[emoji117] Chief tumefanya jitihada nyingi na kubwa kusajili mastriker, nadhani mwisho wa siku tukubali hiyo no 9 ina mkosi THE BLUES.
[emoji117] Sidhani kama watatokea tena mastriker wengine wakaimudu hiyo nafasi zaidi ya Drogba, Costa na Anelka Mapungo.
[emoji117] Muda mwingine nawaza ubora wa mawinga na attacking midfielders tulionao kwa sasa baada ya Hazard, Willan, Lampard na Fab kuondoka.
[emoji117] Je Lukaku angewakuta Hazard, Willian na Fab angefail namna hii?
[emoji117] Kuna maswali mengi sana ya kujiuliza kuhusu hii No 9 THE BLUES.