Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Nimeeleza clearly faida yake tumiliki mpira then?? tunabeba ubingwa then. Jorginho hata kama ni mzuri hawezi kutuvusha tunakotaka kwenda .period
Sio tu mzuri kwenye umiliki wa mpira, analeta utulivu wa timu na kushusha temple ya mpinzani anaposhambulia sana. Jorginho ni bonge la mchezaji sema wewe unataka jorginho afanye kazi kama ozil, Eric erikisen wakati yeye ni deep playmaker anaichezesha team kuanzia chini na yeye ndio anafanya flow ya team kuwa Nzuri
 
Kwa highlight nimeona kacheza vizuri nimeona katengeneza nafasi mbili Moja ya cross kichwa kikapigwa na Thiago silva kipa akaokoa nyingine kamtengenezea kai akazigua
Kama unazumzia ile nafasi Kai aliyo paisha na left foot basi pasi ilitoka kwa bwana mdogo Conor. Performance ya kawaida mzee labda unamuelewa Sana ziyech
 
Mnafanya masihara kubeba ubingwa wa EPL mbele ya CITY na Liver.

Bado hatuna kikosi hicho cha ubora wa kutopoteza mechi chini ya 3 kwa msimu, hatuna kikosi cha kushinda mechi nyingi mfululizo EPL.

Pamoja na sajili tulizofanya za Sterling + Koulibaly + labda kimpembe

Bado:-

1. Tunahitaji kusajili kiungo mshambuliaji fundi haswa
2. Kiungo mkabaji kusaidiana na Kante
3. Beki wa kulia kusaidiana na James
4. Winga ya kulia wenye uwezo wa kufunga goal 10+ na Assist 10+ kwa msimu
5. Tunahitaji striker wa kufunga goal 15+ kwa msimu.

Kikosi tulichonacho kwa sasa hakina uwezo wa kubeba point 100 EPL, ukweli usemwe.
Ni kweli
 
Mkuu yaani umeyasema kama na mimi ninavyowaza. Usajili unaofanyika kiungo na mbele isipoguswa, EPL forget labda UCL. Viungo tulionao ni wazuri lakini hawako kwenye level ya kutupa EPL, forward tulionao ni wazuri lakini sio agressive wa kufunga magoli yanayotosha kuondoa gap ya kwetu na City na Liver na hivyo kutupa EPL
Usajili tuliofanya ni wa kutubakiza kwenye nafasi ya 3 if God wishes. Labda tuombe Mungu form ya Werner ifufuke, Sterling aendeleze Double dijit kwenye assists na magoli, Havertz afikishe naye double digits angalau kwenye kufunga. Broja naye afikishe double digits kwenye magoli. Ikiwa hivyo tutaondoa gap na inshala Mungu akiwa upande wetu tunaweza beba EPL, out of this luck tuko pale pale.
 
Sio tu Nzuri kwenye umiliki wa mpira, analeta utulivu wa timu na kushusha temple ya mpinzani anaposhambulia sana jorginho ni binge la mchezaji sema wewe unataka jorginho afanye kazi kama ozil, Eric erikisen wakati yeye ni deep playmaker anaichezesha team kuanzia chini na yeye ndio anafanya flow ya team kuwa Nzuri
Then tumsajili sasa atacking midfielder wa kusadiana na Mount ambaye hata ikibidi amweka Mount Bench maana tukiendelea kuwategemea akina Jorgninho na kuwalaumu bure kumbe sio kazi yao
 
Mnafanya masihara kubeba ubingwa wa EPL mbele ya CITY na Liver.

Bado hatuna kikosi hicho cha ubora wa kutopoteza mechi chini ya 3 kwa msimu, hatuna kikosi cha kushinda mechi nyingi mfululizo EPL.

Pamoja na sajili tulizofanya za Sterling + Koulibaly + labda kimpembe

Bado:-

1. Tunahitaji kusajili kiungo mshambuliaji fundi haswa
2. Kiungo mkabaji kusaidiana na Kante
3. Beki wa kulia kusaidiana na James
4. Winga ya kulia wenye uwezo wa kufunga goal 10+ na Assist 10+ kwa msimu
5. Tunahitaji striker wa kufunga goal 15+ kwa msimu.

Kikosi tulichonacho kwa sasa hakina uwezo wa kubeba point 100 EPL, ukweli usemwe.
Atakayekubishia atakuwa na mahaba tu Chelsea. Man City msimu ujao watakuwa moto zaidi ya msimu huu ulioisha. Chelsea bado tiamaji tiamaji. Hatuna Centre forward wa kuogopwa na mabeki. Naona kama usajili wa maana usipofanyika tunaweza kuwa hata chini ya Arsenal na Spurs
 
Swali la msingi je anatufaa kutuvusha kwenye ubingwa? anayo consistency au bado
Akipewa nafasi n akiwa back ya kante n jorginho katika dm atatuvusha
Hatushiriki kwenye ligi tu, tunahitaj kuwa na kikos kipana,
Msim wa kwanza wa Reece James n mount ni tofaut na msim wao wa 2 n 3, unaona kabisa kuna improvement inafanyika
 
JAMES:- Akipata Majeruhi msimu umeisha, Azpi ameshazeeka, Odoi, Pulisic, Cheek kucheza wing back kama mbadala wa James ni wastage of time

CHILWELL:- Akipata Majeruhi msimu umeisha, Alonso kiwango chake hakitabiriki, Ermason hana quality hiyo ya kutisha

KANTE:- Ametumika sana majeruhi yanamsumbua sana, sio wa kumtegemea awepo uwanjani msimu mzima. Hivi karibuni pale tunapomhitaji ndio yuko Majeruhi

KOVACIC:- Ana tatizo la misuli kuwaka moto, hawezi kucheza mechi 10 mfulilizo lazima atakaa nje wiki 2 kuuguza misuli.
Pulisic?
Ziyech no hurry in Africa
Mount - over used
Jorgninho ana tabia ya kuchoka haraka, baada ya halftime hawezi tena kucheza vizuri
Havertz bado anakua
Broja bado anakua
Bado tuna siku 40+ kusajili wachezaji muhimu
 
Mnafanya masihara kubeba ubingwa wa EPL mbele ya CITY na Liver.

