Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Fofana yupo vzr ,walikuwa na Saliba pale France timu moja , ilikuwa tuwabebe wote , tukamchukua Saliba , tukapanga msimu Mwingine tubebe fofana ,tukachelewa

Wote walikuwa na potential sawa, ila kwakipind kile tuliona mapema kumuwahisha Epl

Leicester wao walimuwahisha na kafanya vzr

Mkimpata atawasaidia Tyr epl anaijua

Shida ana injury ilimuweka nje muda mrefu
Alirudi kwenye timu with full fitness March 2022
 
Ndio uzuri wa kuwa na UCL, mabinti wazuri wote watakupenda wewe
Sidhan Kama sababu Ni UCL , man u wachezaji wanaiogopa inashusha viwango, halafu ETH bado hajaprove kuboresha viwango vya wachezaji,

Kifup man u wachezaji hawaoni mwanga mbele

Halafu Barcelona na Chelsea inabidi mchunguzwe sajiri zenu,

Kama mnaachiana fulan ,halafu mnapeana Tena

Bernado Silva anaelekea Barca next week wanapishana na FDJ
 
Sababu iliyoripotiwa ni kwamba FDJ anapenda abaki Barca, kama ikibidi kutoka basi ni Chelsea au Bayern. Sababu kuu ni kucheza UCL ili kuongeza wigo wa kuchukuliwa timu ya Taifa
Sababu hiyo hiyo aliitoa Fofana na ndio maana ana push kuhama Leicester city
Sababu hiyo hiyo aliitoa Cucurella nk
Kiufupi dirisha hili wachezaji wengi wazuri wana ambition ya kucheza kombe la Dunia na timu zao za Taifa. Possibility ya kufikia ndoto hiyo ni hadi uwe unashiriki kwenye timu kubwa na ligi kubwa

Understood!
 
Binafsi sikutegemea TODDY BOEHLY angefanya sajili hizi mpaka sasa.

Nilishajiandaa na maumivu ya ubahili wa wamarekani kwenye soka.

Aisee BOEHLY apongezwe sana mpaka sasa, ameturudishia ile furaha ya Roman Abramovich kwenye dirisha ya usajili.

Kama Dirisha hili ambalo hatuna Mkurugenzi wa michezo, tunaruka na sajili za maana pengine hazikuwa kwenye target ya Marina.

Embu vuta picha ndio tumempata huyo Mkurugenzi wa michezo na akakaa meza moja na TT, wakaanza kusuka timu, huku BOEHLY anasindikiza na mpunga kama kawaida, mbona tutabeba EPL mfululizo.

Kwa mchezaji anayesajiliwa dirisha hili, hata akiflop simlaumu kabisa tajiri BOEHLY.

Kwa sababu amejaribu kutuonyesha kwamba yuko tayari kuwekeza kishindani zaidi na yuko tayari kuendeleza utamaduni wetu wa kubeba kombe kila msimu.

Wana BLUES tumshukuru Mungu sana kumpata TODDY BOEHLY (Mmarekani mwenye asili ya kiarabu na Urusi kwenye kumwaga mpunga).
Chelsea pia watoa pounds 70m kwa Barca na Alonso kilichobakia ni kwa Barca kukubali au laah
 
Chelsea pia watoa pounds 70m kwa Barca na Alonso kilichobakia ni kwa Barca kukubali au laah
Ni paundi 59m sio paundi 70m
Kama umesoma title kama hizi ni mitego ili kuvutia watu kusoma

Transfer news LIVE: De Jong swap deal, Chelsea's £70m bid, Man Utd wait for Garnacho bids​

£70m kwa De Jong plus Alonso is too much
Man u walitoa £72m humo kukiwepo na addons na walikubaliwa
 
Sio takataka aisee bali ni overpriced ni mchezaji wa £45mil tu ila kama tuko makini pau torres £50mil tunamchukua na already proven player
Hata mimi nilikuwa natamani tungemchukua Pau Torres, Fofana yuko over priced
 
Fofana yupo vzr ,walikuwa na Saliba pale France timu moja , ilikuwa tuwabebe wote , tukamchukua Saliba , tukapanga msimu Mwingine tubebe fofana ,tukachelewa

Wote walikuwa na potential sawa, ila kwakipind kile tuliona mapema kumuwahisha Epl

Leicester wao walimuwahisha na kafanya vzr

Mkimpata atawasaidia Tyr epl anaijua

Shida ana injury ilimuweka nje muda mrefu
Shida hiyo bei 80 kwa fofana tho anapotential ni kubwa sana

Sema hakuna shida kaka Madrid walitoa 100 kwa Tchoumaen, sahiv soko la usajil lishavurugika sio kama hapo awal
 
Bidi ya kwanza utoe Mil 70 Plus Alonso (value at 10m) sawa na Mil 80 wakati Man U walitoa 72M tena addons zikiwepo na wakakubaliwa kweli inakuja?

Sourse yangu hii hapa
Mkuu mbona City waliambiwa watoe 50 kwa cucurela wakakataa halaf sisi tumetoa 54 + 7 adds on na mchezaj juu kwa mkopo
 
Bidi ya kwanza utoe Mil 70 Plus Alonso (value at 10m) sawa na Mil 80 wakati Man U walitoa 72M tena addons zikiwepo na wakakubaliwa kweli inakuja?

Sourse yangu hii hapa
Taarifa zinasema Chelsea wako tayari kutoa kiasi MAn U wametoa kwa De Jong ya Paundi mil 63

However, interest from Chelsea could change de Jong’s position, with reports from the Daily Mirror claiming United will not be drawn into a bidding war with their Premier League rivals.

Delays over de Jong’s representatives securing an agreement on unpaid wages for their client at Barcelona has allowed the Blues to gain an advantage over United.

This latest report claims Chelsea are willing to match United’s £63m fee, plus add-ons, and cover his outstanding wages, to break the deadlock at the Camp Nou.
 
Mkuu mbona City waliambiwa watoe 50 kwa cucurela wakakataa halaf sisi tumetoa 54 + 7 adds on na mchezaj juu kwa mkopo
Ila hiyo ya De Jong sio kweli, sasa ndio Chelsea wanajiandaa kutoa Paundi mil 63 I guess plus Alonso
 
Sio takataka aisee bali ni overpriced ni mchezaji wa £45mil tu ila kama tuko makini pau torres £50mil tunamchukua na already proven player
Pau Torres hapana.

Unaweza ambiwa 80 ila ukawa unailipa installement maybe kila mwaka 20, hatujui agreememt za Contract zikoje

Mkuu soko lishavurugika la usajil. Sahiv wachezaj wanakuwa overpriced
Je Tchoumen ameuzwa kwa 100, je anadeserve kwa hiyo bei
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom