Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mliingilia Dili la Arsenal ,kwa Raphina mkajiona wajanja

Haya Sasa ,Barca leo kapata mzigo, anajipanga muda huu kulipa pesa Leeds

KARMA

[emoji779]️Early reports, pending further confirmation, from @_pauljoyce (top for Premier League clubs) that Barça are ready to rival for Raphinha, with a bid worth up to £60M (€69.6M) expected soon. #Transfers [emoji1054][emoji599]
Shida ligi za wakubwa hamuziwezi nyie. Kakomaeni na kina Jesus na ile skeleton Vieira
 
Free agent ambao tunaweza kuwasajili bure kabisa, ngoma tu ipo kwenye personal terms
  1. Alessio Romagnoli (CB)
  2. Christian Eriksen (CM)
  3. Ousmane Dembele (RW)
 
Attachments

  • IMG_20220701_142413.jpg
    IMG_20220701_142413.jpg
    150.8 KB · Views: 17
Shida ligi za wakubwa hamuziwezi nyie. Kakomaeni na kina Jesus na ile skeleton Vieira
Hata Jesus mlimtaka , Ukweli usemwe

Na mshukuru Barca anahaha Hana hela

Raphina ana buy time aende Barca

Akija Chelsea mjiandae kuwasumbueni,

Arsenal tumejitoa ,Deco muhuni tu,

Now tunafocuss kwa mwanetu Gnabry
 
Hata Jesus mlimtaka , Ukweli usemwe

Na mshukuru Barca anahaha Hana hela

Raphina ana buy time aende Barca

Akija Chelsea mjiandae kuwasumbueni,

Arsenal tumejitoa ,Deco muhuni tu,

Now tunafocuss kwa mwanetu Gnabry
Hizo ni tetesi tu na usiamini kila unachokiona mtandaoni. Leo hadi Neymar tunahusishwa nae kama tukihitaji tutamchukua tusipohitaji tutaacha zibaki kuwa tetesi. Arsenal saiv mshapoteza competitive advantage ndio maana hata tukiingia kwenye battles za usajili hamna uwezo wa kushindana na timu kama Chelsea, Liver au Man City.

Hebu niambie unahisi kwa hali mliyonayo mnaweza kumshawishi Gnabry kuja kwenu aachane na wale giants wa Germany? Aje acheze na Odergaard, Nketiah Saka sijui na wakati kule ana Muller, Sane, Musiala na Bado kaongezewa Mane. Hivi m amshawishi vipi au kwakua alianzia kwenu?
 
Yeye kasoma Asernal keeping tab on Gnabry akadhani ni kusajili
Keeping tabs kwa kimasai cha ughaibuni ni kumezea mate
Gnabry ameamua kubaki Bayern na amekataa ofa ya Real Madrid sembuse hata kuiwazia Arsenal!!
 
unaleta Takwimu uchwara Toa Takwimu yake ya magoal kwa mechi alizocheza linganisha na za sterling tuone?
 
🚨 || Barça & Leeds, about to close the deal for Raphinha. Barça offers a figure around €60m (£52m). Barça & Raphinha agree a salary of €6m (£5m) net PA. Player turned down Newcastle in recent days [Via - @GerardRomero].
 
Barcelona have come up with the money for Raphinha, he may have been happy with Chelsea’s terms but Barca we’re always his number 1 choice. Deal very close!
 
Tajiri wa Chelsea hakujipanga kila deal anaparamia , Kwa Richarlson kashindwa, Jesus kashindwa, Kwa Raphina Hadi Sasa kawachunia licha ya kufika Bei kwa Leeds

Now Raphina close to join Barcelona

By Gerard Romero Tier 1 for Barcelona news

Watu wanamsubirri ROMANO aachie bomu 🤣🤣🤣😃
 
Let’s all laugh at Chelsea 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣😂😂😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
🚨 BREAKING: Barcelona have reached a agreement in principle for Raphinha.🇧🇷 #FCB #CFC #LUFC

(via @gerardromero)
 
Sana sana Ni tumepata hasawa ya £90 kwa kumtoa Lukaku kwa Mkopo
 
🗣 @gerardromero: “There is an appointment scheduled by Raphinha to look at a house in Barcelona near the beach” #Transfers 🏡🏝
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom