Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Media ndio zinatuchanganya, upande wa Barcelona wakija na uongo wanauremba kweli kweli
Wapinzani wa Barcelona wakija wanaturemba kweli kweli na kutupa false hopes kibao
Leo tena kun a media wamekuja wakidai Barca wanataka kufanya hijack ya mwisho
Media zingine zinadai Sevilar wanataka kupata cash haraka ili wafanye replacement ya Kounde kabla hawajachelewa
Kounde anadai kaenda kujiunga na wenzake baada ya kuona dili linacheleweshwa na yeye asingeweza kufanya mazoezi spani peke yake. Kaona "that is not professional"
Gerard Romero leo kadai dili tayari imebaki paper works ili Kounde ahamie Camp Nou
View attachment 2301016
Huyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sasa hivi hana wafuasi kwenye news zake
Hata kama Barca watakuja kumsajili Kounde ila taarifa zake nyingi ni za uongo na za uchonganishi
Wanadai Barcelona wametumia usiku kucha wakijadiliana kuhusu mkataba wa Kounde na sasa kumbe ni uongo
Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na Barca na wamesema hakuna hata mawasiliano yaliyofanyika. Barca hawajatuma offer yao hata punje. Tuendelee na hii sinema episode 2
Sevilla describe reports that Barcelona have agreed a deal to sign Jules Kounde as 'totally false'.
 
Huyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sas ahivi hana wafuasi kwenye news zake
Hata kama Barca watakuja kumsajili Kounde ila taarifa zake nyingi ni za uongo na za uchonganishi
Wanadai Barcelona wametumia usiku kucha wakijadiliana kuhusu mkataba wa Kounde na sasa kumbe ni uongo
Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na Barca na wamesema hakuna hata mawasiliano yaliyofanyika. Barca hawajatuma offer yao hata punje. Tuendelee na hii sinema episode 2
Sevilla describe reports that Barcelona have agreed a deal to sign Jules Kounde as 'totally false'.
Huyo jamaa ni mshabiki kindandaki wa Barca
 
TT kadai Koulibaly na Azpilicueta ni kama wako sawa kwa udhamani, Koulibaly 31 Azpi 32, wote ni mabeki, Azpi ni kampteni wa timu
Kwa nini wao walimnunua Koulibaly kwa karibu Euro 40m na wao Barac wanamtaka Azpilicueta kwa bei rahisi?
TT kadai hayuko tayari kumuachia Azpilicueta kwa msimu huu
Nafikiri sas TT ameudhiwa na staili ya Barcelona kwemye ununuzi wa wachezaji kuanzia Raphinha, Kounde na Azpi na Alonso
Chelsea wametaka Euro 8milioni tu ila wao wakashindwa kutoa hizo pesa
End of story
 
Sio ofa kubwa itashinda, hapo ni mapenzi ya mchezaji yatashinda.

Mi nadhani sarakasi zote hizi, Kounde anaitaka Barcelona kuliko THE BLUES.

Barcelona wasipofikia ofa, Kounde anaweza kuamua kubaki Sevilla kumalizia miaka 2 iliyobaki kwenye mkataba wake.

Somo la Raphina & Leeds halijawaingia tuu?
Kounde inawezekana pia ana makasiriko kwasababu walimuacha wakawatafuta kwanza akina Koulibaly na Ake. Walipomkosa Ake ndio wakarudi kwake, sasa anawanyoosha. Ni kama unampotezea demu kwasababu ya mwingine lakini ulipomkosa priority wako ukarudi kwa huyo mwingine. Hata kama anakuzimia lazima kwanza akutikise hata kwa kupita pita na mshkaji mwingine . Ndio TT atajua kuwa Kounde siyo njegere
 
Huyu Gerard Romero ni mwongo kabisa, na sasa hivi hana wafuasi kwenye news zake
Hata kama Barca watakuja kumsajili Kounde ila taarifa zake nyingi ni za uongo na za uchonganishi
Wanadai Barcelona wametumia usiku kucha wakijadiliana kuhusu mkataba wa Kounde na sasa kumbe ni uongo
Nilisema mwanzoni hizi media zitatuumiza vichwa, Sevila wamekana hakuna deal lolote na Barca na wamesema hakuna hata mawasiliano yaliyofanyika. Barca hawajatuma offer yao hata punje. Tuendelee na hii sinema episode 2
Sevilla describe reports that Barcelona have agreed a deal to sign Jules Kounde as 'totally false'.
Gerald Romero kwa habari za Barcelona Ni mnyama ,Fabrizio mwenyewe anasanda

Ni sawa na Matt Law DT kwa habari za Chelsea , au Mark verwij kwa habari za Ajax

Hata Sakata la Raphina ,Romero Ndiye alikuwa anaenda tofauti na waandishi wengi

Had Jana vyombo vingi had Matt Law DT waliliripot KOUNDE anakaribia Chelsea

Cha ajabu Hadi muda huu kimya,

Gelard Romero kwa habari za Barca Ni 99.9% , Huyo anakupa had picha za pale ndani kwa Mateu Alemany

