juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Chelsea hawakufika kwenye 70+ werner/pulisicSisi tulitoa euro mil 70+werner au pulisic
Offa iliyomjumuisha mchezaji ilikuwa 40-50
Chelsea hawakufika kwenye 70+ werner/pulisicSisi tulitoa euro mil 70+werner au pulisic
Kuna matakataka Chelsea na huyu naye ni mmojawapo. kapewa nafasi aonyeshe anaweza karemba sasa anajisemea tu kama Lukaku na Drinkwater. Mwache aende AC Milan kule ndiko siZe yakeHuyu naye anataka kufosi kusepa View attachment 2284852
Mkataba unahusikaje? itakuwa lugha inakutatiza.Ziyech naye anaropoka kama vile hayupo kwenye mkataba na Chelsea
“I have reached a point in my life where I feel that the time is right for me to take full control of my professional future,” Ziyech stated via Instagram.
“I want negotiations and decisions about my career to be made by me.
“So moving forward, my team and I, together with out legal representatives, will handle the business side of things.
“Professional interest should be directed to the contact info in my bio.
“I remain incredibly grateful for your continued support.”
Hayo nadhani aliyasema kumaanisha atasimamia mwenye mambo yopte ya negotiations baada ya kuacha na agent wakeNakhli Mondial
Hapo nilikuwa sijamuelewa kumbe alikuwa anamaanisha kazi za agent wake atasimamia mwenyewe baada ya kuachana na agent wakeMkataba unahusikaje? itakuwa lugha inakutatiza.
Ndio maana unakuja jukwaa pa the gunners kila mara na kumwaga mitusi yako.Tetesi za timu yangu Chelsea zinaniumiza macho na akili
Subiri combination ya malang sarr na AKeTetesi za timu yangu Chelsea zinaniumiza macho na akili
Em nipe moja ya tusi nililoweka huko gunnersNdio maana unakuja jukwaa pa the gunners kila mara na kumwaga mitusi yako.
Mi naona sasa hivi miaka ya karibuni ulaya Hamna real football talents , yapo magalasa Tu yanayokuwahyped na maagent ili kuuzwa Kwa bei kubwa lakini Hamna kitu , huyo Sterling ,Ake na wajinga wengine ndio WA kuuzwa Kwa hiyo BEI ? Au Yule beki kilaza WA juve ? ,Huu ujinga Huu ndio unaziangamiza timu nyingi ,ndio Yale Yale ya Lukaku , mi napenda philosophy ya Liverpool ,wako makini ,na wananunua real talents at a genuine price angalia sajili zao zote ,Ila Chelsea sasa ,duh ! ,Wananunua matakataka mpaka aibu tunaona Sisi mashabiki.Shida ni kwamba sahiv tim nyingi zishajua tunahitaj beki so lazima watupigehata huyo Pau Torres sio chini ya 50, angalia bei ya de ligt kila siku inapanda.
Ake ni mzuri ila sio kwa hiyo bei,
Soko lishaharibika sasa hivi 40 inaoneka kama 10-20 ya kipindo kile, na 80-100 inaonekana kama 50 ya miaka ua nyuma
Matunda ya DoF tutayaona winter or summer ijayo, ila kwa sasa hata akipatikana hawez leta sajil nzuri kwa haraka
Kwenye usajili ukitoa msim ule wa lampard aliowasajul werner,ziyech kai,silva na ule wa jm wa costa,silva,felipe luisYani sijui TT kaona nn kwa Ake wakati anakaa bench pale man city hivi hawaoni kolibaly, Kimpembe wa psg kuna bremer wa torino huyu de ligt tuachane naye hawa juve wanataka kutupiga hela
Kazi tunayo kwa kweli msimu ujao kwanza tupo slow kwenye usajiri mpaka inaboa sasa huyu Todd badala kutafuta sporting director anazunguka yeye sijui kule spain jana alienda kufanya nn