Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Huyu beki cjawahi mfatilia kw ukaribu, nasikia ni mbovu. Kwa nn chelsea wanamng'ang'ania, si wamwache aende bayern

Report: Chelsea have made strongest bid to sign 'generational' talent, his club are getting very agitated​

Chelsea have reportedly made the strongest offer to Juventus to try and sign defender Matthijs de Ligt.

Huyu De Light ninamkubali, ni future CB mzuri na ana miaka 22 tu, ana uzoefu kibao tangu akiwa Ajax aliiwezesha Ajax kufika nusu finali za UEFA ikiziangusha miamba mikubwa kama Real Madrid na Juventus mwaka 2018/19. Tangu 2016 amekuwa first starter Ajax kabla ya kuhamia Juventus 2019. Sasa ana uzoefu wa first team kwa miaka 5. Pia March 2018 alitangazwa kuwa Nahodha wa Ajax na kuwa mchezaji wa kwanza kuwekwa kuwa nahodha katika umri mdogo wa miaka 18 tu
Karibu Chelsea De light
View attachment 2270743
Huyu De Light ni CB mzuri sana. Aliwahi tu kwenye form mbaya alipohamia Juventus lakini baadaye akarudi kwenye form. Kwa historia yake na umri wake ni promising CB mzuri. Ni mbaya tu Juve wameamua kukazana na price tag kubwa. Tangu akiwa na miaka 16/17 amekuwa akicheza kwenye first team Ajax na baadaye Juve, na pia amewahi kutangazwa nahodha wa Ajax akiwa na 18 yrs. Kwa umri wake na profile ya mafanikia yake sina shaka juu yake. Akikaa na kocha mzuri anaweza kuwa asset kubwa
 
1657112806021.png
 
This transfer window is a torture ...bad for the mental health of Chelsea fans.
  1. Morning: Chelsea Pursuing Ake
  2. Afternoon: Tuchel prefers Koulibaly
  3. Evening: Chelsea in advanced negotiation for de ligt
  4. Midnight: Boehly ready to bid for Kimpembe.
 
Hivi ronaldo galasa ndo anataka aende Chelsea?, huo utani ndugu
 
Raheem Sterling accepted Chelsea as future destination weeks ago after direct talk with Tuchel - and personal terms fully agreed, he’ll be among best paid players.

Chelsea and City, set to agree final fee around £45m and then it will be completed.
 
Naona kabisa Either Chelsea o Bayern wakipay 80M kwa De ligt, huku Release Claus yake ni 100M

Saiv Juve wanachofanya nikumskiliizia mwenye bid kubwa
 
Kwa hiyo mmeamua kumchuku Sterling na kumpa 300k per week any way leteni hio pesa kuliko mchezaji aondoke bure
 
🎖| Xavi has spoken with Kounde 3 times during the summer and the player really wants to play for Barcelona. [@gerardromero] #fcblive
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom