Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bora tupunguze madeadwood kwanza, hawa ni watumishi hewa
Deadwood wakiondoka bila kusajili nani atacheza, kuna uwezekano James akabaki peke yake
CB wakabaki hao watatu, ikitokea injury, viungo watapungua maan pia huko wapo deadwood wengi
Zoezi la kuondoa liende sambamba na kuleta replacement
 
Timing ya Marina ndio alipofail kwenye uuzaj wa wachezaj huku akishindwa ongeza mkataba rudiger n christensen

Je kwa uwezo alionyesha rudiger o christeansen unahis Tomori angeweza waweka bench??

Halaf Lewis Hall amecheza dhidi ya tim ya daraja la 1, sawa anaweza perform, je kunauhakika wowote anaweza waweka chilwell or Alonso njee

Still anamiaka 17, bado ananafas ya kutumika ndio maana stil yuko kwenye vikos vya vijana na hajatolewa kwa mkopo.
Time ilikuwa nzuri tu kumpa nafasi huyo dogo kwasababu kipindi kile Benchilwell alikuwa injured na Alonso kiwango chake kilikuwa kinasuasua hapa ndio point ilipo mbona unakuwa mgumu kunielewa Alonso kaanza kuperform mechi za mwishoni
 
Kumekucha. Haaland leo kakaribishwa Uingereza kwenye Community Shield. Tayari ameshafananishwa na Lukaku. Na inaonekana akipanic anapanic vizuri. Magazeti yakianza kumuandika hasi kwa kukosa magoli ya wazi, atapoteza uelekeo kama Torres alivyopoteza baada ya kujiunga Chelsea kwa £50m.View attachment 2309255
Usipende kumjudge mtu kwa mechi Moja sio kila mchezaji anapoenda ligi nyingine game tu anakiwasha
 
Mapema sana kusema hivyo. Pep atamtengenezea system bora ya uchezaji. Unaweza kushangaa msimu ujao PEP akaja na style nyingine ya kiuchezaji kumu - accommodate halland.

Nunez faida aliyopata mapema ni style yake ya uchezaji (usharp, kasi) imeendana na Liverpool.
Halaand aka Helena ataflop Ile mbaya.

Time will tell epl sio bundesliga
 
Yule Nunez pale Liverpool ndio mahali pake. Jamaa yuko sharp sana, anaendana sana na spidi ya Liverpool kiuchezaji.

Angekuja THE BLUES angefeli sana, mpira wetu wa taratibu sana wa kupaka paka rangi. Kujazana lundo goli la mpinzani.
Umesema kweli, so tusiendelee kuwajudge Hawa flops wetu. Kocha anatakiwa abadilike. Twende na mpira wa Kasi zaidi na direct football sio huu wa mabeki kupasiana
 
Mapema sana kusema hivyo. Pep atamtengenezea system bora ya uchezaji. Unaweza kushangaa msimu ujao PEP akaja na style nyingine ya kiuchezaji kumu - accommodate halland.

Nunez faida aliyopata mapema ni style yake ya uchezaji (usharp, kasi) imeendana na Liverpool.
Style pekee ni kuacha filosofia yake ya kukaa na mpira na kubadili kwenda counter au direct football Kwa kushambulia
 
Usipende kumjudge mtu kwa mechi Moja sio kila mchezaji anapoenda ligi nyingine game tu anakiwasha
Siyo mimi niliyehukumu. Nimeweka hata link. Ni mashabiki na vyombo vya habari vya Uingereza. Wao ndio wanaamua mchezaji aflop au ang'are. Mashabiki na vyombo vya habari wakiendelea na hizo kebehi, Haaland atapotea hata Pep ashangae.
 
Excl: Gaga Slonina to Chelsea, here we go! Agreement with Chicago Fire for $15m, add-ons included. Talented GK and his agent will fly to London on Sunday to complete medical and sign. #CFC

Slonina will finish the season with Chicago before joining Chelsea on January 1.

