TT anang'ang'aniza BROJA abaki asiuzwe, labda TT anataka kumjenga kijana awe moto wa kuotea mbali
Ongeza Pulisic hapoLukaku
Werner
Ziyech
Wastage of Money and time.
Namba 9 gani yupo sokon wa uhakika tutakaekuwa nae kwa zaidi ya misim mi3Inamaana tumeshindwa kumsajili namba 9 striker wa uhakika!!!!!???
Ni wewe ndio umetaka kumfananisha Broja na Lukaku. Halafu nilimaanisha kiubora katika commitment. Broja anaweza kuwa commited na Chelsea kuliko Lukaku na hapo ndio linakuja swala la ubora kati yao kwetu hasa katika hiki kipindi. Hebu mfuatilie Broja sio mchezaji mbovu kama unavyo jiaminisha mkuu.Weken mahaba pembeni, mi Lukaku alikua ananikera, na pia nilishamkataa humu tokea anataka kusajiliwa kutoka inter ila nilishambuliwa kw maneno. ila ni kumkosea heshima kumfananisha Lukaku na huyu muhindi bhana.
Hata robo tu haingii, tym will tell
Na ndio kocha mzuri anavyotakiwa kuwa. Sio wakati wote itakubidi usajili tutumie zao letu la academy vizuriTT anang'ang'aniza BROJA abaki asiuzwe, labda TT anataka kumjenga kijana awe moto wa kuotea mbali
Broja Hana experience yeyote, ndio soka lake linaanza, halafu Kuna wapendwa hapa wanamlinganisha na Lukaku aliyekuwa chumvi nyingi kwenye soka. Ni dhambi kubwa sana. Broja akipata kocha mzuri atakuja kuwa untouchable I tell you. Miaka 20 sio wa kumlinganisha na zembe jinga kama LukakuNi wewe ndio umetaka kumfananisha Broja na Lukaku. Halafu nilimaanisha kiubora katika commitment. Broja anaweza kuwa commited na Chelsea kuliko Lukaku na hapo ndio linakuja swala la ubora kati yao kwetu hasa katika hiki kipindi. Hebu mfuatilie Broja sio mchezaji mbovu kama unavyo jiaminisha mkuu.
Klabu yetu ya Chelsea sio mahala sahihi kwa academy players. Huyu Broja akipewa nafasi zaidi ya watu kama Greenwood walivyoanzaBroja Hana experience yeyote, ndio soka lake linaanza, halafu Kuna wapendwa hapa wanamlinganisha na Lukaku aliyekuwa chumvi nyingi kwenye soka. Ni dhambi kubwa sana. Broja akipata kocha mzuri atakuja kuwa untouchable I tell you. Miaka 20 sio wa kumlinganisha na zembe jinga kama Lukaku
And spaceLukaku
Werner
Ziyech
Wastage of Money and time.
🤣🤣🤣🤣🤣Dah nimemsahau huyo mtumishi hewa
Hapo naona umeongea kishabiki Chelsea inakuaje ni team ndogo kwa hoja zipi kama ndio hoja yako hiyo mbona man u wachezaji wameikataa nayo ni ndogo? Reasons za kwanini baadhi ya wachezaji kuikataa chelseafc ni kwasababu structure nzima ya Chelsea imevurugika baada ya ujio wa wamiliki wapya na kibaya zaidi walikuwa wanahusika na masuala ya usajili na negotiations ya mikataba wameondoka wote kwa pamoja mama marina na Peter Cech pamoja na raisi wa chelsea katika kipindi muhimu kama hichi Cha usajili so imekuwa haina tena technical director so anayehisika sasa hivi ni Tajiri mwenyewe ambaye hana uzoefu wowote na hayo masuala hajui kushawishi wachezaji hajui kufanya communication na wachezaji na mbaya zaidi ni mbahili hivyo vyote ndio maana inatokea hiyo hali alafu kibaya zaidi anashindana na watu ambao wanauzoefu na hiyo kazi kama raisi wa Barcelona laporta anajua michezo michafu na pia yuko vizuri kwenye communication na mchezaji ambacho ni japo muhimu Sana kwenye kufanya agreement na mchezaji Unaweza usiwe na pesa lakini uwezo wa communication ukasaidia kumshawishi mchezaji.Chelsea is simply a small club thus why every player is refusing to join the club.
Hapo naona umeongea kishabiki Chelsea inakuaje ni team ndogo kwa hoja zipi kama ndio hoja yako hiyo mbona man u wachezaji wameikataa nayo ni ndogo? Reasons za kwanini baadhi ya wachezaji kuikataa chelseafc ni kwasababu structure nzima ya Chelsea imevurugika baada ya ujio wa wamiliki wapya na kibaya zaidi walikuwa wanahusika na masuala ya usajili na negotiations ya mikataba wameondoka wote kwa pamoja mama marina na Peter Cech pamoja na raisi wa chelsea katika kipindi muhimu kama hichi Cha usajili so imekuwa haina tena technical director so anayehisika sasa hivi ni Tajiri mwenyewe ambaye hana uzoefu wowote na hayo masuala hajui kushawishi wachezaji hajui kufanya communication na wachezaji na mbaya zaidi ni mbahili hivyo vyote ndio maana inatokea hiyo hali alafu kibaya zaidi anashindana na watu ambao wanauzoefu na hiyo kazi kama raisi wa Barcelona laporta anajua michezo michafu na pia yuko vizuri kwenye communication na mchezaji ambacho ni japo muhimu Sana kwenye kufanya agreement na mchezaji Unaweza usiwe na pesa lakini uwezo wa communication ukasaidia kumshawishi mchezaji.
allypipi
Hiyo sababu uliyotoa is OK plus na hiyo sababu aliyoitoa Kounde, spesifically TT kazidiwa na Xavi kwenye kushawishi wachezaji, this is a very big gap ambayo tunayo sasa hivi. Kocha hata kama ni mzuri kwenye kumanage team sio mzuri sana kwenye kushawishi wachezaji kuja chelsea ukimlinganisha na Xavi au hata Lampard alivyokuwa ChelseaSababu za Kounde kuchagua Barcelona dhidi ya Chelsea ni mawasiliano kati yake na Xavi. Mawasiliano haya yalikuwa ni ya mara Kwa mara na kumfanya Kounde amuone Xavi kwamba Wana mtizamo na falsafa iliyofanana kuhusu football. Hiki kitu hakipo sana kwa Tuchel. Aliyekuwa nayo kidogo ni Lampard. Mchezaji ni kama msichana, usipojua kumtongoza vizuri hawezi kukubali. Sio pesa Wala nguvu ndio inayomsajili mchezaji.
The coach Xavi is one of the great reasons why I’m here. I’ve spoken to him several times and the way he spoke was captivating. We had some good conversations, we see football in the same way. Now it’s a question of coming into the team, doing my best and getting as many minutes as possible.”
-Said Kounde



Japo Abrahama ni strike mzuri lakini AS Roma anafit kwa sababu kule hakun a presure, huku Chelsea kinachofanya wachezaji wengi washindwe ni presure , too much expectation from fans, team, board, coach etc