Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 11,531
- 18,727
Bila kusahau lile aliwafunga AseNANE
Wnaoniunga mkono tumrudishe Hazard maana nasikia kule hana Raha, amefanywa kama Dodoki
Apunguze mshahara wake tumlipe £150,000/wiki kwa sababu sasa yuko over 30yrs
Akija huku anaweza rudisha ile mentality na munkari wa kufunga
Nakumbuka lile goli alilowafunga Westham alianzia katikati akawalamba chenga walinzi kama wanne kabla hajasunga yeye na kipa tu, Solo goal na goli bora la msimu
Nakumbuka pia aliwatesa sana Liverpool kuna goli moja kwenye Karabao kawazunguka mabeki akian Heanderson wakiwemo na kufunga a beatifull goal
Welcome back to Chelse Hazard uje umalizie ulichokiacha