Zero Conscious
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 254
- 525
Hivi kuna mpango wa kusajili namba Tisa kweli
Hapo koulibaly kamzidi vitu vingi Rudiger
Namnukuu TT alichosema baada ya kuulizwa Hilo swali "Hatuwezi tukasema tutasajili au hatutasajili mshambuliaji bali kwasasa tumejikita kusajili nafasi za mabeki"Hivi kuna mpango wa kusajili namba Tisa kweli
Raheem mara nyingi tu kacheza RW kama alivyocheza LW kwenye 433. pia anacheza kiungo mshambuliaji. So uko so flexible kule mbeleHizo habari sio za kweli halafu pamoja na hivyo tayari tuna Sterling ambaye naturally ni LW tuongeze tena na Leao ambaye naye ni LW hata kama TT atafanya rotation bado hatuna haja ya kufanya huo usajili otherwise labda tuwauze Pulisic na Ziyech kwa pamoja
Kwan kolibaly tayari au bado??
Beki wengi ni bora katika umri wa 28- 35 hapo.Hawa beki zenu zitakuwa majibabu tu
Mzee Koulibaly ni miaka mitano. Mabeki wengi wanakuwa katika ubora mkubwa kwenye miaka ya late 20 to 35Na ndio maana Chelsea wameachana na usajili wa Kounde na Matthijs De Light, too much price tag, akija unampa mkataba wa miaka mitano, akiflop imekula kwako
Koulibaly tayari ameonyesha consistency ya muda mrefu, hauzwi ghali, mkataba mfupi
Hadi miaka miwili au mitatu ifike, kama Colwill, Chalobah hawajauzwa tayari watakuwa wamekomaa na kujifunza kutoka kwa Silva na Koulibaly
Koulibaly haitaji muda kuadapt. Is a world class. Keep my wordsTusubiri tuone, mimi nilimaanisha kuzoea na sio kushindwa kabisa. anaweza akahitaji mechi kadhaa ili azoee
Amefuzu vipimo vya Afya hapo bado kutambulishwa tuKwan kolibaly tayari au bado??
Kwanini?Ni bora zaidi tungeachana na usajili wa Kimpembe
Unateseka ukiwa umevaa kanga au dera.?
Tuliwahi kuwachukua Pedro, Fabregas wakiwa mabench warmer Barca walipivyokuja tulibeba EPL. Hebu niambie benchwarmer gani mbovu ana double figure statistically?
Wakati mwingine ni kheri kujifichia aibu ndogo ndogo kwa kukaa kimya
Ila angaliana ligi aliyotoka huyu ZannaHapo koulibaly kamzidi vitu vingi Rudiger