passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,529
- 12,508
Wanamalizana deal la colwil hiyo no done deal tayariBango Ni Kubwa Hili
Fabrizio Kawaingiz Mashabik Wa Chelsea Cha Kike![]()
Wanamalizana deal la colwil hiyo no done deal tayariBango Ni Kubwa Hili
Fabrizio Kawaingiz Mashabik Wa Chelsea Cha Kike![]()
Ngoja had asubuhi TuoneWanamalizana deal la colwil hiyo no done deal tayari
Agent wa cucurelaBarca kashafanya yake naanza kuamini
Ndio maana ornstein hajapost
| @gerardromero:
“If I say the name of the player's agent meeting with FC Barcelona, a tsunami will occur.”
![]()
Wewe endelea kubishaAgent wa cucurelaView attachment 2313348
Fabrizio ni source inayoeleweka taka usitake it is done dealHADI KESHO COCURELA TO BARCELONA DEAL DONE
️Barcelona are now serious about hijacking Cucurella, following a meeting with his agent this afternoon. Club is preparing a bid close to £45m including bonuses, paid in instalments.
— @gerardromero
Fabrizio ni source inayoeleweka subiri Tangazo Rasmi kutoka ChelseaWewe endelea kubisha
Hadi kesho utaelewa
Deal la RAPHINA ,Kounde wenzako walikuwa wabishi hivi hivi
Linapokuja swala la habari za Barca Gerald Romero Ni 99.999999%Fabrizio ni source inayoeleweka taka usitake it is done deal
Nafurahi na Nasikitika tu kuuzwa kwa Colwill, basi waweke buyback clauseMarc Cucurella to Chelsea, here we go! Full agreement in place between Chelsea and Brighton for more than £50m. Levi Colwill on the verge of joining Brighton soon.#CFC
Personal terms already agreed, no way for Man City. Cucurella will become Chelsea new signing, done.
Marc Cucurella will be in London on Thursday morning together with his agents: Chelsea have already booked medical tests then contract until June 2028 will be signed.#CFC
Fee will be £52.5m for Cucurella and then Brighton will buy Levi Colwill in a separated deal.
Source: Fabrizio Romano
Cucuela agents angalia hapo it is done dealLinapokuja swala la habari za Barca Gerald Romero Ni 99.999999%
WamewekaNafurahi na Nasikitika tu kuuzwa kwa Colwill, basi waweke buyback clause
Romano akishasema "Here We Go" hakuna kurudi nyumaWewe endelea kubisha
Hadi kesho utaelewa
Deal la RAPHINA ,Kounde wenzako walikuwa wabishi hivi hivi
Wewe Rudi kwenye timu yako ambayo haina futureLinapokuja swala la habari za Barca Gerald Romero Ni 99.999999%
Wanamalizia mambo madogodogo Yulia hiyo ni done dealJamaa wamekanusha kwamba hakuna agreement yeyote
View attachment 2313376