Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Una akili sana ni wachache wanao jua hilo kwamba johg ni ball maker and pace maker wa team yetu, wengi wanataka kila mchezaji awe mfungaji loh!!!!!!
Joghihno Ni ball maker japo anapooza mpira Ila anajua kuweka prehmsha ya timu kuwa sawa. ..Leo akipiga pale Kati naimani timu itasimama furesh.
Enewei ngoja nikapige Cha Arusha kwanza kabla ya game leo Nina Moto balaa....😀😀🤣🤣
 
Kutomhesabu johginho kama key player ni kua shallow analysis ya wachambuzi uchwara wa bongo wa mezoea mipira ya simba na Yanga
Naamini kuwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Na siyo kila mtu lazima mtazamo wake ufanane na wako. Kuita watu wengine ni uchwara tu kwasababu ya maoni yake, unaonesha jinsi level yako ya ustaarabu ilivyo chini. Mpinge mtu kwa ustaarabu bila kutoa maneno makali maisha yaendelee Hiyo ni ligi ya nje ya nchi ambayo haitufaidishi chochote zaidi ya burudani tu lakini kuwaita watu wachambuzi uchwara, unapiga chini ya mkatanda bro which is not the rule of the game.

Hata wewe ni mahaba tu ya Jorginho lakini Jorginho aliyekuja na Sari siyo huyu wa sasa. Jorginho kubali ameshuka kiwango kwa sasa kwasababu ya fatigue na umri pia. Ametumika SANA, amechoka. Na ni natural mchezaji kuchoka. Msimu wa 2020/21 na uliopita unajua Jorginho alicheza mechi ngapi za ligi, UEFA na kimataifa kwa nchi yake?
 
Joghihno Ni ball maker japo anapooza mpira Ila anajua kuweka prehmsha ya timu kuwa sawa. ..Leo akipiga pale Kati naimani timu itasimama furesh.
Enewei ngoja nikapige Cha Arusha kwanza kabla ya game leo Nina Moto balaa....[emoji3][emoji3][emoji1787][emoji1787]
Piga kitu lakini usichanganye ya Kisimiri na Olkokola utarukia TV [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naamini kuwa kila mtu anayo haki ya kutoa maoni yake. Na siyo kila mtu lazima mtazamo wake ufanane na wako. Kuita watu wengine ni uchwara tu kwasababu ya maoni yake, unaonesha jinsi level yako ya ustaarabu ilivyo chini. Mpinge mtu kwa ustaarabu bila kutoa maneno makali maisha yaendelee Hiyo ni ligi ya nje ya nchi ambayo haitufaidishi chochote zaidi ya burudani tu lakini kuwaita watu wachambuzi uchwara, unapiga chini ya mkatanda bro which is not the rule of the game.

Hata wewe ni mahaba tu ya Jorginho lakini Jorginho aliyekuja na Sari siyo huyu wa sasa. Jorginho kubali ameshuka kiwango kwa sasa kwasababu ya fatigue na umri pia. Ametumika SANA, amechoka. Na ni natural mchezaji kuchoka. Msimu wa 2020/21 na uliopita unajua Jorginho alicheza mechi ngapi za ligi, UEFA na kimataifa kwa nchi yake?
Mkuu sijatukana mimi siko hivo, ila na chukia jinsi watu wanavo msakama johginho bila kutoa facts na reasons, jukumu la johginho no match reader jambo inalo fanya vzri sio mshambuliaji
 
Una akili sana ni wachache wanao jua hilo kwamba johg ni ball maker and pace maker wa team yetu, wengi wanataka kila mchezaji awe mfungaji loh!!!!!!
Jorgninho alitakiwa 2021 iwe ndio mwisho wa kuichezea Chelsea, ni ujinga tu ndio uliofanyika pale hadi akawepo hadi sasa. Msimu huu tukishindwa kusajili kiungo, msimu unaofuata, eneo litakalobomolewa ni kiungo. Hata kama Kante ataongezewa mkataba sio kwa first team selection. ni kwa ajili tu ya kufanya smooth delegation ya kiungo
Msimu ujao tutahitaji sio chini ya viungo wakabaji wawili aidha kutokea academy au kusajili. Asipouzwa Jorginho dirisha hili, dirisha lijalo ataondoka bure kama free agent. Jorginho tu alipokuwa chini ya 30 kila baada ya 30mins au 45mins anakuwa na fatique kubwa hadi anashindwa kukaba je sasa ana above 30 itakuwaje. Nadhani TT analijua hilo na hataatarisha kibarua chake kwa kumng'ang'ania Jorginho.
Akija De Jong atasadida kuongeza kilichokosekana kwa sababu De Jonga anaweza kucheza CB na DM na pia ni kiungo mbunifu ni bahati mabaya tu Baracelona hawawezikuendelea kumlipa mshahara mkubwa
 
Mkuu sijatukana mimi siki hivo ila nachukia jinsi watu wanavo msakama johginho bila kutoa facts na reasons, jukumu la johginho no match reader jambo inalo fanya vzri sio mshambuliaji
Pamoja: tushinde, tushindwe [emoji123][emoji123]. Ila leo kusema ukweli Jorginho na Kante wakishindwa kutawala kati, watu lazima waone manyoya yetu.
 
Katika mechi iliyopita ni Silva na Koulibally ndio waliocheza kwa kiwango cha Chelsea
Havertz, Mount, Kante, Pulisic, Broja, Cheek hawakucheza vizuri. Wengine waliobaki walicheza ordinary
Nategemea leo Chilwell ataanzia benchi. Kiungo na kule mbele hatuna mbadala,

Twende na Formation 3-4-3

Havertz --------------- Sterling ----------------- Mount

Cucurella ---------- Jorgninho ------------ Kante --------- Cheek

-------Koulibaly --------- Silva ----------James----------

-------------------------- Mendy --------------------------
 
Hao hapo
Screenshot_20220814-173939_OneFootball.jpg
 
Kwa kikosi hichi tukipigwa lawama zote kwa TT haiwezekani atujazie matakataka wakati kuna watu wa kucheza.

Jorginho, Havertz na RLC ni matakataka hawakupaswa kuanza kwenye mchezo wa leo.
 
Pamoja: tushinde, tushindwe [emoji123][emoji123]. Ila leo kusema ukweli Jorginho na Kante wakishindwa kutawala kati, watu lazima waone manyoya yetu.
Mechi na Everton wote walicheza vibaya kwa maoni yangu, mabeki ndio waliotubeba
 
Kwa kikosi hichi tukipigwa lawama zote kwa TT haiwezekani atujazie matakataka wakati kuna watu wa kucheza.

Jorginho, Havertz na RLC ni matakataka hawakupaswa kuanza kwenye mchezo wa leo.
Nafasi ya Jo acheze nani, nafasi ya Havertz acheze nani? sababu za Azpi kutocheza ndio sijui tu
 
Jo kaanza vitu vyake kidogo tufungwe mara mbili Kwa sababu zile zile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom