HENRY14
JF-Expert Member
- May 13, 2021
- 3,688
- 7,192
USiwap
Usiwape stress hawa jamaa. Kwanza walikuwa na stress za kuhofia timu kufutwa. Sasa wamepata mmiliki mpya hawajatulia unataka uwape stress zingine za kutamani enzi za kale?
LIne up ya leo hii hapa, hawatatuweza
View attachment 2323437
SUB
- Petr Cech
- John Terry
- Chilwell
- Ashley Cole
- Branislav Ivanović
- Makelele
- Hazard
- Willian
- Diego Costa
Usiwape stress hawa jamaa. Kwanza walikuwa na stress za kuhofia timu kufutwa. Sasa wamepata mmiliki mpya hawajatulia unataka uwape stress zingine za kutamani enzi za kale?