Source-Fabrizio Romano
 
Siyo mimi niliyehukumu. Nimeweka hata link. Ni mashabiki na vyombo vya habari vya Uingereza. Wao ndio wanaamua mchezaji aflop au ang'are. Mashabiki na vyombo vya habari wakiendelea na hizo kebehi, Haaland atapotea hata Pep ashangae.
kebehi zinahusiana nini na actual performance?
 
Ishu sio TT kubadilisha style ya uchezaji, ishu una wachezaji gani ambao wana uwezo wa kucheza style nyingine?

Kwa mfano sasa hivi ukimletea CONTE pale THE BLUES, kwenye huu huu mfumo wa 3-4-3 kuna wachezaji watakosa namba kwenye kikosi chake na atasajili wachezaji wengine kwendana na style yake ya uchezaji.

Ndio maana 343 ya TT ni tofauti na 343 ya conte kwenye style ya uchezaji.

Ndio maana TT anataka wasajiliwe wachezaji wengine wasiopungua 5 ahamie kwenye mfumo wake pendwa 4231 abadilishe style ya uchezaji.
Tusimtetee sana TT Kuna vitu hatujui. Haiwezekani wachezaji wengi waflop, wengine kulalama na wengine kutaka kuondoka. Sehemu TT kaipatia vyema ni defense tu. Maeneo mengine ni flops. Tusubiri Muda ndio utatukosoa Kwa hili.
 
Nadhani pia man management yake inayo walakini. Japo hata wachezaji manunda wapo. Nimekuwa na mashaka sana na attitude ya baadhi ya wachezaji kama Ziyech, Odoi na hata Lukaku kabla hajaondoka.
 
Tusimtetee sana TT Kuna vitu hatujui. Haiwezekani wachezaji wengi waflop, wengine kulalama na wengine kutaka kuondoka. Sehemu TT kaipatia vyema ni defense tu. Maeneo mengine ni flops. Tusubiri Muda ndio utatukosoa Kwa hili.
Kwamba leo hii makocha ndio wenye shida??? Tuache utani mkuu,

Sarri, Lampard hawa wote wamestruggle kabla ya tuchel na kikosi hicho hicho.

Kikosi kimesajili na makocha wa 3 hata wewe leo hii ukienda kukifundisha utaperform few games then cycle inajirudia.

Sisi tumekuwa wakinani ambao hatutak mabadililo kuwa kikosi chetu kinashida na si kocha.

Angalia Psg n Dortmund wakat wa tuchel jins walivyokuwa wanacheza halaf angalia na sisi
 
Breaking : Chelsea are working on deals for Wesley Fofana AND Denzel Dumfries.
Leicester value Fofana at £80-85m but Chelsea hope they could lower the price by offering players. (@David_Ornstein)
 
Yule Nunez pale Liverpool ndio mahali pake. Jamaa yuko sharp sana, anaendana sana na spidi ya Liverpool kiuchezaji.

Angekuja THE BLUES angefeli sana, mpira wetu wa taratibu sana wa kupaka paka rangi. Kujazana lundo goli la mpinzani.
Umesema sahihi kabisa. Tunaweza sajili mchezaji mzuri ila tatizo likaja kwetu akawa hafai kwenye mfumo wa uchezaji wetu
 
Yule Nunez pale Liverpool ndio mahali pake. Jamaa yuko sharp sana, anaendana sana na spidi ya Liverpool kiuchezaji.

Angekuja THE BLUES angefeli sana, mpira wetu wa taratibu sana wa kupaka paka rangi. Kujazana lundo goli la mpinzani.
Miaka ya hiv karibuni tunasajil wachezaj wasioendana na mifumo ya kocha, ya kocha anataka panga we unaleta shoka, ndio madhara yake haya

Mara mwisho kufanya usajil wa kwa matakwa ya kocha na uchezaj wake ni msim ule wa mourinho 2nd spell(fabregas,costa,luis n andree schurlle) na msim wa 1 wa Conte

Baada ya hapo tukapotea kwenye usajil tukawa watu wa kukurupuka bila kuangalia yule mchezaj anaendana na falsafa za kocha o lah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom