Usitishike na preseason subiri ligi ianze ndio utaona rangi halisi ya Arsenal
Usitishike na preseason subiri ligi ianze ndio utaona rangi halisi ya Arsenal
Nayaheshimu mtizamo wako mkuu ila Arsenal ya Arteta ya safari hii sio ya kuibeza hata kidogo wao na Spurs wamejiandaa msimu ujao kuliko sisi. Hata mentality ya wachezaji na kocha iko tofautiChief tulinganishe na timu nyingine sio Arsenal.
Akili za kuambiwa pia changanya na zako.
May be huu msemo wa wahenga utimieUsitishike na preseason subiri ligi ianze ndio utaona rangi halisi ya Arsenal
Hiv Arsenal hii Unaweza kuifananisha na ile iliyokuwa inashindania ubingwa na leicester city na Tottenham mwisho wa siku leceister city ndio akabeba kombe katika kipindi ambacho Chelsea, man u, liver na mancity wapo hovyo na still kashindwa kuchukua kombe msimu uliopita alishinda mechi 13 mfululizo na wakawa kwenye form nzuri tu mechi tano za mwisho wakashindwa kukaa kwenye top 4 nafasi yao akachukua Tottenham nakupa mifano ili ujue uhalisia wa Arsenal ilivyo ndio maana kuna wakati nawaonea huruma mashabiki wanaoishabikia Arsenal kiukweli wanauvumilivu mnoNayaheshimu mtizamo wako mkuu ila Arsenal ya Arteta ya safari hii sio ya kuibeza hata kidogo wao na Spurs wamejiandaa msimu ujao kuliko sisi. Hata mentality ya wachezaji na kocha iko tofauti
Tusimtukane Mamba ilihali hatujavuka mto
Lakini mkuu nazungumzia msimu ujao kwa kubase usajili na preseason, hayo ya miaka ya nyuma tumuachie NguessoHiv Arsenal hii Unaweza kuifananisha na ile iliyokuwa inashindania ubingwa na leicester city na Tottenham mwisho wa siku leceister city ndio akabeba kombe katika kipindi ambacho Chelsea, man u, liver na mancity wapo hovyo na still kashindwa kuchukua kombe msimu uliopita alishinda mechi 13 mfululizo na wakawa kwenye form nzuri tu mechi tano za mwisho wakashindwa kukaa kwenye top 4 nafasi yao akachukua Tottenham nakupa mifano ili ujue uhalisia wa Arsenal ilivyo ndio maana kuna wakati nawaonea huruma mashabiki wanaoishabikia Arsenal kiukweli wanauvumilivu mno
Arsenal itakuja kubadilika pale ambapo watakuja kusajili made player au proven player tofauti na hapo Arsenal itakuwa ile ile ndugu tupo hapa iweke hii comment yangu usitishike na preseason yao ngoja ligi ianze utakubaliana na mimiLakini mkuu nazungumzia msimu ujao kwa kubase usajili na preseason, hayo ya miaka ya nyuma tumuachie Nguesso
Kuna article moja jana niliisoma TT anashushuliwa mbaya kuhusu Gilmour. Anaambiwa Gilmour ni mchezaji wa timu ya taifa Wales, ameiwakilisha mara nyingi tu. Ilikuwaje huko US kwenye preseason apelekwe akacheze na development squad, watoto ambao ni wadogo kwake kwa miaka 4 hadi 5 wala siyo hata reserve team.Dogo Glimour always anachezaga vizuri ana akili kubwa sana ya mpira labda changamoto kwake ni nguvu + kasi.
Yesu kapiga hat trick? Lakini safari hii Arsenal wapo vizuri maana mitume wote wanao (Jesus na Muhammad - Elneny)




Development squad siyo ya watoto, ni squad ambayo wachezaji wanaotarajiwa kuingizwa kwenye fisrt team wanapitia kutokea academy hadi vijana wa 23 yrs wako pale pia wachezaji wanaotokea majeruhi kama bado hawapo fit kocha anaweza kuwapeleka huko ili wainue fitness yao kwanza. Swali je Gilmour hakuwa na fitness ya kutosha hadi apelekwe huko? au ni ile sababu aliyosema TT kuwa alitaka squad ndogo ili quality ionekane ya mazoezi hata hjivyo tukaishia kufungwa mfululizoKuna article moja jana niliisoma TT anashushuliwa mbaya kuhusu Gilmour. Anaambiwa Gilmour ni mchezaji wa timu ya taifa Wales, ameiwakilisha mara nyingi tu. Ilikuwaje huko US kwenye preseason apelekwe akacheze na development squad, watoto ambao ni wadogo kwake kwa miaka 4 hadi 5 wala siyo hata reserve team.
Kabla ya mkopo na team yake kushuka daraja alicheza kwa kiwango cha juu EPL hadi akawa MoTM mechi kati ya Liverpool na Chelsea. Inakuwaje TT amuone hana thamani kiasi hicho? Badala ya kumpa confidence anamshusha morali. Huku ni kumvunjia heshima na kumdhalilisha.
