Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimependa jins havertz,sterling n mount wanavyolink + movem3nt zao, huku havertz n sterling wakialternate

Tungeweza shindq zaidi ya 3, if tukiweza tumianafas.
 
Hahahaha[emoji1787]

[emoji117] Binafsi kitendo cha tajiri kuingia sokoni kwenye usajili nilishangaa.

[emoji117] Tasnia ya Mpira ni kama familia moja.

[emoji117] Msimu mzima wakurugenzi wa vilabu, mawakala, wachezaji, scounting team na makocha wanakuwa kwenye mawasiliano kuhusu mambo ya sajili.

[emoji117] Dirisha linapofunguliwa ni kukamilisha deals mbali mbali.

[emoji117] Naimani hata Marina na Peter cech kabla ya vita ya ukraine, walikuwa wamesha- identify target zao sokoni na walikuwa wameshaanza kufanya mazungumzo mdogo mdogo na wadau mbali mbali.
Marina alifanikiwa kwenye kufanya mauzo mazuri ya wachezaji ila alifeli kurecruit team ya ushindi. Most of the time alinunua wachezaji kinyume na matakwa ya kocha. Angalia manunuzi ya Drinkwater, Bakayoko, Barkey, Emerson, Werner;
 
Koulibaly na sterling wameongeza kitu kikubwa Chelsea kwangu koulibaly ni best defender at this generation anajua kazi chafu anapiga pass za kwenda mbele, mtulivu na ni mzuri kwenye kusoma mchezo.Tukija kwa sterling kinanivutia kwake ni movement zake ndani ya box, mnyumbulifu na anajua kuforce hiki kitu tumekikosa Sana tangu Hazard aondoke atimaye tumampata mchezaji wa aina hii.Leo tumecheza vizuri Sana nafikiri kauli za ukali wa kocha TT zimesaidia haya mabadiliko ya wachezaji siku ya Leo kitu muhimu tuongeze saini kwa baadhi ya maeneo tutakuwa team tishio
 
Marina alifanikiwa kwenye kufanya mauzo mazuri ya wachezaji ila alifeli kurecruit team ya ushindi. Most of the time alinunua wachezaji kinyume na matakwa ya kocha. Angalia manunuzi ya Drinkwater, Bakayoko, Barkey, Emerson, Werner;
Hao karibia wote uliowataja walikuwa wanafanya vizuri kwenye timu zao za zamani ila walikuja kuflop wakiwa Chelsea
  1. Drink water alicheza vizuri sana na Kante Leicester city hadi wakachukua EPL
  2. Bakayoko alicheza vizuri sana Monaco hadi akaiwezesha kubeba League One
  3. Werner tunamfahamu fika alipokuwa anafunga magoli RB Leipzig
  4. Barkley hadi tukamuita the next Frank Lampard
  5. Emerson pekee ndie sikujua terma za kumsajili kutoka AS Roma
 
IMG-20220730-WA0000.jpg
 
HONGERENI KWA USHINDI THE BLUES.

Jana sikupata bahati nzuri ya kuangalia mechi.

Ila naimani kikosi kinazidi kuimarika.
Mimi jana niliona waliokuwa [emoji91]ni Koulibaly, Kante, Jorginho na Mount. Wengine wote walikuwa wastani au chini ya wastani. Lakini mikimbio ya Raheem ilionesha atakuwa mtu wa namna gani kadiri msimu unavyosonga.
 
Kwingineko, kumbe Chelsea waliweka buyback clause kwa Tammy Abraham. Lakini dogo anasema anayo furaha ya kutosha na anamwagilia moyo huko Rumi. Baada ya kufunga magoli 27 kwa msimu wake wa kwanza hafikirii kabisa kurudi Stamford Bridge.

 
HONGERENI KWA USHINDI THE BLUES.

Jana sikupata bahati ya kuangalia mechi.

Ila naimani kikosi kinazidi kuimarika.
hata mimi sikuangalia, king'amuzi changu hakikuonyesha jana wamezana kuonyesha coomonweath competitions ila kwenye line up ilionyesha kuwa TT kashamaliza pre season kule USA. Jana kapabga kikosi kazi tu. kila mtu kwenye nafasi yake na kutumia formation yetu pendwa ya 343
 
Basi hizo sajili za KOULIBALY na STERLING zimeleta uhai.

Sasa hapo tuongeze sajili 4 (CAM mbunifu, Winga ya kulia na CB wawili + Azip abaki)

Striker tutamsajili dirisha lijalo kwa sasa twende na false No.9 (Kai), Broja, Batshuayi.
Batshuayi ma Barkley hawana nafasi kwenye plans za TT msimu huu unaokuja ambao watakuwepo ni Havertz, Broja, Pulisic na may be Werner japo kwa sasa hana mahusiano mazuri na mjerumani mwenzake baada ya kusema hayuko happy kwenye media na atakuwa happy nje ya Chelsea

Azpilicueta na Alonso sidhani kama watabaki, kati ya wachezaji ambao ni lazima wasajiliwe hata kama kwa kuchelewa ni RB na CB wawili zaidi
 
Batshuayi ma Barkley hawana nafasi kwenye plans za TT msimu huu unaokuja ambao watakuwepo ni Havertz, Broja, Pulisic na may be Werner japoo kwa sasa hana mahusiano mazuri na mjerumani mwenzake baada ya kusema hayuko happy kwenye media na atakuwa happy nje ya Chelsea

Azpilicueta na Alonso sidhani kama watabaki, kati ya wachezaji ambao ni lazima wasajiliwe hata kama kwa kuchelewa ni RB na CB wawili zaidi
Werner kuna uwezekano mkubwa sana akarudi Leipzig kwa mkopo msimu ujao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom