De jong huwa namuelewa sana.De jong ni mtu na nusu ataenda kumchukua namba kwa jorginho unajua Chelsea haina mtu Kwenye nafasi ya number 6 na ndio maana anafosiwa kucheza RLC huyo jamaa atakuwa replacement sahihi ya jorginho na utasaidia jorginho kutocheza mechi nyingi
Todd hakwenda huko kwa ajili ya Azpilicueta na Alonso, wao ndio walitakiwa waje huku. Huyo jamaa mjanja, kaenda kwa ajili ya De Jong. Haingii akilini Barcelona wawatake wachezaji wetu halafu eti sisi ndio tuwafuate ili tukafanyie negotiation kwao kama vile tumewachoka hao wachezaji. Todd ni mjanja sana. De Jong kashasema kama ni kutoka Barcelona anapenda kuja Chelsea zaidi ya Man UnitedThe meeting between Todd Boehly and Barcelona board for Azpilicueta, Marcos Alonso and other topics is scheduled in the coming hours.#CFC
Boehly will directly take care of the negotiations as always - both Azpi and Alonso have an agreement with Barça. Up to Chelsea now.
Source-Fabrizio Romano
Kuondoka kwa wachezaj wanaacha fursa ya kuboresha timu zaidi kama ikichukuliwa positively na managementDuh mbona Chelsea yangu inaisha watu hvy, c wataondoka wote sasa 😎
Kilichompeleka huko ni hiki hapa, achana na blaa blaa za Fabricio Romano naye kuna wakati anapitwa na taarifaThe meeting between Todd Boehly and Barcelona board for Azpilicueta, Marcos Alonso and other topics is scheduled in the coming hours.#CFC
Boehly will directly take care of the negotiations as always - both Azpi and Alonso have an agreement with Barça. Up to Chelsea now.
Source-Fabrizio Romano
Ila una dharau sana! Unaitaje watu matakataka?matakataka mengine huko yanalipwa bila kuzalisha chochote zaidi ya £200,000/week
Yapo mengi tu ukitaka kuyajua utayajua, usipotaka basi tena hata nikikueleza hapa hutaaminiIla una dharau sana! Unaitaje watu matakataka?
Na unaona ni sawa? 😳

Usijali, agent wa de jong yuko london tayari kwa majadiliano kwa sababu dejong alishasema anaitaka Chelsea kwa udi na uvumba. Hawezi kwenda kucheza Europa asubuhi na mapema wakati UCL ipoHii transfer window kila kukicha zinaibuka story mpya
Barcelona are thought to have encouraged Chelsea towards a bid for Frenkie de Jong in the meeting in Spain on Thursday evening. Man United remain 'firm favourites', with level of Blues' interest still unclear.
Kama vipi tufanye Ile swap ya dest na depay
Depay kajazia tu matako, ila hamna kitu mule bora tubak na broja au bila striker kuliko hilo lijamaaTodd kaenda Barcelona pia kuwataka hawa wachezaji kwa ajili ya swoop deal la akina Azpi na Alonso
Gamling labda kwenye mfumo wa TT anaweza fikisha 20+ goals
- Dest ni right back backup ya James
- Depay striker mzuri ila alikuwa ni flop wa manure ila alipokuwa PSV na Lyon (20/21) aliweza kufunga 20+ goals
😂😂 Asubuhi na mapema EuropaUsijali, agent wa de jong yuko london tayari kwa majadiliano kwa sababu dejong alishasema anaitaka Chelsea kwa udi na uvumba. Hawezi kwenda kucheza Europa asubuhi na mapema wakati UCL ipo
Nilicho na uhakika nacho kama tutafanikiwa kumnunua huyu dogo basi tumenunua magoli na assist 20+ kwa msimu mmoja.To be confirmed in next few hours from now...... Karibu Darajani dogo...
Raheem Sterling: Man City forward agrees personal terms with Chelsea
View attachment 2284368
Bado humjui vizuri DepayD
Depay kajazia tu matako, ila hamna kitu mule bora tubak na broja au bila striker kuliko hilo lijamaa
Mkuu hii deal inamuhusu Frankie De Jong au Luuk De Jong hawa wako wawili na Luuk ni ma attacker na Frankie ni midfielder. Yupi tunaye mtaka sisi?Usijali, agent wa de jong yuko london tayari kwa majadiliano kwa sababu dejong alishasema anaitaka Chelsea kwa udi na uvumba. Hawezi kwenda kucheza Europa asubuhi na mapema wakati UCL ipo