lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,482
Kwani wewe unavyocoment unajua hujui, sikuwahi kusema Conor Galagher ni beter than Mount ila niliweka equivalent. So Nyani haoni kwake nyuma anaona ya wenzake tu. So sad Mwamaleki. Hapa tunachambua soka sio lazima ukubaliane na maoni ya mwenzakoKuna mwana mmoja humu huwa anaamini anajua kila kitu. Anaitwa Lembu.
Alikua anapiga mayowe mengi sana kwamba Gallagher is better than Mount. Sijui anaangaliaga mpira akiwa amekunywa balimi![]()

. Ngoja tuone kama atanunuliwa.

