Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Inasemekana kuwa usajili wa Lukaku imewekwa kwenye rekodi ya "EPL Worst Signing of All Time"
Mchezaji kanunuliwa Paundi mil 100, halafu analipwa mshahara mkubwa wa paundi 325,000 kwa wiki, halafu kafunga goli nane tu kwenye mechi 26 halafu ndani ya miezi sita anasema anataka kurudi Inter halafu ndani ya msimu mmoja anatolewa mkopo wa Euro mil 10 halafu ndio ikaishia hivyo hivyo tu
1655856959470.png
 
LUKAKU TO INTER HERE WE GO!
  1. Mkopo ni wa Euro mil 8 tu kwa msimu mmoja wa 2022/23
  2. Addons ya Euro mil 4.5 Inter ikishinda aidha, Serie A, UCL au Europa
  3. Mkopo haina kipengele cha kununuliwa hivyo Lukaku bado ni mchezaji wa Chelsea kwa msimu wa 2023/24 na kuendelea
  4. Lukaku amekubali mshahara wake wa Paundi 325,000 kwa wiki urengetwe na kuwa mdogo
  5. Kwa jinsi Lukaku alipokasirika na kwa jinsi alivyomkasirisha TT sidhani kama atarudi labda TT asiwepo Chelsea
  6. Baada ya wiki Lukaku ataenda kupimwa mkojo, damu na 12345 na siku hiyo hiyo atatangazwa kama mchezaji wa Inter
1655895526554.png
 
Barcelona wamejitoa kwenye kumsajili Jules Kounde kazi imebaki kwa TT na Toddy
Hakuna mshindani tena na kijana anapenda kuichezea Chelsea
 
New Era Begin Here we go​

Chelsea Football Club announces new Board of Directors and leadership changes​

Chelsea Football Club today announced a series of appointments to its Board of Directors and other leadership changes.​

'As custodians of Chelsea FC, we now begin executing our long-term vision and plan for the Club, creating an outstanding experience for its passionate, loyal fans, and continuing to challenge for top honours in line with Chelsea FC’s decorated history,' said Todd Boehly, co-controlling owner of Chelsea FC, and chairman and CEO of Eldridge. 'Working together, side-by-side, we are firmly committed to winning, both on and off the pitch. For us, that effort has begun.'
'As the new era of the Boehly-Clearlake ownership begins, we are excited to build a championship organisation and grow Chelsea FC as a global platform,' said Behdad Eghbali and José E. Feliciano, co-controlling owners of Chelsea FC, and co-founders and managing partners of Clearlake Capital. 'We look forward to backing Thomas Tuchel, Emma Hayes and their teams, and will provide proactive, unbending support to make Chelsea’s loyal fans and our partners proud.'
Boehly has been named chairman of the board of Chelsea FC effective immediately. Chelsea FC’s other confirmed board members include:
• Behdad Eghbali and José E. Feliciano, co-controlling owners of Chelsea FC, and co-founders and managing partners of Clearlake Capital
• Mark Walter, co-owner of Chelsea FC, co-founder and CEO of Guggenheim Partners, owner of Los Angeles Dodgers, Los Angeles Lakers, and Los Angeles Sparks
• Hansjörg Wyss, co-owner of Chelsea FC, founder of the Wyss Foundation
• Jonathan Goldstein, co-owner of Chelsea FC, co-founder and CEO of Cain International
• Barbara Charone, director and co-founder of MBC PR
• Lord Daniel Finkelstein OBE, columnist and former executive editor of The Times
• James Pade, partner and managing director of Clearlake Capital
The announcement includes the departure of Marina Granovskaia, director of Chelsea FC. Boehly will operate as interim sporting director until the Club names a full-time replacement, continuing the Club’s work towards its targets during the current transfer window. Chelsea FC and Ms. Granovskaia have agreed that she will remain available to Boehly and the Club for the duration of the current transfer window, to the extent required to support the transition.
'We thank Marina for her many years of excellent service to the Club and wish her all the best in her future ventures,' added Boehly.

