John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,537
- 3,039
D
Depay kajazia tu matako, ila hamna kitu mule bora tubak na broja au bila striker kuliko hilo lijamaa




daghD
Depay kajazia tu matako, ila hamna kitu mule bora tubak na broja au bila striker kuliko hilo lijamaa




daghFrankieMkuu hii deal inamuhusu Frankie De Jong au Luuk De Jong hawa wako wawili na Luuk ni ma attacker na Frankie ni midfielder. Yupi tunaye mtaka sisi?
Tuchel ndio anamtakaHivi anayemtaka Ake ni Tuchel au nani?mbona tunakomaa na average player kwa bei kubwa si bora hata tumchukue koulibaly atatufaa kwa misimu 3
Aje tu abutue butue hawezi kosa kama lukaku.Ya kweli haya wakuu ? Kama ni kweli hivi tunamwitaji Ronaldo Darajani kweli?
Chelsea are concentrating on deals for Raheem Sterling and Raphinha but have also discussed moves for Cristiano Ronaldo and Neymar.
Hata huuo TT NI AVERAGE MWALIMU HUWEZ MTAKA MCHEZAJI WA HOVYO KABISA YULETuchel ndio anamtaka
Sisi tunamtaka frankie de jongMkuu hii deal inamuhusu Frankie De Jong au Luuk De Jong hawa wako wawili na Luuk ni ma attacker na Frankie ni midfielder. Yupi tunaye mtaka sisi?
Huyo kaishiwa point, yeye ndie kaipotezea Chelsea muda, mlevi mjinga sana huyo. Yeye badala ya kufight anaanza kuropoka na kala mshahara wa bure kabisaDrinkwater on Chelsea nightmare: 'I wasted my best years'
Sasa tunajiuliza hivi huyu jamaa kuna mtu alimzuia asiondoke? si alitata kuendelea kupata mshahara wa bure !!
View attachment 2284159
Huyo Luuk unaanza kumzungumzia wewe, hakuwahi kuwepo kwenye rada za Manure wala ChelseaMkuu hii deal inamuhusu Frankie De Jong au Luuk De Jong hawa wako wawili na Luuk ni ma attacker na Frankie ni midfielder. Yupi tunaye mtaka sisi?
Sasa ninamuelewa Marina kwa nini makocha wengine aliwanyima uhuru wa kuchaguaSiijui kipi Tuchel amekiona kwa Ake mpk akubali kutoa hiyo 45M, while kuna mabek wazuri tu unaoweza wapata chini ya hapo wakina Gleison Breimer, wengineo
AKE sio wa 45M ,
Tunampa City 100M ili adhidi imarisha kikos chake, kwa sterling sina shaka nae ila kwa Ake hapa nikamali
Shida ni kwamba sahiv tim nyingi zishajua tunahitaj beki so lazima watupigehata huyo Pau Torres sio chini ya 50, angalia bei ya de ligt kila siku inapanda.Ni bora kumuamini chalobah kuliko kuchezea pesa kwa Ake. Sometimes makocha ukiwasikiliza sana napo ni tatizo hiyo pesa kuna pau torres ni beki technical na kisiki pia,DOF apatikane haraka ili kocha aweze kutoa deep explanation kwa management kwa kila mchezaji anayemtaka sio kuzoa zoa wachezaji wa bench
Sidhan kama De ligt anadeserve 90M, same to kounde na 60M hawa wote ni potential,Chelsea out of the race to sign Matthijs De Light
Bayern Munic are ready to pay Euro 90m
Sisi tulitoa euro mil 70+werner au pulisicSidhan kama De ligt anadeserve 90M, same to kounde na 60M hawa wote ni potential,
Ukiangalia Klab za seria A wenyewe kwa wenyewe wakiwa wanauziana bei chee sana ila tim ya england ikimtaka huyo mchezaj unapigwa bei kubwa tu
Huyu ndio mchezaji w kununua sasa sio kina Dembele, mara Ake. Utasema TT kawehukaChelsea have offered £50million plus Cesar Azpilicueta and Marcos Alonso for Barcelona midfielder De Jong, according to Sport.
Co-owner Boehly held talks with Barcelona president Joan Laporta on Thursday night and declared that an agreement had been reached, although over what remains to be seen
Meanwihle, Spanish journalist Manu Sainz has said that De Jong’s agent is in London to hold talks with United, who he apparently prefers over Chelsea due to his connection with Erik ten Hag.