Bado hatuna kikosi hicho cha ubora wa kutopoteza mechi chini ya 3 kwa msimu, hatuna kikosi cha kushinda mechi nyingi mfululizo EPL.

Pamoja na sajili tulizofanya za Sterling + Koulibaly + labda kimpembe

Bado:-

1. Tunahitaji kusajili kiungo mshambuliaji fundi haswa
2. Kiungo mkabaji kusaidiana na Kante
3. Beki wa kulia kusaidiana na James
4. Winga ya kulia wenye uwezo wa kufunga goal 10+ na Assist 10+ kwa msimu
5. Tunahitaji striker wa kufunga goal 15+ kwa msimu.

Kikosi tulichonacho kwa sasa hakina uwezo wa kubeba point 100 EPL, ukweli usemwe.
Kwa hali tuliyopitia ni ngumu kufanya sajil zote hizo msim huu, sahiv tupo kwenye rebuilding kama tuchel alivyosema

Tungekuwa hatujapoteza 2CB nasi tungeweza kufanya improvement kayika maeneo yenye shida,
Kuondoka kwa Rudi n AC, kumevuruga kila kitu

Now tunajaribu kuclose gap,

Ngoja tuone msim utakavyokuwa
 
Pulisic?
Ziyech no hurry in Africa
Mount - over used
Jorgninho ana tabia ya kuchoka haraka, baada ya halftime hawezi tena kucheza vizuri
Havertz bado anakua
Broja bado anakua
Bado tuna siku 40+ kusajili wachezaji muhimu
Hatuwez sajil wachezaj 8 ndani ya dirisha moja,never wenzetu sio kama sisi
Maximum itakuwa 6 kwa msim huu kama tetes zinazosema

Ila priority kwa mda huu ni kukamilisha eneo la ulinzi then mid,wingback n striker watafata kama ikiwezekana

Tukubal sasa tuko katika rebuilding na si kufanya improvement, sajil zingine ni winter or summer 2023
 
Usikwepe mada mkuu, Eriksen ni bonge la kiungo, majeraha yale kashapona na ameprove hilo msimu uliopita. Eriksen ni type ya akin Modric wa Real Madrid, anatumia brain sana wakati anacheza tofauti na hawa wa kwetu wa kukariri kama akina Jorgninho. Afadhali Kova na Kante wana style yao ya uchezaji wenye faida kwa timu. Uwezo wa kupeleka mipira mbele, ila Jorginho sionagi faida yake zaidi ya sideways na back passes ili tumiliki mpira kwa 70% huku tunadondosha points
Mkuuu inaonekana eriksen amekuuumiza sana kwenda nyumbu ?pole
 
Ila wanangu, ulinzi ni bora zaidi kuliko kwenye ushambuliaji.
Hakuna ubishi hapo, UEFA mwaka juzi tuliupata kwa hisani ya ulinzi imara
Ila kwa timu kubwa kama Chelsea tuimarishe kote kote, uwezo tunao, sababu tunayo na nia tunayo
Nyuma tukipata CB wawili au watatu wanatosha, kiungo wawili wanatosha, mbele striker mmoja na winga mmoja wanatosha

CBs
  1. Koulibaly - - Mpya (atahitaji rotation ili kupumzishwa)
  2. Silva - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  3. Kimpembe - Mpya au Jules Kound - Mpya
  4. Chalobah - Backup
  5. Levi Colwill - Backup
RB/LB
  1. James
  2. Chilwell
  3. LB Mpya - Backup
  4. RB Mpya - Backup
DMs
  1. Kante - atahitaji rotation ili kupumzishwa
  2. DM Mpya - Backups
CMs
  1. Kovacic
  2. Jorginho
  3. Reuben Lostas Cheek
AMs
  1. Mason Mount
  2. Mpya - Kiungo mbunifu na mfungaji kama Mount au zaidi yake
Wingers
  1. Sterling - Mpya
  2. Werner
  3. Ziyech
  4. Havertz
  5. Mpya - Mfungaji
Striker
  1. Mpya - mfungaji wa 20+ goals
  2. Armando Broja - backup
Hayo mapendekezo imelenga 433 na itahitaji kusajili wapya 9 kama CB ni wawili au 10 kama CB watasajiliwa 3

Kwa 343 haitaji wingers only kuboresha viungo washambuliaji, so watakaoongezeka wanaweza wakawa CB 3, Wing-backs 2, DM 1 na Attacking Midfielder 1 na Striker mmoja jumla 8
 
Chelsea very close to sign Kimpembe
Chelsea very close to sign Jules Kounde
De Jong kaikataa Chelsea kwa sababu haigombei mataji makubwa kila mara

According to Spanish news outlet Sport, Chelsea have been keeping tabs on De Jong’s situation but it is believed that the player is not interested in joining the Stamford Bridge club.
The report from Sport however states that De Jong would be open to a move to Bundesliga side Bayern, where he would be challenging for the top honours regularly whilst being close to his homeland.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom