Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,743
Huyu boss wenu Sasa Hana kazi nyingine ya kufanya tofauti na kununua hii Chelsea,
Huyu boss wenu Sasa Hana kazi nyingine ya kufanya tofauti na kununua hii Chelsea,
Na ifahamike Sarr ana medali ya UEFA,Sterling adai hakujua Malang Sarr anacheza nafasi ipi
Kama lisandro Martinez aliyesajiliwa na nyumbu kutoka ajax anamzuia vzuri Tu sasa washindwe kina koulibalyKwa hiyo mnauhakika beki zenu Zina uwezo wa kumzuia halaand asiwafunge ?[emoji23]
Mshabiki mmoja wa Chelsea kule twitter akasema.Kama lisandro Martinez aliyesajiliwa na nyumbu kutoka ajax anamzuia vzuri Tu sasa washindwe kina koulibaly
Nioneshe sarr akiwa na medali ya PL ,nikuoneshe mbwa anayetagaNa ifahamike Sarr ana medali ya UEFA,
Watakuwa mabeki watatu Moja atakuwa ni kijanaKoulibaly 31 and Thiago Silva 38
Hawa wazee wawili watauweza mchaka mchaka wa vijana kwa mechi 38 za ligi ?
Hii ni POINTLESS kabisa.Fab na Pedro walitoka Barca, Barca hawakuwa washindani wenu kwenye Ligi. Kubeba garasa la washindani wenu ni uthibitisho kuwa hamuwezi kushindana nao.
Daah mzee hili picha umenikumbusha mbali sana jombaa.[emoji117] KARIBU DARAJANI KALIDOU KOULIBALY A.K.A SOLO View attachment 2291156
[emoji23][emoji23] hakikaMshabiki mmoja wa Chelsea kule twitter akasema.
If we can't buy Haaland, we can stop him
Atazifunga sana zile timu ndogo
Liver na city wao wameekeza sana kule mbele
Sisi tunaekeza nyuma
Juzi kwenye jukwa a la liver wameshaanza kuogopa, eti wanasema tunanunua mabasi tu ya kuja kupaki
Hahaa [emoji23][emoji23] ngoja wananchi tumchukue tumlete jangwaniHivi hakuna tim yoyote inayomtaka Malang Sarr
Wamemkosa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2291762
Nioneshe sarr akiwa na medali ya PL ,nikuoneshe mbwa anayetaga
Huyo sarr na medali yake ya uefa hawezi kupata namba hata yanga ....Sasa painkiller matusi ya nini? Unalinganisha PL na UEFA?
UEFA moja sawa sawa na pl 3. [emoji2957][emoji2957] ni vizuri kujibu hoja kwa hoja na si matusi. Mpira burudani mkuu
Nioneshe CL japo moja ya city nikupe kiwanja RoliondoNioneshe sarr akiwa na medali ya PL ,nikuoneshe mbwa anayetaga
PL na UEFA ni ipi medali kubwa kwa upande wako?Nioneshe sarr akiwa na medali ya PL ,nikuoneshe mbwa anayetaga
Kama ni mchango wa timu nzima sasa tuseme wachezaji wa chelsea ni bora kuliko wa kipara?Huyo sarr na medali yake ya uefa hawezi kupata namba hata yanga ....
Kuwa na medali sio mafanikio ,kwani ni mchango wa team nzima sio effort za mtu mmoja