Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Broja vs Tammy Abraham

Sijawahi kumshuhudia BROJA akicheza, ana ubora zaidi ya Tammy Abraham au yuko chini au viwango vinalingana?
Hata tukiwalinganisha sidhani kama MOU yuko tayari kumuachia Tammy, bond waliyonayo AS Roma ni kubwa mno, kule Tammy anadhaminiwa na Mashabiki na uongozi. Na anaonekana kama mfalme. Huku sisi tulimpuuza na kumdharau, angeendelea kukaa tungempiga na mawe hata kama msimu wake wa kwanza tu alitupa 15+ goals, Tangu aondoke yey ndie top goals scorer hadi leo

Tammy hakuwa mzuri sana zaidi ya striker tuliyekuwa naye ndotoni lakini angetufaa sana kipindi hiki kama angekuwepo. Au ndio laana yake inatuzinga bado
 
Wnaoniunga mkono tumrudishe Hazard maana nasikia kule hana Raha, amefanywa kama Dodoki
Apunguze mshahara wake tumlipe £150,000/wiki kwa sababu sasa yuko over 30yrs
Akija huku anaweza rudisha ile mentality na munkari wa kufunga
Nakumbuka lile goli alilowafunga Westham alianzia katikati akawalamba chenga walinzi kama wanne kabla hajasunga yeye na kipa tu, Solo goal na goli bora la msimu
Nakumbuka pia aliwatesa sana Liverpool kuna goli moja kwenye Karabao kawazunguka mabeki akian Heanderson wakiwemo na kufunga a beatifull goal
Welcome back to Chelse Hazard uje umalizie ulichokiacha
 
Waandishi wa habari wanatuchanganya sana.
Screenshot_20220719-211039_OneFootball.jpg
 
Ofer ya Chelse ya Pound 47m ya kumsajili Kounde imekataliwa na Sevilla

11 hours ago12:05 Charlie Gordon

Chelsea bid rejected​

Chelsea have had a £47million bid for Sevilla defender Jules Kounde rejected, according to GOAL.
That is not expected to be the end of their transfer chase, however, with the Spanish side holding out for £55m and the Blues expected to come back for a second bite at the cherry.
Barcelona are also in the running, which could make matters tricky when it comes to agreeing personal terms.
Chelsea have already signed Kalidou Koulibaly to bolster their defence this summer, and are also in talks to sign Presnel Kimpembe from Paris Saint-Germain.
 
Ampadu naye anataka apewe muda kwenye first team ili aweze kuchaguliwa timu ya Taifa kwenye world cup Dec 2022
Asipopewa? naye atataka kuondoka
 
Tulishafanya sajili kama ya Lukaku na Werner lakini bado hawajaonyesha kile tulichotegemea kutoka kwao zaidi ya kuambulua matusi toka kwa Lukaku.

Sina maana tusisajili ila panic buy zinatuumiza mno na wakati kuna nafasi zinaweza zibwa na mchezaji wa academy ambaye ni mzuri tu
Mfano mzuri yule kinda lewis Hall ni bonge la mchezaji mechi Moja tu aliyopewa kawa man of the match tokea hapo sijaona akipewa nafasi yoyote ndio ninaposhangaa hapo alafu jitu kama sarr jinapewa nafasi pamoja na maboko yake
 
[emoji117] Chief tumefanya jitihada nyingi na kubwa kusajili mastriker, nadhani mwisho wa siku tukubali hiyo no 9 ina mkosi THE BLUES.

[emoji117] Sidhani kama watatokea tena mastriker wengine wakaimudu hiyo nafasi zaidi ya Drogba, Costa na Anelka Mapungo.

[emoji117] Muda mwingine nawaza ubora wa mawinga na attacking midfielders tulionao kwa sasa baada ya Hazard, Willan, Lampard na Fab kuondoka.

[emoji117] Je Lukaku angewakuta wachezaji caliber ya Hazard, Willian na Fab angefail namna hii?

[emoji117] Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hii No 9 THE BLUES.
Umeongea point kubwa sana Diego costa alifaidika sana na ujio wa Fabregas hata Drogba angefunga magoal mengi Sana zaidi ya hapo kama nae angecheza na Fabregas, oscar, hazard ila kilichombeba Drogba akipata nafasi Moja ni goal ingawa alizungukwa na wachezaji wengi wanaopenda kufunga magoal badala ya kutengeneza
 
Broja vs Tammy Abraham

Sijawahi kumshuhudia BROJA akicheza, ana ubora zaidi ya Tammy Abraham au yuko chini au viwango vinalingana?
Broja tokea mechi 1 aliopewa kuingia sub pale Chelsea niliona huyu ni bonge la mchezaji ni mchezaji ambaye ana dribble, analijua goal, alafu ni mzuri kwenye kufanya press kwa opponents kitu pekee kwa upande wangu naona abraham kamzidi broja ni upande wakufanya movement ndani ya box hapa Abraham yupo vizuri zaidi
 
