Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

The only positive niliona since debut yake ya kwanza kule marekani...

Jamaa anajua sana. World Class.
Aiseee wanangu sasa tumuombee tu asipate majeruhi maana jamaa ndo SIMBA wa Blue kiuhalisia..

Sterling naye amefit vzr sana. Japo apunguze uchoyo panapobidi. Na awe mchoyo panapofaa
 
Aiseee wanangu sasa tumuombee tu asipate majeruhi maana jamaa ndo SIMBA wa Blue kiuhalisia..

Sterling naye amefit vzr sana. Japo apunguze uchoyo panapobidi. Na awe mchoyo panapofaa
Kashapata majeruhi kaingia Cucurella badala yake
 
Sasa namuelewa TT Kwa Nini kaweka .sisitizo Kwa mabeki
Koulibally injury
Silva misuli

Hawa CB over 30 wanahitaji ready made backup
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom