Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kikosi cha wachezaj 28 kimewasil leo udin kwa ajil ya mchezo dhid ya udinesse, utakaopigwa saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki

Kikosi kamilo

GK : Mendy, Kepa, Betinelli

Def : Silva, Koulibaly, Sarr, Chalobah, James, Chilwell, Emerson, Alonso, Ampadu, Kenedy, Azpi.

Mid : Kante, RLC, Kovacic, Jorginho, Gilmour, Gallagher.

ATT : Havertz, Broja, CHO, Vale, Ziyech, Puli, Mount, Sterling.

Wachezaj walioachwa
Barkley n batshuay (wamebaki cobham)

Majeruhi
Werner n Colwill
 
Japo Abrahama ni strike mzuri lakini AS Roma anafit kwa sababu kule hakun a presure, huku Chelsea kinachofanya wachezaji wengi washindwe ni presure , too much expectation from fans, team, board, coach etc
Well said bro. Nilijua ubaya wa pressure Torres alipotoka Liverpool kuja Chelsea. Pamoja na expectations za mashabiki kuwa juu, lakini media za ulaya ni mbaya sana kwa team kama Chelsea. So negative.
 
Ila wewe jamaa mpaka sasa sijakuelewa, uko na sisi chama moja au unatupiga mishale mgongoni?
Mimi nilianza kuishabikia Chelsea tangu 1994 wakati huo kocha akiwa Glen Hoddle. 1994/95 ulikuwa tulimaliza ligi sijui nafasi ya 11 au 12. Champion Blackburn Rovers. Zilikuwepo team machachari akina Middlesbrough, Wimbledon, NottinghamForest. Akina Arsenal afadhali hata sisi
 
Kikosi cha wachezaj 28 kimewasil leo udin kwa ajil ya mchezo dhid ya udinesse, utakaopigwa saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki

Kikosi kamilo

GK : Mendy, Kepa, Betinelli

Def : Silva, Koulibaly, Sarr, Chalobah, James, Chilwell, Emerson, Alonso, Ampadu, Kenedy, Azpi.

Mid : Kante, RLC, Kovacic, Jorginho, Gilmour, Gallagher.

ATT : Havertz, Broja, CHO, Vale, Ziyech, Puli, Mount, Sterling.

Wachezaj walioachwa
Barkley n batshuay (wamebaki cobham)

Majeruhi
Werner n Colwill
Mechi ni lini?
 
Safi sana chief. Uko vizuri kiushabiki.

Karibu sana kwenye jukwaa la mabingwa wa dunia.

Mawazo na ushauri wako ni vya muhimu sana.
Tupo pamoja. Ni mtazamo tu na mawazo yangu kwamba aliyekuja kuiharibu Chelsea, pamoja na mafanikio yake makubwa, ni Mourinho. Yeye kama mchezaji alimchukulia kama nguo, basi yeye hakuwa tayari anunue kitambaa kiende kwa fundi apimwe halafu ashonewe. Yeye alipenda kununua ready made garment. Hakuweza kusubiri fundi (yeye mwenyewe) ashone ainyooshe nguo avae. Angalia bei za wachezaji aliowanunua. Ni juu mno ikawa kama sasa ni SI Unit ya Ulaya.

Mourinho hakuwa tayari kumfundisha mchezaji aujue mpira acheze kama anavyotaka yeye. Alinunua ambao tayari wanaujua. Japo hata ambao waliujua, style yake pamoja na mahusiano yake na wachezaji yalileta kasoro kubwa. Angalia akina Torres, Shevchenko, kwanza ni tajiri aliwanunua yeye akafanya roho mbaya, hakuwachezesha ipasavyo ndio maana waliflop mbaya. Lakini pia ndio maana Mourinho alikuwa hakai mahali zaidi ya misimu 3 kwasababu aliwachanganya sana wachezaji kimfumo na jinsi anavyowatumia (mara nyingi out of position) na kutaka kila mchezaji awe mkabaji hata kama ni No.9.

Tuje kwa akina Salah, De Bruyne, Andre Schule, akina Mateja Kezman, Lukaku, Mcolombia wingback alirudi Juve, n.k., n.k., hao wote hakutaka kuwamould wacheze anavyotaka. Yeye aliona kama wanamchelewesha, akawatema. Na wakaenda pengine ambako walithamini potential yao, wakawafundisha, wakaelewa, wakatusua.

Tajiri naye (Abramovich wakati ule), kwasababu alitoa pesa nyingi kwa ajili ya wachezaji, lazima demand yake iwe juu. Ndio maana karibu kila mwaka au baada ya misimu miwili Chelsea lazima kocha atimuliwe.
 
Chelsea is simply a small club thus why every player is refusing to join the club.
Yes. Because in EPL there are only 2 Big clubs by that logic. One of them is the EPL champion and was beaten multiple times by this small club. This small club will be representing EPL in UCL with fellow small teams!
 
Hiyo sababu uliyotoa is OK plus na hiyo sababu aliyoitoa Kounde, spesifically TT kazidiwa na Xavi kwenye kushawishi wachezaji, this is a very big gap ambayo tunayo sasa hivi. Kocha hata kama ni mzuri kwenye kumanage team sio mzuri sana kwenye kushawishi wachezaji kuja chelsea ukimlinganisha na Xavi au hata Lampard alivyokuwa Chelsea
Lampard kuna watu walimponda sana nikasema, ni kocha mzuri aliyekosa uzoefu na akiwa na mapungufu kadhaa. Ila hakuwa mbaya kama wengi walivyomponda humu ndani!
 
XI vs Udinesse
Mendy
Azp Silva Koulibal
James Kante Jorginho Alonso
Sterling Havertz Mount

Sub - Kepa, Emerson, Kenedy, Gilmour, Hudson-Odoi, Vale

Wengine watacheza kesho tena dhidi ya udinese
 
Mimi nilianza kuishabikia Chelsea tangu 1994 wakati huo kocha akiwa Glen Hoddle. 1994/95 ulikuwa tulimaliza ligi sijui nafasi ya 11 au 12. Champion Blackburn Rovers. Zilikuwepo team machachari akina Middlesbrough, Wimbledon, NottinghamForest. Akina Arsenal afadhali hata sisi
Wewe mkongwe , shikamoo aisee

Humu unaweza kumtolea lugha mbaya mtu, kumbe Ni baba yako kabisa, hiyo miaka Kama mm ndio namiaka miwili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom