Yaani tunapgwa mchana kweupe.Hii ndio hasara ya Kufall in love na binti kutoka familia maskini wakati mposaji ni kutoka familia tajiri
View attachment 2322343
Hakuna biashara Hapa. Tuangalie Ustaarabu mwingineHii ndio hasara ya Kufall in love na binti kutoka familia maskini wakati mposaji ni kutoka familia tajiri
View attachment 2322343
Hyu dgo kwan ana nini?Taarifa zinadai kuwa endapo Chelsea akikamilisha usajili wa Fofana hii itakuwa ni usajili mkubwa katika historia ya Chelsea na EPL kwa msimu mmoja
View attachment 2322331
Hii ndio hasara ya Kufall in love na binti kutoka familia maskini wakati mposaji ni kutoka familia tajiri
View attachment 2322343
Safari hii sio bodiYaani hela yote hiyo kwa takataka kama huyo.
Bodi ya Chelsea katika usajili wa kununua na kuuza ni weupe kichwani.
Habari zinasema Kounde hajaweza kusajiliwa kama mchezaji mpya wa Barca.Kwa saga za msimu huu nimegundua kuwa waandishi wa makala wanachakachua taarifa ili kufikia malengo ya upande ambao huyo mwandishi anaiwakilisha.
Mfano Gerard Romero yuko radhi achakachue taarifa ili aipe faida upande wa Barcelona
Au mwandishi anaichukia timu fulani lazima aikandamize kwenye taarifa yake hata kama ni kuweka uongo
Nim eona hii kuan zia usajili wa Kounde, na Sasa De Jong
Wengine wanasema Man U iko karibu sana kumsajili De Jong na
Mwingine Chelsea iko karibu sana kumsajili De Jong
mwingine kama ni lazima atoke Barca anapenda kwenda Man U kulkiko Chelsea na
mwingine kama ni lazima atoke Barca anapenda kwenda Chelsea kulkiko Man U
Habari zinasema Kounde hajaweza kusajiliwa kama mchezaji mpya wa Barca. View attachment 2322846
Na sasa ulazima wa kumuuza Auba, De Jong ndio unaongezekaView attachment 2322895
Ndugu yetu kounde bado kwanza, mpaka auzwe mtu
Wanauza haki ya mapato ya Laliga TV asilimia 25% in total kwa miaka 25. hiyo ni Lever ya nne, wakienda sasa itakuwa ya tano, dangerous game wakifilisika wanafilisika kweli kweliBarca bado wanaweza kuendelea kuuza umiliki wake flani flani asilimia kadhaa wakapata pesa.
Juzi waliuza 25% umiliki wa nini sijui wakapata €100M.
Kwa mshiko watamtoa kwa sababu yeye ni backup tu ila nahisi sio chini ya 20mHivi Auba si Barca walimsajili Bure?
Depay amemalizana na Juve ina maana Auba anabaki Barca?
Ata aje messi kama mido yetu ni jorgihno, bado mambo ni yale yale.Chelsea kesho akifungwa, Todd Boehly atajua kuwa ni serious tunamhitaji goal scorer wa uhakika
Yule sio kocha takataka tu.Lampard ashakuwa Kama dada poa, kila mtu anampelekea hewa ya moto kwa mudawe!