Yesu kapiga hat trick? Lakini safari hii Arsenal wapo vizuri maana mitume wote wanao (Jesus na Muhammad - Elneny)![]()
Sio tu billy pekee kuna huyu Lewis Hall ndio ananiuma Sana sijajua huyu dogo ni raia wa nchi ni fundi Sana technically gifted anajua kupiga pass, yupo vizuri kwenye ukabaji na anauwezo wakucheza nafasi tofauti kama CAM na Wing back na Left back lakini chakushangaa hakuna hata mechi Moja ya preseason aliyopewa TT sijui anashida na hawa makinda hivi huyu dogo akampata mtu kama klopp au Guardiola tutaanza kulia liaKuna article moja jana niliisoma TT anashushuliwa mbaya kuhusu Gilmour. Anaambiwa Gilmour ni mchezaji wa timu ya taifa Wales, ameiwakilisha mara nyingi tu. Ilikuwaje huko US kwenye preseason apelekwe akacheze na development squad, watoto ambao ni wadogo kwake kwa miaka 4 hadi 5 wala siyo hata reserve team.
Kabla ya mkopo na team yake kushuka daraja alicheza kwa kiwango cha juu EPL hadi akawa MoTM mechi kati ya Liverpool na Chelsea. Inakuwaje TT amuone hana thamani kiasi hicho? Badala ya kumpa confidence anamshusha morali. Huku ni kumvunjia heshima na kumdhalilisha.
Hivi uoni ujio wa koulibaly na sterling wameongeza kitu ndani ya kikosiUkweli ni kwamba tupo kwenye kundi la kushindania ubingwa la EPL... Timu yoyote ukipata majeruhi Kama tulivyopata msimu uliopita lazima watumbe tu.
Hivi pale Madrid Kuna wachezaji gani wa maana ukilinganisha na Chelsea? Still walichukua makombe...ni muda wa kocha kutumia rasilimali zilizopo na kushinda makombe, tumeingia fainali mbili msimu uliopita na tukatolewa kwenye penalty na tukafika hatua nzuri zaidi UCL msimu uliopita.
Tuseme ukweli, Chelsea bado ni timu yenye kikosi kizuri miongoni kwa timu barani ulaya, hizo timu za Liverpool na Man City wakipata majeruhi kwa key players wanne Kama tulivyopata msimu uliopita mtashangaa sana.
Tunaposema tufanye usajili, je wachezaji wa maana wanaowazidi tulionao wako wapi sokoni? au tunawaleta wachezaji ili wazoee ligi kwa misimu miwili then tunaowatoa nao wanakwenda kufanya vizuri huko waendako?
Tukubali tu, kama Chelsea wanataka kufanya vizuri inabidi kumpatia Kocha muda wa kutosha lakini siyo kununua tu wachezaji kisa timu zingine wananunua.
Chelsea ndiyo timu Ulaya wanaopeleka wachezaji wengi kwa mkopo, je tumeshajiuliza ni kwanini?
Mkuu tim nzima haiwez jaa academy,Sio tu billy pekee kuna huyu Lewis Hall ndio ananiuma Sana sijajua huyu dogo ni raia wa nchi ni fundi Sana technically gifted anajua kupiga pass, yupo vizuri kwenye ukabaji na anauwezo wakucheza nafasi tofauti kama CAM na Wing back na Left back lakini chakushangaa hakuna hata mechi Moja ya preseason aliyopewa TT sijui anashida na hawa makinda hivi huyu dogo akampata mtu kama klopp au Guardiola tutaanza kulia lia
Nazungumzia Hali ya Sasa baada ya ujio wa hao wawili...Mimi kwakweli sipendezwi na Hali ya Chelsea kuwa na wachezaji wengi wenye uwezo chini ya miaka 23 alafu hawapewi nafasi, kwakweli inaniuma sana.Hivi uoni ujio wa koulibaly na sterling wameongeza kitu ndani ya kikosi
Kipindi Cha majeruhi ya Jemes na Chillwell yule dogo angetusaidia sana.Nazungumzia Hali ya Sasa baada ya ujio wa hao wawili...Mimi kwakweli sipendezwi na Hali ya Chelsea kuwa na wachezaji wengi wenye uwezo chini ya miaka 23 alafu hawapewi nafasi, kwakweli inaniuma sana.
Hivi Lapsey sijui nimepatia jina vizuri, tukiwa kwenye Hali mbaya ya majeruhi...mechi yetu na Arsenal aliingia na kutusaidia kutoka na Ushindi lakini akauzwa kwenda Briton.
Dg alikataa kuongeza mkataba, n akataka awe anacheza mara kwa maraNazungumzia Hali ya Sasa baada ya ujio wa hao wawili...Mimi kwakweli sipendezwi na Hali ya Chelsea kuwa na wachezaji wengi wenye uwezo chini ya miaka 23 alafu hawapewi nafasi, kwakweli inaniuma sana.
Hivi Lapsey sijui nimepatia jina vizuri, tukiwa kwenye Hali mbaya ya majeruhi...mechi yetu na Arsenal aliingia na kutusaidia kutoka na Ushindi lakini akauzwa kwenda Briton.