Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Attachments

  • cc1464497fdffd11eeaf08982ef6a5de.jpg
    cc1464497fdffd11eeaf08982ef6a5de.jpg
    44.5 KB · Views: 81
Lol, pamoja na ubei mbaya wenu lakini bado mmebamizwa na evarton. Inaonekama ubeimbaya pekee siyo siri ya ushindi.
Yule beimbaya mwingine naye leo kaambulia droo!
 
Maneno ya the Noisy One:

Mourinho: "I don't know to say whether we didn't deserve to lose or to say we deserved to lose - we had 21 chances."
 
.....pana msiba hapa leo, wote wapolee maskini wee
 
Haha Haha Hahaha Hahaha Hahaha ... Breath ..Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha breath .. Hahaha Hahaha Hahaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom