Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,507
- 14,804
That was quick
Ili kubalance vitabu hakuna namna lazima atauzwa tuRaphinha ni mchezaji mzuri na work rate yake uwanjani ni kubwa Sana lakini Chelsea wasifanye upuuzi wa kumuuza Ziyech.Man city imekuwa team Bora Sana kwasababu Wana depth squad yenye Quality mfano anaweza akatoka KDB anaingia Gondogan sasa sisi tunatakiwa tuwe hivi kwasababu tuna mashindano mengi kuna tatizo pia la injuries tutafanya ujinga kumuuza Ziyech kitu tunakiwa tuwe Na wote kwa pamoja Raphinha na Ziyech tutafute mtu upande wa james kwa upande wa Benchilwell kuna Alonso sio mbaya, mabeki wawili na kiungo mmoja biashara imeisha tutakuwa Bora sana
Kumtegemea Alonso kama backup ya chilwell tutaendelea kupiga kelele msim unavyokuwa unaendelea,Raphinha ni mchezaji mzuri na work rate yake uwanjani ni kubwa Sana lakini Chelsea wasifanye upuuzi wa kumuuza Ziyech.Man city imekuwa team Bora Sana kwasababu Wana depth squad yenye Quality mfano anaweza akatoka KDB anaingia Gondogan sasa sisi tunatakiwa tuwe hivi kwasababu tuna mashindano mengi kuna tatizo pia la injuries tutafanya ujinga kumuuza Ziyech kitu tunakiwa tuwe Na wote kwa pamoja Raphinha na Ziyech tutafute mtu upande wa james kwa upande wa Benchilwell kuna Alonso sio mbaya, mabeki wawili na kiungo mmoja biashara imeisha tutakuwa Bora sana
Kuna mambo mengi yanafanywa kimya kimya now, Jana asubuh taarifa ilikuwa tuko interested n jion booom deal agreed,That was quick View attachment 2276052
Mechi za mwisho mwisho Alonso kakichafua Sana kumbuka game ya Liverpool alichofanya na pia kuna emerson, hatuwezi tukasajili wachezaji kwenye maeneo ambayo tunaunafuu wakati tuna mapengo maeneo mengi unapaswa kulijua Hili kwanza kule upande wa James hatuna mtu kabisa tunabidi kuongeza kiungo jorginho na kanye wameanza kuchoka, kuna nafasi za mabeki wawili na winga wa kulia striker pale Kati sio Sana kama tukiwaamini Kai na broja watatupa magoalsKumtegemea Alonso kama backup ya chilwell tutaendelea kupiga kelele msim unavyokuwa unaendelea,
Lazima tutafute mtu anayeweza tupa hata nusu ya anachotupa kile anachotupa chilwell
Alonso katika mechi 10 atacheza mechi 1 vizuri zingine ovyo,Alonso sio wakutegemea kama back up,
Angalia James n Chilwel walivyokuwa wanaelewana halaf angalia Alonso n James wakicheza unaona kabisa upande wa james unapigwa pini coz alonso hatupi anachotupa Chilwell
Mbona Man city hakuna hiki kitu wakati wanawacheza wanalipwa hela kubwa tu kuliko hata mshahara wa Ziyech hivi unajua Ziyech analipwaje?Ili kubalance vitabu hakuna namna lazima atauzwa tu
Vitabu sio kwenye mishahara kwenye kuuza na kununuaMbona Man city hakuna hiki kitu wakati wanawacheza wanalipwa hela kubwa tu kuliko hata mshahara wa Ziyech hivi unajua Ziyech analipwaje?
Mashoga na shoga zao yameshauteka mpira.Huko ulaya kuna timu ipi haisapoti ushoga?
Alonso anataka kurudi Spain,Mechi za mwisho mwisho Alonso kakichafua Sana kumbuka game ya Liverpool alichofanya na pia kuna emerson, hatuwezi tukasajili wachezaji kwenye maeneo ambayo tunaunafuu wakati tuna mapengo maeneo mengi unapaswa kulijua Hili kwanza kule upande wa James hatuna mtu kabisa tunabidi kuongeza kiungo jorginho na kanye wameanza kuchoka, kuna nafasi za mabeki wawili na winga wa kulia striker pale Kati sio Sana kama tukiwaamini Kai na broja watatupa magoals
Jez bado tu kutangazwa ila kila kitu kiko tayar.Hivi kuhusu swala la jeziza msimu unao limekaaje? Maana hata tukikamilisha sajili yoyote tutamtambulisha mchezaji kwa jezi gani?
Hata mimi nampendelea Raphina kuliko Dembele, Dembele goigoi hataiweza EPLHawa ndio wachezaji wa kuwachukua, sio kina Dembele kha!
Ila bado three wataendelea kumbe walikuwa na mkataba wa miaka miwili hadi msimu wa kiangazi wa 2023 na wameshatangaza kwamba wanaondoa suspension yao ili waendelee kuwa main sponsorJez bado tu kutangazwa ila kila kitu kiko tayar.
Maybe watatangaza tutakaporudi kwa ajili ya maandalizi ya Pre season
Kuna watu wengine sijui hizo bundle mnaiba au mnahongwa
Bosi asifanye swoop yeyote, wamnunue tu Delight hata kwa mil80, timo bado anatufaa au kama anaondoka auzwe bei nzuri ya 50mHao Juve watakua watakua wagonjwa wa akili sio bure
Mkuu ninacho amini kama kila kitu kipo tayari hakiwezi kufichwa kama bangi au isubirie wakati fulani ndio zitangazwe nasema hivyo kwa sababu za kibiashara. Mimi nahisi swala la mdhamini bado halijakaa sawa maybe ndio maana bado hazijatoka rasmi, nyingi zinazotoka ni MAKISIO ya zitakavyokua.Jez bado tu kutangazwa ila kila kitu kiko tayar.
Maybe watatangaza tutakaporudi kwa ajili ya maandalizi ya Pre season
Hao wanajaribu tu. Hapo achukuliwe kama alivyoBosi asifanye swoop yeyote, wamnunue tu Delight hata kwa mil80, timo bado anatufaa au kama anaondoka auzwe bei nzuri ya 50m
Ndg, sidhani kama Chelsea watamuuza, tatizo kubwa Ziyech asipopewa muda wa kucheza kama anavyotaka anakasirika na anaweza kulazimisha kuondoka mwenyewe. Kinachotokea kwa Ziyech ndio hiyo. Mimi nadhani kocha atumie tu rotation nzuri ila kila mchezaji acheze. Deep squad madhara yake ni baadhi ya potentially best players wanaweza kuondoka. Gabriel Jesus, Raheem Sterling, Zinchenko wanataka kuondoka city kwa sababu hiyo ya kutopewa muda wa kutosha. Mimi nadhani squad iwe deep strategically katika mazingira ya kuwezesha kila mchezaji apate muda wa kutosha kuchezaRaphinha ni mchezaji mzuri na work rate yake uwanjani ni kubwa Sana lakini Chelsea wasifanye upuuzi wa kumuuza Ziyech.Man city imekuwa team Bora Sana kwasababu Wana depth squad yenye Quality mfano anaweza akatoka KDB anaingia Gondogan sasa sisi tunatakiwa tuwe hivi kwasababu tuna mashindano mengi kuna tatizo pia la injuries tutafanya ujinga kumuuza Ziyech kitu tunakiwa tuwe Na wote kwa pamoja Raphinha na Ziyech tutafute mtu upande wa james kwa upande wa Benchilwell kuna Alonso sio mbaya, mabeki wawili na kiungo mmoja biashara imeisha tutakuwa Bora sana