Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Jules Koundé has been left out of Sevilla’s squad for upcoming pre-season friendly in Portugal, as negotiations are still ongoing.

It was already decided internally, as Sevilla are in talks to sell Koundé this week.
Huyu Konde boy TT anaemkomalia kila tukiamka siujui uchezaji wake, ni kwamba ni mzuri sana au?
Mana kakomaa tu na konde, naona hata wakiambiwa anauzwa 1000M watatoa.
 
Huyu Konde boy TT anaemkomalia kila tukiamka siujui uchezaji wake, ni kwamba ni mzuri sana au?
Mana kakomaa tu na konde, naona hata wakiambiwa anauzwa 1000M watatoa.
Kounde ni mzuri, ana umri mdogo ataendelea kukua zaidi, mimi namuona Kounde kama the right upgrade ya Christansen, stats nyingi za passing, shooting, scoring, possesion, defensive kampita Christansen
 
Huyu Konde boy TT anaemkomalia kila tukiamka siujui uchezaji wake, ni kwamba ni mzuri sana au?
Mana kakomaa tu na konde, naona hata wakiambiwa anauzwa 1000M watatoa.
Shabiki wa Chelsea hawezi kusema haya maneno
 
Chelsea have so far not been able to find clubs who are willing to pay a fee and take on the big wages to sign the likes of Kepa, Werner and even Batshuayi. AC Milan have held talks over a loan move for Hakim Ziyech, who Chelsea would rather cash in on.

- @Matt_Law_DT
 
Ukishindwa kumsajili Haaland unaweka plan ya kumzuia, huyo dogo sio wa kumjaribu
Nimekuelewa sana mkuu[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sajiri zenu nimezielewa hasa mkizingatia mmeuza beki zenu
Keep it up[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kuna Uzi wa nyumbu kule kuelewana ni ngumu
Jukwaa lote watu wamepata moto muda wote,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Boehly's big plan​

Todd Boehly has talked the talk and now he is walking the walk. The American has pledged to improve Chelsea's global reach as well as continuing to search for ways to work on Stamford Bridge.

Alongside funding transfers this window for Raheem Sterling and Kalidou Koulibaly, as well as more expected to come, he has now decided to enter £800m worth of debt with the club in order to make key structural changes to Chelsea's business model.
 
Huyo bila 100 plus dejong hatok pale. Trust me
Man U wametoa Euro 65m plus 20m addons na wamekubaliwa, hii ya mil 100 umeitoa wapi?
Hata Chelsea wakilipa pungufu kidogo ya Euro 65m, Barca watakubali kwa sababu ni Barca ndio wanaotaka kumfanyia Offloading De Jong

De Jong hataki kwenda Man U kwa sababu hawako UCL
De Jong anapenda kubaki Barca kwa sababu ndio dream team yake
Barca wamempa masharti akubali kupunguziwa mshahara ili aendelee kubaki kitu ambacho kambi ya De Jong hawaliungi mkono

De Jong kasema kama ni kutoka Barca basi iwe ni timu kama Chelsea ambayo project yake iko structured na inaendana na yeye anavyotaka

Chelsea wakipeleka Bid ya Euro 60m plus some addons Barca watamuachia De Jong

Kwa taarifa yako Barcelona wameshaishawishi Chelsea na PSG wamchukue De Jong kwa sababu ni hizi timu zenye sifa anazotaka De Jong

Barca sasa hivi kwa sababu ya matatizo yao ya kifedha wanahitaji wachezaji wa mshara mdogo na ndio maana hata Lewandowski kakubali kupunguziwa mshara wake hadi ikawa below 200,000/week wakati Bayern alikuwa anapokea karibia 400,000/week

TRUST MY WORDS
 
Kounde ni mzuri, ana umri mdogo ataendelea kukua zaidi, mimi namuona Kounde kama the right upgrade ya Christansen, stats nyingi za passing, shooting, scoring, possesion, defensive kampita Christansen
Napenda beki anaejua kupga pasi, kama Silva huwa namuelewa sana.
Rudger alikua mzuri ila kwenye kupga pasi hakua mzur kivile.
 
Hivi hapa duniani kuna wachezaji wao ni wa mkopo tu hadi wazeeke?
Tino ni mmojawao
1658424762237.png
 
Yaan huyu kocha kakomaa na beki tu hakuna kingine amekipanga, na bek zake hizo watu watapita humo humo.
Anunue Dejong abalance team
Na ndio anapofeli , hatuna kiungo mkatili pale Kati na creative WA kutengeneza penetrative passes kama Fabregas au Lampard enzi zake , tutasuffer Sana kama hatupati creative midfielder
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom