Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

20220630_191316.jpg

Oooh make it happen.
 
Neymar analipwa £600K
Mbape analipwa £1m

Kilichawafanya PSG kutaka kumuuza Neymar au kumtoa mkopo ni huo mzigo wa Mbape
 
Nimeona vitetesi vya Silva kumtaka neymer Chelsea aisee asije yule ashazeeka hana.maajabu tena. Majeraha, na starehe zake boli astaafu tu
 
Msimu unaisha leo Chelsea hakuna walichofanya
Wenzao wamekuwa bussy here and there ila wao ni bla blaa tu mwisho wa siku Raphina tunamkoa, Sterling tunamkosa tutabakiwa na akina Bakayoko, Batchuayi na Barkley!!
 
Mliingilia Dili la Arsenal ,kwa Raphina mkajiona wajanja

Haya Sasa ,Barca leo kapata mzigo, anajipanga muda huu kulipa pesa Leeds

KARMA

❗️Early reports, pending further confirmation, from @_pauljoyce (top for Premier League clubs) that Barça are ready to rival for Raphinha, with a bid worth up to £60M (€69.6M) expected soon. #Transfers 🇧🇷🚨
 
Naona bosi wenu amekuja na idea ya ku-hijack wachezaji wa watu.

Kwa kifupi mnadandia treni kwa mbele.

Yaani timu zishakaa na mchezaji zishasuka mipango yao, mwishoni nyie ndo mnakuja na vipesa vyenu vya mkopo. Watu wamehangaika kuweka mambo sawa nyie mnakuja kutibua.

Ndo ishakua tabia yenu sasa, mchezaji akihusishwa na Spurs, Arsenal, n.k. na nyie mnaleta pua yenu baadae.

Kwani hamuwezi kuanzia mazungumzo na mchezaji wa peke yenu mpaka mdandie mizigo ya watu? Au hamjui mnachokihitaji kwenye dirisha hili?

Ya Raphinha bado hayajaisha mmeenda kudandia gari la Conte, eti na nyie mnamtaka Richarlison wakati watu washakubaliana kila kitu. Tena kwa kujipendekeza mmeweka £60 mil (£10 mil zaidi ya ile waliyotoa Spurs).

Kwanini hiyo pesa msilipe kwa Sterling au Dembele ambao mpo wenyewe hamna competition? Au hamjiamini na sajili zenu?

Nzi wa buluu nyie!
 
Msimu unaisha leo Chelsea hakuna walichofanya
Wenzao wamekuwa bussy here and there ila wao ni bla blaa tu mwisho wa siku Raphina tunamkoa, Sterling tunamkosa tutabakiwa na akina Bakayoko, Batchuayi na Barkley!!
Dirisha linafungwa september mosi,

Tetesi zinasema deal la sterling lishakuwa agreed,
 
Naona bosi wenu amekuja na idea ya ku-hijack wachezaji wa watu.

Kwa kifupi mnadandia treni kwa mbele.

Yaani timu zishakaa na mchezaji zishasuka mipango yao, mwishoni nyie ndo mnakuja na vipesa vyenu vya mkopo. Watu wamehangaika kuweka mambo sawa nyie mnakuja kutibua.

Ndo ishakua tabia yenu sasa, mchezaji akihusishwa na Spurs, Arsenal, n.k. na nyie mnaleta pua yenu baadae.

Kwani hamuwezi kuanzia mazungumzo na mchezaji wa peke yenu mpaka mdandie mizigo ya watu? Au hamjui mnachokihitaji kwenye dirisha hili?

Ya Raphinha bado hayajaisha mmeenda kudandia gari la Conte, eti na nyie mnamtaka Richarlison wakati watu washakubaliana kila kitu. Tena kwa kujipendekeza mmeweka £60 mil (£10 mil zaidi ya ile waliyotoa Spurs).

Kwanini hiyo pesa msilipe kwa Sterling au Dembele ambao mpo wenyewe hamna competition? Au hamjiamini na sajili zenu?

Nzi wa buluu nyie!
Chelsea waliweka pesa plus player Ambayo ilikuwa ni ndogo, n hawakumatch bid ya spurs
 
Chelsea’s negotiations with Juventus over a move for Matthijs de Ligt are progressing and are prepared to allow Pulisic or Werner to move in opposite direction while talks continue over Nathan Ake's return. #CFC #Juventus

(via @Matt_Law_DT)
 
Mliingilia Dili la Arsenal ,kwa Raphina mkajiona wajanja

Haya Sasa ,Barca leo kapata mzigo, anajipanga muda huu kulipa pesa Leeds

KARMA

️Early reports, pending further confirmation, from @_pauljoyce (top for Premier League clubs) that Barça are ready to rival for Raphinha, with a bid worth up to £60M (€69.6M) expected soon. #Transfers
Leeds hawana shida, shida iko kwa wakala wa mchezaji DECO ambaye alikubaliana na Barce tangu january,

Barce wanataka kutoa 60 na sisi tumetoa 65 n barce inabidi wamatch bid yetu
by kesho Majibu yatakuwa yashapatikana
 
Naona bosi wenu amekuja na idea ya ku-hijack wachezaji wa watu.

Kwa kifupi mnadandia treni kwa mbele.

Yaani timu zishakaa na mchezaji zishasuka mipango yao, mwishoni nyie ndo mnakuja na vipesa vyenu vya mkopo. Watu wamehangaika kuweka mambo sawa nyie mnakuja kutibua.

Ndo ishakua tabia yenu sasa, mchezaji akihusishwa na Spurs, Arsenal, n.k. na nyie mnaleta pua yenu baadae.

Kwani hamuwezi kuanzia mazungumzo na mchezaji wa peke yenu mpaka mdandie mizigo ya watu? Au hamjui mnachokihitaji kwenye dirisha hili?

Ya Raphinha bado hayajaisha mmeenda kudandia gari la Conte, eti na nyie mnamtaka Richarlison wakati watu washakubaliana kila kitu. Tena kwa kujipendekeza mmeweka £60 mil (£10 mil zaidi ya ile waliyotoa Spurs).

Kwanini hiyo pesa msilipe kwa Sterling au Dembele ambao mpo wenyewe hamna competition? Au hamjiamini na sajili zenu?

Nzi wa buluu nyie!
Unateseka ukiwa wapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom