juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Combination ya Havertz, Mount n Sterling jana ilikuwa iko poa, Jins wanavyolink huku Sterling na Kai wakibadilishana nafasi,Mimi jana niliona waliokuwa [emoji91]ni Koulibaly, Kante, Jorginho na Mount. Wengine wote walikuwa wastani au chini ya wastani. Lakini mikimbio ya Raheem ilionesha atakuwa mtu wa namna gani kadiri msimu unavyosonga.
Jana jorginho kacheza poa sana,more progressiv passes,
Mendy now anafanya upuuzi magoal anayofungwa