Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,069
- 15,754
At least sasa nimeanza kuwa na matumaini na huyu Mangi Boehly
Yule jamaa WA arsenal Mbona hatupi updates kama hizi au yeye anadeal na za raphina TuBeki hiyo hapo mpaka 2027View attachment 2289070

🤣🤣🤣🤣🤣Yule jamaa WA arsenal Mbona hatupi updates kama hizi au yeye anadeal na za raphina Tu![]()
At least sasa nimeanza kuwa na matumaini na huyu Mangi Boehly View attachment 2289165
Huna unachokijua kwenye football kwani lazima nenda hata kwenye midako na RedeChelasea wameshapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Huna unachokijua kwenye football kwani lazima nenda hata kwenye midako na Rede
Ulichoongea akishabiani na kilicho moyoniSasa huyo koulibaly atawasaidia nini kashindwa wasaidia Napoli hadi europa inatolewa kila siku![]()
Unateseka ukiwa umevaa kanga au dera.?Chelasea wameshapigwa na kitu kizito chenye ncha kali, Sterling wamepigwa changa, Jamaa hamna kitu mule.
Yani unachukua mchezaji wa Bench kwenye timu unayotaka kushindana nayo halafu utegemee kushindana nayo.
Dah pep naona ameifanya timu isiwe na guaranteed starter naona kuna time hata riyad mahrez na yeye anakula mbao siku nyingine foden naye anakula mbao ..mara sterling....Je kweli Rahim hana namba The citizens?
Huyu dogo aache ufala. Hajacheza hata minute moja premier league halafu anataka kuwa regular stater?