Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea facing fight to snap up transfer guru Michael Edwards ex-Liverpool chief targeted as new sporting director
1659519215397.png
 
Kane yupi? Itakuwa sio yule wa Spurs, ama kama ni yeye basi utakuwa unatania.
Asume tunampata Kane kama Christian Falk anavyodai

4-2-3-1

-----------------------KANE --------------------

STERLING -------- MOUNT-------------------- HAVERTZ

-------------KANTE ---------- KOVACIC --------------

CHIL ---CUCURELA ----- KOULIB ------JAMES

MENDY

AU

3-4-2-1

-----------------------KANE --------------------

STERLING ------------------------------- MOUNT

CHILWELL--------KANTE ---------- KOVACIC --------JAMES

CUCURELA -------SILVA--------- KOULIB

MENDY​
 
Gerald kasema sababu kubwa ni kwamba dogo kakataa kusaini mkataba na alibakiwa na msimu mmoja tu kuwa free agent. Sababu ya kukataa kusaini mkataba ni kwamba alitaka kuhamia timu itakayompa muda zaidi wa kucheza
Dogo alivuta macho ya admirers wengi pale alipoiwezesha Uingereza under 19 kubeba kombe la Klabu Bingwa Ulaya yeye akiwa nahodha.
Dogo ana jina la kabila la Igbo Kule Nigeria , no wonder ni Mnigeria halisi , Ila Africa ni ovyo sana tunaloose talents kubwa kama hizi ,huyu dogo iliidi avae Uzi wa super eagles , tunafeli Sana
 
Kile kipigi cha Barca angalau sasa tunalipiza kisasi
Akija City kwa cucurella unapiga ngumi ya pua
Akija Man u kwa De Jong unapiga ngumi jicho la kulia
Hat PSG akipita njia yetu tunakung'uta ile mbaya
Liverpool akizubaa naye tunapiga ya kichwa hadi wakome kabisa
Halafu mwisho Barcelona tunamsubiri UEFA, tukipangwa Group moja tutamwonyesha njia ya kurudi alikotoka
TutamfIra kabisa sasa hivi ,Kwanza tuna hasira naye Ile mbaya
 
Dogo ana jina la kabila la Igbo Kule Nigeria , no wonder ni Mnigeria halisi , Ila Africa ni ovyo sana tunaloose talents kubwa kama hizi ,huyu dogo iliidi avae Uzi wa super eagles , tunafeli Sana
Waliomkuza ni hao hao wazungu
 
Ila pia charisma ya Xavi inawavutia wachezaji wengi kuipenda Barcelona kwa sasa. Naona Xavi ndie kocha atakayeipa mafanikio Barca kama ile ya PEP
Sio kweli... Technical director wa barcelona.. hachangi karata zake vzr.. anasajili wachezaji wengi bora mpango...

Ona sasa depay wanamfanya free agent.. kwa sbbu timu imezidiwa na wacheAji namishahara yao.. wanamshawish hvyo hvyo de jong .

Believe me.. mwsho wa msimu.. wachezaji wengi watashawishiwa kuondoka pale barcelon.. na hii itakuwa ngumu zaid kwa sabbu wachezaji wengi ni ngumu kununulika ...

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Depay balikuwa tu aondolewe amekuwa flop
Issue ni hii hata kama wamesajili ovyo ila bado sababu ya wachezaji kuipenda Barca au timu nyingine yeyote huwa n Koacha ndio inafuata factor zingine
 
Kweli... Wachezaji wanapenda timu flan sabbu ya kocha na historia...

Lakin kama timu lazima iwe na trchnical director mzuri.. sio kila mchezaji anaoipenda timu lazima aje..

Ona sasa man u... Inavyoteseka ni kwa sbbu ya kutokuwa kuwa scout na technical director mzuri.... Hii inapelekea kununua wachezaji kwa kwa ela kubwa na kushindwa kuuzawqchezaji

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
 
Kweli... Wachezaji wanapenda timu flan sabbu ya kocha na historia...

Lakin kama timu lazima iwe na trchnical director mzuri.. sio kila mchezaji anaoipenda timu lazima aje..

Ona sasa man u... Inavyoteseka ni kwa sbbu ya kutokuwa kuwa scout na technical director mzuri.... Hii inapelekea kununua wachezaji kwa kwa ela kubwa na kushindwa kuuzawqchezaji

Sent from my M2010J19SI using JamiiForums mobile app
Uko sawa,
 
Kumbe revenge tumeshaanza kwa Barcelona!

Chelsea earned a slice of vengeance on Barcelona by winning the race for Aston Villa midfielder Carney Chukwuemeka.
 
Chelsea target £20m Cesare Casadei transfer after extensive scouting in long-term midfield succession plan
 
Kile kipigi cha Barca angalau sasa tunalipiza kisasi
Akija City kwa cucurella unapiga ngumi ya pua
Akija Man u kwa De Jong unapiga ngumi jicho la kulia
Hat PSG akipita njia yetu tunakung'uta ile mbaya
Liverpool akizubaa naye tunapiga ya kichwa hadi wakome kabisa
Halafu mwisho Barcelona tunamsubiri UEFA, tukipangwa Group moja tutamwonyesha njia ya kurudi alikotoka
De Jog Barca wameshusha bei yake ili tu Chelsea wamchukue. Ile waliyokubaliana na ManU ya €85m wameshusha hadi €80m
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom