Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wale mlokuwa munamtaka Erksen muneona utumbo alocheza leo?
Umetoa maoni yako, hisia zako, chuki yako au uchambuzi
Hata Messi, Hata Ronaldo, Hata Maradona, Hata Pele, walifanya silly mistakes kwa nyakati tofauti na bado walibaki kuwa GOAT
Eriksen anaweza asiwafikie hao lakini kosa moja haliwezi kumfanya asiwe mchezaji mzuri, alidhihirisha hilo akiwa Spurs, Inter na baadaye Brentford. Ataendelea kudhihirisha hilo Manure hata kama kalikuta litimu lilishaoza kama mbolea. NI umri tu na majeruhi makubwa ndizo zitamfanya Eriksen aache kuwa mchezaji mzuri

Uchambuzi unatakiwa kufanywa kwa sample rate kubwa na representative ndipo ufanye hukumu. Sasa wewe mechi moja tu umeshahitimisha majibu kuonyesha jinsi ambavyo humpendi Ericksen!
 
Jana Barcelona alitoka 0-0 na Rayo Vallecano
Nilichokiona jana ni
Dembele ni mchezaji mzuri sana na halingani na huo mshahara anaolipwa just wamekuwa misukule ya Barcelona
NI mchezaji hatari sana kwenye kuvuruga defense ya timu yeyote.
Raphinha haendani kabisa na uchezaji wa Barcelona, itamgharimu sana kuja kufit in kwenye style ya hapo Cam Nou. Unless watengeneze chemistry na Lewandowski, Barcelona hawajazoea kucheza long balls au mpira wa krosi nyingi, wamezoe short touches hadi kwenye final third kitu ambacho Raphinha hajazoea. Kwa hiyo kwa mechi ya jana na zinazokuja, matokeo yakiendelea kuwa sio rafiki na Barcelona, Raphinha benchi litamhusu sana
 
Timo Werner kaanza shughuli kule, formation 3-1-4-2
Lukaku naye aanza kazi Inter kwa formation ya 3-5-2

Nilichogundua, Timo na Lukaku wanafit kwenye formation yenye wachezaji wengi katikati ya uwanja na mbele striker wawili. Mawazo tu
 
Goal scorer wa nini wakati kiungo yetu haina ubunifu? Tusajili kiungo kwanza. Jognho anatuchora
LIne up ya leo hii hapa, hawatatuweza
1660458680464.png

SUB
  1. Petr Cech
  2. John Terry
  3. Chilwell
  4. Ashley Cole
  5. Branislav Ivanović
  6. Makelele
  7. Hazard
  8. Willian
  9. Diego Costa
 
Binafsi namteteaga jorginho niwe mkweli Jana kacheza ovyo Sana yeye alikuwa ndio source ya sisi kuzidiwa pale Kati kipindi Cha pili alikuwa amechoka na sijui kwanini kocha akumfanyia sub mapema, alikuwa anapiga back na side pass nyingi kuliko kupiga pass za mbele. But good news sajiri mpya zote zimelipa nimpe pongezi Sana Man city yeye ndio alitufanya tuende kwa Cucurella baada ya kutukatalia Ake, koulibaly yupo vema, sterling good.

NB: Jana walioperform ni wanne tu koulibaly, Thiago silva, Cocurella na Sterling na nimependa sterling kwasababu yeye pekee ndio alionesha fight spirit pale mbele alikuwa anapress, anasumbua mabeki kwa kutake risk sometime bila ya msaada wowote wa mount na kai kwa maana nyingine alikuwa kama anacheza pekee yake
sijawahi na sitiwahi kumkubali jognho hakuna player pale
 
Umetoa maoni yako, hisia zako, chuki yako au uchambuzi
Hata Messi, Hata Ronaldo, Hata Maradona, Hata Pele, walifanya silly mistakes kwa nyakati tofauti na bado walibaki kuwa GOAT
Eriksen anaweza asiwafikie hao lakini kosa moja haliwezi kumfanya asiwe mchezaji mzuri, alidhihirisha hilo akiwa Spurs, Inter na baadaye Brentford. Ataendelea kudhihirisha hilo Manure hata kama kalikuta litimu lilishaoza kama mbolea. NI umri tu na majeruhi makubwa ndizo zitamfanya Eriksen aache kuwa mchezaji mzuri

Uchambuzi unatakiwa kufanywa kwa sample rate kubwa na representative ndipo ufanye hukumu. Sasa wewe mechi moja tu umeshahitimisha majibu kuonyesha jinsi ambavyo humpendi Ericksen!
Eriksen Hamna mtu mule wakati wake umeshapita. Kwanini bentrford walimwachia aende?
 
Jognho:-

1. Mvivu
2. Hawezi kukaba
3. Hawezi kupora mipira
4. Anakaba kwa rafu
5. Anakaba kwa macho
6. Hana kasi
7. Hawezi kupiga pass za mbele (penetration, ndefu).
8. Hawezi kuassist
9. HAWEZI
10. HAWEZI
11. HAWEZI
12. HAWEZI
Joghihno ndio Mastermind wa Chelsea. Bila yeye timu inakosa balance kabisa. Ngoja siku akosekane ndio mutajua hamujui.
 
Eriksen Hamna mtu mule wakati wake umeshapita. Kwanini bentrford walimwachia aende?
Mkataba ulikuwa ni wa miezi sita tu na Ericksen ndie aliyekataa kurudi Brentford, alitaka kucheza timu kubwa
Unaweza kuwa muda wake unaishia kwa sababu ya umri ila kwa sasa bado yuko kwenye form.

Kumbuka Thomas Frank mdenish mwenzake alimtamani sana arudi lakini Ericksen akakataa. Hapo hapo vilabu vingi vilitaka sahihi yake.

Ericksen is the top attacking midfield, usimdharau aisee
 
Joghihno ndio Mastermind wa Chelsea. Bila yeye timu inakosa balance kabisa. Ngoja siku akosekane ndio mutajua hamujui.
Siku Chelsea ikicheza na vitimu visivyo fanya high pressing ndio Jorginho anakuwa supper star
Lakini subiri Chelsea wakutane na timu zinazofanya high pressing, ndio utamjua jorginho OG au ndugu yetu wewe unaangalia streaming media na kuadisiwa nini? Bahati mbaya tu Chelsea haina kiungo mkabaji zaidi ya Kova na Kante. Kova mwenye sio natural DM ni ana uwezo wa kawaida tu kwenye kukaba. Kova yeye ni norma Midfielder. Kante angechezeshwa DM asiwe naenda mbele angetufaa sana ila naona tangu enzi za Sarri Kante amekuwa akichezeshwa advannced attacking position japo anauwezo wa kurudi haraka kukaba ila haifikii ile enzi akiwa Leicester au Chelsea mwaka wa kwanza na Conte
 
Chelsea imecheza mara saba na Spurs tangu 2019 na hakuna hata moja Spurs kamfunga Chelsea, kushinda 6, droo moja na kufungwa goli moja tu
Mentality ya team leo iwe juu
Wacheze agresively naamini ushindi ni wetu
Kane, Son na Kulusevski wakatiwe RB na wawekwe chini ya Ulinzi mkali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom