Ziyech anaubaya gani mbona ajafeli kama vile unavyotuaminisha Ziyech kabla ajapata injury alikuaje?Sio wote wanaouzwa ni wabaya, hata Lukaku mimi sijaamini kama ni mbaya kivile. Sio wachezaji wote wanaendana nafalsafa na staili ya uchezaji anayotaka kocha. Ziyech ameshindwa kufit in kwa TT, Werner kashindwa kufit in, Pulisic mimi namuona yuko vile vile alivyokuwa Ujerumani. Lukaku totaly kashindwa kuingia kwenye mfumo wa TT, Wachjezaji wote hao ni wazuri lakini sio kwa TT style of playing. Njia pekee ni kuwauza au kuwafanyia swap ili tupate wanaoendana na kocha. Sababu kuu ni hiyo
Umeongea kitu Cha msingi sana huyu sio Tajiri ni mpiga miluzi tu wa mtaaniSiku nilipogundua Tajiri wa Chelsea Ni mpare na dalali ,alipoambiwa na mancity bei ya Rahim Ni €55-60m ,yeye kaenda na €35m ,
Huyu boss wenu tapeli tu,
Jules kounde ataenda Barca
Mnamfukuzia De ligt beki ambaye pale Juve Ni mchomaji mzuri ,ikabidi awe anawekwa bench na wale wazee wawili .
Juve wanataka wawapige ,
Ziyech ni failed project kwetu, anakiwango kizur ila amefail emulate ile form yake ya Ajax,.Kama chelseafc itamuuza Ziyech utakuwa ni upuuzi wa kiwango Cha grade 1
Unafkiri chelsea itatoa hela za kununua wachezaji wote hao, unaotaMimi naona Dembele ataendana sana na Havertz, Gallagher, Rahim Sterling, Werne, Odoi na Mount bila kumsahau Broja
Katikati Kovacic, Sangare, Kante na Harvey watafanya kazi hiyo na nyuma watakuwepo Chilwell, James, Silva, Kounde na Kimpembe wakisaidiana na Levi Colwill, Chalobah, De light, Lewis Hall na Dumfries. Wakati makipa watatu, Mendy atasaidiwa na Strakosha na Slonina
Mount --- Havertz -- Dembele (New)
Chilwell --- Kovacic --- Ibrahim Sangare (New) --- James
Kimpembe (New)-----Silva --- Kounde (New)
Mendy
Sub/Rotation
- Thomas Strakosha (GK) - New
- Gabriel Slonina (GK) - New
- Levi Colwill (CB) -Academy
- Chalobah (CB)
- Matthijs de Ligt (CB) - New
- Dumfries (RB) - New
- Lewis Hall (LB) -Academy
- Kante (DM)
- Harvey Vale (MF) -Academy
- Odoi (Forward)
- Werner (Forward)
- Conor Gallagher (Forward) - On Loan
- Raheem Sterling (Forward) - New
- Armando Broja (Striker) - On Loan
Hata kama lakini ndio umuuze Ziyech ukanunue Dembele kweli? ?Ziyech ni failed project kwetu, anakiwango kizur ila amefail emulate ile form yake ya Ajax,.
Mkuu hakuna offer yoyote ambayo imepelekwa City, next week ndio huenda offer ikapelekwa huku tim ikiamini itampata kwa kias cha 45M kama bei ya Jesus, huku zingine zikiwa kweny add ons,Siku nilipogundua Tajiri wa Chelsea Ni mpare na dalali ,alipoambiwa na mancity bei ya Rahim Ni €55-60m ,yeye kaenda na €35m ,
Huyu boss wenu tapeli tu,
Jules kounde ataenda Barca
Mnamfukuzia De ligt beki ambaye pale Juve Ni mchomaji mzuri ,ikabidi awe anawekwa bench na wale wazee wawili .
Juve wanataka wawapige ,
Ndio,Hata kama lakini ndio umuuze Ziyech ukanunue Dembele kweli? ?
De ligt ni beki mzuri kwa team zinazopenda kukaa na mpira,Kama tukifanya upuuzi wa kumbadilisha werner+40M kwa De Ligt ntaona kweli huu ndo mwanzo wa kuanguka kwa chelsea. De ligt ni beki wa kawaida mnoo wakat werner kuna kipindi anatusaidia sana.
Kwa kigezo gani unahisi Labda atafunga goli 20+Liverpool wanmtaka Timo Werner, Klop ni admirer wa muda mrefu wa Timo Werner, akienda Liverpool atakuwa akifunga 20+ goals na atakuwa threat kubwa kwa Chelsea bora aende AC Milan
Mfumo wa Klopp wa direct play ndio unaomfit Werner na akina Lukaku, huu mfumno wetu wa back passes, sideways passes and don't care mtu akifika golini anajipigia tu ndio moja ya sababu hao wakashindwa kufungaKwa kigezo gani unahisi Labda atafunga goli 20+
Mwenye pesa kashasema atanunu wachezaji sita wewe unatia shaka. Na hao sita kwa mil 200, tukiuza takataka zikaongezeka 100m tunaweza piga hadi wachezaji nane. Hapo vipiUnafkiri chelsea itatoa hela za kununua wachezaji wote hao, unaota
Tulimtaka kama huyu, pesa kidogo, wachezaji wa maana. Manure na Chelsea imeproove failure kwenye kununua wachezaji wa bei mbaya. Sisi sote tunaona City na Liver kwa sehemu kubwa imejengwa na wachezaji wa Mil 30-50 na wanafanya vizuri. City walijaribu kutumia pesa nyingi kwa Grealish ameflop. Wachezaji wengi wa pesa nyingi wanaflop kwa sababu wakija mashabiki na uongozi na kocha wanakuwa na too much expectation kwakeSiku nilipogundua Tajiri wa Chelsea Ni mpare na dalali ,alipoambiwa na mancity bei ya Rahim Ni €55-60m ,yeye kaenda na €35m ,
Huyu boss wenu tapeli tu,
Jules kounde ataenda Barca
Mnamfukuzia De ligt beki ambaye pale Juve Ni mchomaji mzuri ,ikabidi awe anawekwa bench na wale wazee wawili .
Juve wanataka wawapige ,
Ziyech hakucheza kama alivyokuwa AjaxZiyech anaubaya gani mbona ajafeli kama vile unavyotuaminisha Ziyech kabla ajapata injury alikuaje?
Kama tukifanya upuuzi wa kumbadilisha werner+40M kwa De Ligt ntaona kweli huu ndo mwanzo wa kuanguka kwa chelsea. De ligt ni beki wa kawaida mnoo wakat werner kuna kipindi anatusaidia sana.
Report: Chelsea have made strongest bid to sign 'generational' talent, his club are getting very agitated
Chelsea have reportedly made the strongest offer to Juventus to try and sign defender Matthijs de Ligt.
Huyu De Light ninamkubali, ni future CB mzuri na ana miaka 22 tu, ana uzoefu kibao tangu akiwa Ajax aliiwezesha Ajax kufika nusu finali za UEFA ikiziangusha miamba mikubwa kama Real Madrid na Juventus mwaka 2018/19. Tangu 2016 amekuwa first starter Ajax kabla ya kuhamia Juventus 2019. Sasa ana uzoefu wa first team kwa miaka 5. Pia March 2018 alitangazwa kuwa Nahodha wa Ajax na kuwa mchezaji wa kwanza kuwekwa kuwa nahodha katika umri mdogo wa miaka 18 tu
Karibu Chelsea De light
View attachment 2270743
Nilifafanua vizuri uzuri wa Matthijs de Ligt kuanzia akiwa Ajax, kupewa kuwa captain kwenye umri wa miaka 18, kuiwezesha Ajax kufika nusu fainali za UEFA kwa kuzidondosha timu kubwa kama akina Juve na Real Madrid nk. Kwa miaka mitano akiwa kwenye first team ameprove kuwa ni talented and prospect mzuri wa CB kwa sasa na hapo baadaye. Ana miaka 22 tu na tayari anakuja na uzoefu wa miaka mitano. No question about thatDe ligt ni beki mzuri kwa team zinazopenda kukaa na mpira,
Juve ya sasa ni mbovu, hata Lampard alituaminisha Rudiger ni mbovu ,ila tuchel akamfanya Rudiger awe mmoja kati ya mabeki wazuri,
Unadhani kwa kipindi cha lamps madrid hata wangejaribu kumsogelea Rudi, kuna muda makocha wanawafanya wale wachezaj wakawaida waonekane wazuri
Miaka ile tunamsajili Gary Cahil or David Luiz ingekuwa miaka hii watu tungepinga coz tunataka wachezaj wenye majina makubwa hata kama hawaendani na philosof ya kocha,
Kama tunataka kushindana tumpe kocha wachezaj anaowataka then tumjaji kutokea hapo
Umekariri Sana hao wakuendana na TT ni wakina Nani mbona kai hata Takwimu zake haziridhishi mbona uzungumzii Hili Ziyech angekuwa anacheza na striker anayejitambua angekuwa na assist nyingi kuna game alitengeneza nafasi 6 kwenye game 1 na hakuna hata aliyefunga goalZiyech hakucheza kama alivyokuwa Ajax
Kwa zaidi ya misimu 6 Ziyech alikuwa ni mchezaji wa goal involvement 20+
Alipokuwa FC Twente kwa misimu miwili na baadaye Ajax misimu minne Ziyech alihusika (goal+assists) na magoli 20+ kila msimu
Alipokuja Chelsea
Msimu wa kwanza alihusika na magoli 5
Msimu huu ulioisha alihusika na magoli 7 ya ligi
Ajax kwenye UEFA alifunga hadi goli 5
Chelsea kafunga maximum goli 2
Takwimu hizi zinaonyesha kuwa Ziyech hataweza kufikia kiwango chake cha Ajax chini ya TT kwa hiyo njia ya kistaarabu ni kumruhusu tu aondoke ili tuweze kuleta wachezaji watakaoendana na TT
Naheshimu fikra zako na mitazamo yako tuishie hapoUmekariri Sana hao wakuendana na TT ni wakina Nani mbona kai hata Takwimu zake haziridhishi mbona uzungumzii Hili Ziyech angekuwa anacheza na striker anayejitambua angekuwa na assist nyingi kuna game alitengeneza nafasi 6 kwenye game 1 na hakuna hata aliyefunga goal