Ni kweli Sevilla wame deny, ila kumbuka mbinu ya Barca anawakamata wachezaji husika sio timu

Unesahau kwa Raphina , Chelsea walimalizana kila kitu na Leeds ,

Barca wakawa wanawachora tu
 
Attachments

  • IMG_20220723_200456.jpg
    IMG_20220723_200456.jpg
    135.4 KB · Views: 11
| Only final details remain for Jules Koundé to sign for FC Barcelona; it is just a matter of time.
[gerardromero] []
 
Kounde inawezekana pia ana makasiriko kwasababu walimuacha wakawatafuta kwanza akina Koulibaly na Ake. Walipomkosa Ake ndio wakarudi kwake, sasa anawanyoosha. Ni kama unampotezea demu kwasababu ya mwingine lakini ulipomkosa priority wako ukarudi kwa huyo mwingine. Hata kama anakuzimia lazima kwanza akutikise hata kwa kupita pita na mshkaji mwingine . Ndio TT atajua kuwa Kounde siyo njegere
Msichojua anachokifanya Barca anawashika wachezaji Kwanza ,

Timu inakuja baadae, Sasa boss wenu anakimbilia kwa timu anaweka ofa, anapokuja kwa mchezaji anakuta chenga tu

Kwa Raphina ,De ligt , Now KOUNDE

Hata kolibaly angechelewa kidogo TU, angeenda Juve, maana Juve alikuwa anasubiria mzigo KUTOKA kwa Bayern wamnunue Koulibaly .

Toka majuz Chelsea kashaweka mezan £55m na mshahara wa £250k+ Sasa subiri uone Barca anakuja kumbeba kwa Bei chee na mshahara kiduchu .

The same kwa Raphina kaenda Barca kwa hela ndogo TU Tena inalipwa kwa mafungu,

Toddy imedhihirika kabisa kwenye Usajiri sio professional yake ,Kuna watu hizo ndio Kaz zao

Pale Barca Kuna Mateu Alemany, alikuwepo pia Muhuni Mwingine Raul sanheil , Barca Ni michezo yao toka wanambeba Neymar .
 
| Only final details remain for Jules Koundé to sign for FC Barcelona; it is just a matter of time.
[gerardromero] []
Gerard Romero hatanii kabisa

Siku zile huku Matt Law DT anasema imebaki personal issue kati ya Chelsea na Raphina

Huku Gerard Romero anasema Raphina to Barca Ni 98%

Huyo Romero kwa habari za Barcelona ,hata Fabrizio akasome

Romero anakupa had video footage za ofisini kwa Laporta ,na Mateu Alemany , anakupa had footage za magari yanayoingia ofisini HQ za Barcelona

Anakupa had ajenda zinazojadiliwa na board ya Barca .
 
🚨🚨| Only final details remain for Jules Koundé to sign for FC Barcelona; it is just a matter of time.
@gerardromero [🎖️]
 
Kwenye Usajiri mwenye nguvu Ni mchezaji

Chelsea anapambana na Sevilla asaini paperwork anasahau Kuna sehemu ya Kounde KUSAINI pia , haya Sasa Barca wanawachora tu .

🚨🚨| FC Barcelona will send a €55M official offer to Sevilla for Jules Koundé soon; the transfer may be completed in the next few hours. @fansjavimiguel
 
Ila Barca kichapo alichompa Chelsea Kwenye dirisha hili la Usajiri hakitasahaulika

Pale Barca Kuna wahuni wanajua kuhijack deals sio poa

Mateu Alemany ,

Halafu changanya na ushawishi wa klabu yao

Yaani wanawapini kabisa wachezaji kuwa wasimsikilize mtu,

Sasa wewe peleka ofa malizana na timu, ukifika kwa mchezaji husika anakupiga chenga

Ona Kwa Raphina, ndio maana Arsenal mapema kabisa wakasema hatutaingia Kwenye biding war , ilikuwa kujiabisha.

Ona mwa Lewandowisk ,wote waliozengea sain yake wamekula za uso akiwepo Chelsea

Now kwa Kounde Chelsea katuma had paperwork ,katuma had bid ya £55m
Akawa anasubiria tu Sevilla wazisaini tu

Barca kaja now anakaribia kumalizia deal

Dirisha ili limekuwa lakimafia sana😂😂😂
 
🚨🚨| Xavi now wants Jules Koundé to join the team as soon as possible.
@EduPolo [🎖️]
 
Jules Kounde, who #Chelsea have agreed a fee with Sevilla for, to Barcelona is just a matter of time. Parties just need to sort out all of the documentation and its details.

[@gerardromero via @ReshadRahman_]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom