi na mbili na nusu jioni ya leo.Mech yetu saa ngapi wakuu!?
Una akili sana ni wachache wanao jua hilo kwamba johg ni ball maker and pace maker wa team yetu, wengi wanataka kila mchezaji awe mfungaji loh!!!!!!Joghihno ndio Mastermind wa Chelsea. Bila yeye timu inakosa balance kabisa. Ngoja siku akosekane ndio mutajua hamujui.
One man down. Ni kama tunacheza 9 Jorginho akicheza na Kante[emoji3591] TT anapanga mfumo wa 3-4-3 ila kiuhalisia uwanjani tunacheza 3-3-3, kwa sababu KANTE anambeba JOGNHO mgongoni.
--- STERLING -- HARVETZ --- MOUNT -----
CUCU --------------- KANTE ------------- JAMES
--- KOULIBALY --- THIAGO -------- AZIP-------
1. Kante lazima achoke anacover eneo kubwa sana, ndio maana siku hizi hamalizi dakika 90
2. Kante lazima apate majeraha mara kwa mara, anakaba na kushambulia kwa wakati mmoja, misuli yake inawaka moto
3. Kante bado hajachoka kimpira bali JOGNHO anamlemea mgongoni.
Kutomhesabu johginho kama key player ni kua shallow analysis ya wachambuzi uchwara wa bongo wa mezoea mipira ya simba na YangaOne man down. Ni kama tunacheza 9 Jorginho akicheza na Kante
Aise maisha angu bila kunyonga shada yanakuwaga magumu Sana ..shada Ni dawa, shada Ni ushindi, shada Ni Imani pia kwa sisi wahasisi😂😂😂Sema ukweli kuwa muda mwingi unakuwaga Kisimiri kupata kitu cha Chuga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]