Broja vs Tammy Abraham

Sijawahi kumshuhudia BROJA akicheza, ana ubora zaidi ya Tammy Abraham au yuko chini au viwango vinalingana?
Broja tokea mechi 1 aliopewa kuingia sub pale Chelsea nikiona huyu ni bonge la mchezaji ni mchezaji ambaye ana dribble, analijua goal, alafu ni mzuri kwenye kufanya press kwa opponents kitu pekee kwa upande wangu naona abraham kamzidi broja ni upande wakufanya movement ndani ya box hapa Abraham yupo vizuri zaid
Wnaoniunga mkono tumrudishe Hazard maana nasikia kule hana Raha, amefanywa kama Dodoki
Apunguze mshahara wake tumlipe £150,000/wiki kwa sababu sasa yuko over 30yrs
Akija huku anaweza rudisha ile mentality na munkari wa kufunga
Nakumbuka lile goli alilowafunga Westham alianzia katikati akawalamba chenga walinzi kama wanne kabla hajasunga yeye na kipa tu, Solo goal na goli bora la msimu
Nakumbuka pia aliwatesa sana Liverpool kuna goli moja kwenye Karabao kawazunguka mabeki akian Heanderson wakiwemo na kufunga a beatifull goal
Welcome back to Chelse Hazard uje umalizie ulichokiacha
Sawa wewe unamtaka je team yetu inamuhitaji?
 
Hata tukiwalinganisha sidhani kama MOU yuko tayari kumuachia Tammy, bond waliyonayo AS Roma ni kubwa mno, kule Tammy anadhaminiwa na Mashabiki na uongozi. Na anaonekana kama mfalme. Huku sisi tulimpuuza na kumdharau, angeendelea kukaa tungempiga na mawe hata kama msimu wake wa kwanza tu alitupa 15+ goals, Tangu aondoke yey ndie top goals scorer hadi leo

Tammy hakuwa mzuri sana zaidi ya striker tuliyekuwa naye ndotoni lakini angetufaa sana kipindi hiki kama angekuwepo. Au ndio laana yake inatuzinga bado
Tulishafanys makosa kwa Tammy.

Huyu broja Wala tusimuuze Leo Wala kesho tukomae nae hapo hapo darajani.

Hadi tupate the best of him
 
Tulishafanys makosa kwa Tammy.

Huyu broja Wala tusimuuze Leo Wala kesho tukomae nae hapo hapo darajani.

Hadi tupate the best of him
Ishu wanataka wasettle sehemu moja na sio leo unapigwa mkopo vitesse, msimu unaofuata Dortmund, mara besiktas ..wanataka guaranteed start ndo maana wanaona kutoboa Chelsea itakuwa changamoto Bora waende sehemu nyingine ambapo Wana uhakika

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Tuko serious aisee

Chelsea wamesubmit bid ya tatu ya paundi 55m na inaelekea Sevilar wanaikubali, muda wowote Jules Kounde ni CB wetu wa pili, hata tukimkosa Kimpembe poa tu Levis apate naye nafasi
 
Mifano ni mingi mno. TT keshasema anafanya rebuild haya mnaenda sokoni hakuna mchezaji wa kueleweka unarudi ndani unakuta una silaha kwa nini usiingie nayo vitani hiyo.

Shida watu wanataka kujifananisha na sajili zinazofanywa na Man City na Liver sasa unajiuliza tutampata wapi mchezaji callibre ya Halaand? Lewandowski tulimtaka lakini kilichotokea mnakijua. Hii ndio nafasi yao otherwise kila academy graduates ataona Chelsea sio mahala sahihi kwake.
Lampard japo alikuwa inexperienced coach ali prove kwenye kujenga timu yuko vizuri. Hakuwa na tu na some coaching skills na hakuwa master tactician. Hii uza uza ndio ilitunyima ubingwa msimu uliopita. sasa naona tuko v2.0 ya kuwauza akina Tomori, na kupeleka mkoponi akina Emerson et al.

Niko na wewe kwenye hili, in case you missed my comments target!
 
Tulishafanys makosa kwa Tammy.

Huyu broja Wala tusimuuze Leo Wala kesho tukomae nae hapo hapo darajani.

Hadi tupate the best of him
Hivi mnajuta nini kwa Tammy Abraham jamani? mmekosa vitu vy kujuta.
Broja pia ni wa kawaida sana, chelsea inahitaji striker wa uhakika sio hao wa kuunga unga.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom