Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
Xavi anapiga chabo kumlia timing TT atahitaji mchezaji yupi mwingine kumsajili ili apatiwe za uso

Xavi anapiga chabo kumlia timing TT atahitaji mchezaji yupi mwingine kumsajili ili apatiwe za uso

Manchester United need to pay over £45 million to convince Red Bull Salzburg to part ways with Benjamin Sesko this summer, iNews report.Bado Takwimu hazishawishi yaani kwenye mechi 24 una goal 5 na assist 1

#CFCMsimu uliopita Azpilicueta alifanya errors ambazo zimeigharimu timu, Alonsos yeye tumemzoea kwa blunders sijui Xavi kaona nini kwa hao wachezajiYaani TODDY & TT wafanye juu chini wasajili mbadala sahihi wa Chilwell na James.
Msimu ulioisha ndoto yetu nzuri ya kuchukua ubingwa ilijeuka kuwa ya mazombe baada ya hawa jamaa kuumia.
Alonso + Azip hawafai kuwa mbadala wa mafanikio, Tena waende huko Barca fasta
Bahati mbaya Chelsea haina historia nzuri na 433 labda aina ya wachezaji hasa wa kwenye midfieldTumsajili winga ya kulia twende 4-2-3-1
----------------------- HARVETZ --------------------
STERLING -------- MOUNT-------------------- RW
-------------KANTE ---------- KOVACIC --------------
CHIL ---CUCUREL ----- KOULIB ------JAMES
Hii team itakuwa ni hatarishi kwa afya ya mabeki na forwards wa team pinzani
Asume tunampata Kane kama Christian Falk anavyodaiTumsajili winga ya kulia twende 4-2-3-1
----------------------- HARVETZ --------------------
STERLING -------- MOUNT-------------------- RW
-------------KANTE ---------- KOVACIC --------------
CHIL ---CUCUREL ----- KOULIB ------JAMES
SILAHA ZA BAADAYEUsajili wa Carney Chukwuemeka naona tier 1 zote zimepigwa suprise.
Mambo mengine naona yanaenda kimya kimya
Anachowaza TT ni tofauti na wengi wetu tunachotamaniTumsajili winga ya kulia twende 4-2-3-1
----------------------- HARVETZ --------------------
STERLING -------- MOUNT-------------------- RW
-------------KANTE ---------- KOVACIC --------------
CHIL ---CUCUREL ----- KOULIB ------JAMES
I think atakuwa kama squad player kwa sasa, maana hata kule vila alikuwa anaplay baadh ya game,game zingine akitokea sub, hata game yetu na villa carabao alicheza.SILAHA ZA BAADAYE
Conte hawezi kumuachia KaneAsume tunampata Kane kama Christian Falk anavyodai
4-2-3-1
-----------------------KANE --------------------
STERLING -------- MOUNT-------------------- HAVERTZ
-------------KANTE ---------- KOVACIC --------------
CHIL ---CUCURELA ----- KOULIB ------JAMES
MENDY
AU
3-4-2-1
-----------------------KANE --------------------
STERLING ------------------------------- MOUNT
CHILWELL--------KANTE ---------- KOVACIC --------JAMES
CUCURELA -------SILVA--------- KOULIB
MENDY