Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Dah kweli cheltako mmechoka mnapigwa na vitimu hata havieleweki yani.[emoji16][emoji16]
 
Waliomuona sterling vip wakuu tupeni mrejesho me nimeangalia kipindi Cha kwanza tu
 
Hakuna aliyekuwa sahihi, taarifa zilikanganya

Mechi ilikuwa saa tisa na nusu usiku wa manane, niliangalia tena kwa kubahatisha tu, nilikosa usingizi nikasema ngoja nicheki kuna nini kwenye football news ndio nikakutana na mechi zote za USA zilzichezwa saa tisa. Mancity na Arsenal pia walikuwa wakicheza
Walisubirisha kwa saa moja. Radi ilipiga eneo karibu na venue ya mpira.
 
Tuchel naona hana mpango wa kubadilisha formation msimu huu maana naona hata mechi hizi za kirafiki bado tunacheza na beki wa 3 nyuma
 
TT amjibu Werner
Werner alisema Hana furaha kabisa na anadhani anaweza kuwa na hiyo furaha kwingineko
Anadai hapati Muda wa kutosha Chelsea.
TT kajibu kuwa kijana mdogo mwenye mkataba na Chelsea inatosha kuwa na furaha katika sayari hii
Na kuhusu game time akasema anaweza pata Muda na kupigania nafasi yake Kwa kucheza vizuri zaidi.

TT pia alishangaa kama Werner kayasena hayo.

Mahojiano haya hapa

Did you see his comments in recent days about not being completely happy and that he could be happy elsewhere?

"I'm surprised, I would be very happy as a young guy having a contract at Chelsea Football Club. I would be one of the happiest people on the planet."

He said he hasn't got the game time he perhaps wants?

"So he needs to get his game time."

How does he do that?

"Show quality, take your place and defend your place. I would be one of the happiest people on the planet having a contract with Chelsea. If he said this, I do not understand."

Is he in your plans for next season?

"Sure, he is our player, sure."
 
Waliomuona sterling vip wakuu tupeni mrejesho me nimeangalia kipindi Cha kwanza tu
Aliingia kipindi cha pili hakucheza vizuri sana kwa sababu timu nzima ilikuwa mbovu hasa kule mbele. Chelsea iliweza kupenyeza mpira kwenye final third mara mbili na zote zilifanywa na Sterling. Tusiposajili agresive atacker kule mbele tutasota sana msimu ujao. Chelsea waingie risk ya kusajili CR7 au Ivan Toney.
 
Huyo ivan toney hamna kitu Bora hata broja hapo Cha msingi wamsajili Ronaldo hamna option nyingine zaidi ya hiyo binafsi sikumuelewa TT alivyomkataa Ronaldo as if ana messi
 
Huyo ivan toney hamna kitu Bora hata broja hapo Cha msingi wamsajili Ronaldo hamna option nyingine zaidi ya hiyo binafsi sikumuelewa TT alivyomkataa Ronaldo as if ana messi
Labda wewe ndie humjui Toney
Broja atahitaji msimu au miwili ili kukomaa
 
Huyo ivan toney hamna kitu Bora hata broja hapo Cha msingi wamsajili Ronaldo hamna option nyingine zaidi ya hiyo binafsi sikumuelewa TT alivyomkataa Ronaldo as if ana messi
Ivan Toney akicheza na Sterling anaweza fikisha 15+ goals, so haba. Advantage ya Toney ni strong na clinical
 
Huyo ivan toney hamna kitu Bora hata broja hapo Cha msingi wamsajili Ronaldo hamna option nyingine zaidi ya hiyo binafsi sikumuelewa TT alivyomkataa Ronaldo as if ana messi
Toney anatakiwa Man U na Newcastle, optioin chache zilziobaki sokoni kwa msimu huu, tukishindwa basi CR7 hakuna ujanja
Tatizo la Ronaldo ni brand yake kubwa inaweza kuja kuharibu mfumo wa uchezaji wa TT na kushindwa kufikia malengo
 
Jinsi mnavyosajiri mabeki sijui mmeambiwa nini!!
Ila Ligi ikianza mtu kufanya nyingi itakua kawaida

Mnafanya maamuzi sahihi madogo
Mabeki wetu wenye uzoefu wameondoka. Huku nyuma upepo unapuliza sana. Mtuache tupazibe [emoji23][emoji23]
 
Aliingia kipindi cha pili hakucheza vizuri sana kwa sababu timu nzima ilikuwa mbovu hasa kule mbele. Chelsea iliweza kupenyeza mpira kwenye final third mara mbili na zote zilifanywa na Sterling. Tusiposajili agresive atacker kule mbele tutasota sana msimu ujao. Chelsea waingie risk ya kusajili CR7 au Ivan Toney.
Huyu iva toney kweli angetusaidia. lkn sijui kwa nini kocha wa hamfikirii.
 
Jules Koundé has been left out of Sevilla’s squad for upcoming pre-season friendly in Portugal, as negotiations are still ongoing.

It was already decided internally, as Sevilla are in talks to sell Koundé this week.
 
Jinsi mnavyosajiri mabeki sijui mmeambiwa nini!!
Ila Ligi ikianza mtu kufanya nyingi itakua kawaida

Mnafanya maamuzi sahihi madogo
Ukishindwa kumsajili Haaland unaweka plan ya kumzuia, huyo dogo sio wa kumjaribu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom