OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Tuliza kijambio hicho, mpira unachezwa uwanjani ..siyo jfFab na Pedro walitoka Barca, Barca hawakuwa washindani wenu kwenye Ligi. Kubeba garasa la washindani wenu ni uthibitisho kuwa hamuwezi kushindana nao.