Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu dogo anakaribia kwenda Chelsea ,nadhan Pep amesimamia msimamo wake hawez kuzid £40m

Na Barcelona hawajatia gia namba 2 ,

Ila wanajua watakuja kumchukua muda wowote ,

| Marc Cucurella told @CatalunyaRadio:

“I would really like to return to FC Barcelona one day.”
Hakuna interest yoyote kutoka barce, hizo mnazopost ni banter.

Post kama banter, usipost kama habar
 
Hizi tetesi ziemzidi na zinatia moyo kumbe kuna kitu kinafanyika
  1. Cucurella ni LWB mzuri sana atakuwa upgrade nzuri ya Alonso ili aondoke kwa amani ila tutampata kwa gharama ya kumpoteza Levi Colwill
  2. Fofana ni mzuri japo mimi naona ni bora tungembakiza Levi Colwill
  3. Josko Gvardiol ni CB mzuri tusimuache
  4. Frenkie De Jong ni mzuri ataziba udhaifu wa midfield yetu kwa kuwa na rotation nzuri ya De Jong, Kante, Kovacic, Mount, Gallagher na Jogninho wanaobaki tuwauze (Barkley, RLC, Billy etc)
  5. Sijasikia kuhusu RWB
Nadhani mipango ya TT ni kumchezesha cucurella Kwenye lcb kama hatapata central defender mwingine na atamchezesha Kwenye nafasi lwb kama Alonso atasepa kuhusu rwb nimeona Chelsea walitoa offer ya awali kwa machezaji wa intermilani Denzel Dumfries imekataliwa team yake inahitaji paund 40M kiufupi kama tutafanikiwa kusajili wachezaji wote hao tutakuwa na team ya ushindani yakuchukua kombe lolote lile kasoro ligi pekee
 
Ni ngumu sana kwa chelsea kupata mchezaji ambae anatakiwq na barcelona au madrid ,, ila ni rahis sana kupata mchezaji ambae anatakiwa na man city au arsenal...
Ila pia charisma ya Xavi inawavutia wachezaji wengi kuipenda Barcelona kwa sasa. Naona Xavi ndie kocha atakayeipa mafanikio Barca kama ile ya PEP
 
Gabriel Slonina to Chelsea, here we go
Medical completed on Monday
Just waiting Chelsea to anounce that Slonina is a new Chelsea player and will remain in Chicago Fire for the all season
 
1659432313116.png
 
Todd amekutana na Agent wa Benjamin Šeško wikiendi hii, huyu anakuja kufanana na Erling Haaland kwa ufungaji anachezea RB Salzburg
 
Nimeona debate mtandaoni kuhusu nafasi ya Cucurella ndani ya chelseafc nataka niwape ufafanuzi mashabiki wa chelseafc lengo la TT kumsajili Cucurella ni kutaka aje acheze nafasi ya left central back yaani katika mabeki wale wa tatu yeye awe kushoto na hii kama ikatokea Chelsea hatutasajili cental defender mwingine hiyo ndio itakuwa nafasi yake na anaimudu vizuri amecheza hiyo nafasi kwenye mechi 14 za mwisho ikiwemo dhidi ya Liverpool lakini pia ikitokea Benchilwell hayupo fit atacheza kama left wing back
 
Tupe Takwimu zake
Name: Benjamin Šeško
Club: RB Salzburg
Position: Forward/Striker
Age: 19 yrs
Nationality: Slovenian

Astrian cup 2021/22
Apps: 5; Goals: 5;

Astrian cup 2022/23
Apps: 1; Goals: 1;

Astrian Bundesliga 2021/22
Apps: 24; Goals: 5; assist: 1

Astrian Bundesliga 2022/23
Apps: 2; Goals: 1; assist: 1

Kwa umri wake hizi ni stats nzuri
 
Full agreement now reached between Chelsea and Cucurella on personal terms. Potential contract has been proposal approved, Marc’s prepared to accept once clubs agree on fee. #CFC

Chelsea and Brighton in direct talks again today in order to complete the deal.

Marc Cucurella will not be brought to Chelsea as a back-up but as a key player. His versatility could be a key reason that Thomas Tuchel is so keen on the Brighton defender.

#BLUES sport
 
24-years-old.
Premier League Proven.
Can play LCB, LWB or LB.
#BHAFC Player of the Year last season.

Transfer fee is obviously high, but I really rate him. Think Marc Cucurella be a good addition to this Chelsea team
 
Gabriel Slonina has just signed the contract with Chelsea after medical on Monday - finally sealed between clubs/player. #CFC

Contract valid until June 2028, six year deal;

Slonina will stay at Chicago Fire on loan;

$15m add ons included.

Here we go confirmed.

[Fabrizio Romano]
IMG-20220802-WA0001.jpg
 
Name: Benjamin Šeško
Club: RB Salzburg
Position: Forward/Striker
Age: 19 yrs
Nationality: Slovenian

Astrian cup 2021/22
Apps: 5; Goals: 5;

Astrian cup 2022/23
Apps: 1; Goals: 1;

Astrian Bundesliga 2021/22
Apps: 24; Goals: 5; assist: 1

Astrian Bundesliga 2022/23
Apps: 2; Goals: 1; assist: 1

Kwa umri wake hizi ni stats nzuri
Bado Takwimu hazishawishi yaani kwenye mechi 24 una goal 5 na assist 1
 
24-years-old.
Premier League Proven.
Can play LCB, LWB or LB.
#BHAFC Player of the Year last season.

Transfer fee is obviously high, but I really rate him. Think Marc Cucurella be a good addition to this Chelsea team
Kabisa kwa tukimpata huyu tutakuwa tumefanya signings nzuri Sana msimu Huu ni aina ya saini ambazo impact inaonekana mapema kuliko zile za kina Timo werner
 
Full agreement now reached between Chelsea and Cucurella on personal terms. Potential contract has been proposal approved, Marc’s prepared to accept once clubs agree on fee. #CFC

Chelsea and Brighton in direct talks again today in order to complete the deal.

Marc Cucurella will not be brought to Chelsea as a back-up but as a key player. His versatility could be a key reason that Thomas Tuchel is so keen on the Brighton defender.

#BLUES sport
Fabrizio kaboronga kiingereza kwenye hii sentensi

Potential contract has been proposal approved, Marc’s prepared to accept once clubs agree on fee
Hapo kaongea kimombo cha kinyamwera

Ilitakiwa iwe

Potential contract proposal has been approved....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom