lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,705
- 25,949
Pamoja na kuwa offer ya kumnunua Jules Koun de imekubaliwa na Sevcilla bado kuna taarifa zimezagaa kuwa Barcelona bado wanamshawishi Kounde akatae offer ya Chelsea ili awasubiri kutoa offer yao
Sasa nasikia Chelsea wamempa ofa Kounde ya kumlipa mara mbili ya mshahara Barc elona wamemuahidi
Vita vya Barca na Chelsea zitaisha lini
Tukumbuke kuwa Xavi ndie alikuwa amebeba jezy namba 6 ya Barcelona tukiwatundika 3-2 nusu fainali za UEFA.
Sasa huyu Xavi naona bado anao uchungu wa wakati huo