"THE BEST WAY TO GET STARTED IS TO QUIT TALKING AND BEGIN DOING" - Walt Disney
 
Kuna timu zina masihara.

Barcelona na Coutinho.

Barcelona na Griezmann

United na Pogba.

United na Lukaku.

Chelsea na Kepa.

Chelsea na Lukaku imetufungia msimu. 100M na kumrudisha walikomtoa kwa 8M.

Na kitu cha ukweli ni kwamba Lukaku kaflop Chelsea lakini anarudi Inter akiwa top scorer wa msimu.

Na Inter inaplan ya kutumia 40M kumnunua huyu jamaa endapo ataperform vizuri.
 
Taja na wale wa Arse8
 
Chelsea have confirmed director Marina Granovskaia will leave the club at the end of the summer transfer window, with co-controlling owner Todd Boehly named chairman and interim sporting director.

1655903828071.png
 
New Era Begin Here we go​

Chelsea Football Club announces new Board of Directors and leadership changes​

Chelsea Football Club today announced a series of appointments to its Board of Directors and other leadership changes.​

'As custodians of Chelsea FC, we now begin executing our long-term vision and plan for the Club, creating an outstanding experience for its passionate, loyal fans, and continuing to challenge for top honours in line with Chelsea FC’s decorated history,' said Todd Boehly, co-controlling owner of Chelsea FC, and chairman and CEO of Eldridge. 'Working together, side-by-side, we are firmly committed to winning, both on and off the pitch. For us, that effort has begun.'
'As the new era of the Boehly-Clearlake ownership begins, we are excited to build a championship organisation and grow Chelsea FC as a global platform,' said Behdad Eghbali and José E. Feliciano, co-controlling owners of Chelsea FC, and co-founders and managing partners of Clearlake Capital. 'We look forward to backing Thomas Tuchel, Emma Hayes and their teams, and will provide proactive, unbending support to make Chelsea’s loyal fans and our partners proud.'
Boehly has been named chairman of the board of Chelsea FC effective immediately. Chelsea FC’s other confirmed board members include:
• Behdad Eghbali and José E. Feliciano, co-controlling owners of Chelsea FC, and co-founders and managing partners of Clearlake Capital
• Mark Walter, co-owner of Chelsea FC, co-founder and CEO of Guggenheim Partners, owner of Los Angeles Dodgers, Los Angeles Lakers, and Los Angeles Sparks
• Hansjörg Wyss, co-owner of Chelsea FC, founder of the Wyss Foundation
• Jonathan Goldstein, co-owner of Chelsea FC, co-founder and CEO of Cain International
• Barbara Charone, director and co-founder of MBC PR
• Lord Daniel Finkelstein OBE, columnist and former executive editor of The Times
• James Pade, partner and managing director of Clearlake Capital
The announcement includes the departure of Marina Granovskaia, director of Chelsea FC. Boehly will operate as interim sporting director until the Club names a full-time replacement, continuing the Club’s work towards its targets during the current transfer window. Chelsea FC and Ms. Granovskaia have agreed that she will remain available to Boehly and the Club for the duration of the current transfer window, to the extent required to support the transition.
'We thank Marina for her many years of excellent service to the Club and wish her all the best in her future ventures,' added Boehly.

"THE BEST WAY TO GET STARTED IS TO QUIT TALKING AND BEGIN DOING" - Walt Disney
Sio mbaya wakianza kuclarify Kwa maneno kabla ya kazi kuanza
 
Kilichomfanya Mounrinho na Chelsea kuwa tishio kwa awamu zote mbili za 2004/5, 2005/6na 2013/14 ni hizi hapa
  1. Mou alipewa mamlaka yote kuwasajili wachezaji walioendana na falsafa yake
  2. 2004/5 alimsajili Petr Cech, Drogba 2005 akamuongeza Michael Essien, 2006 akawaongeza Ashley Cole, Solomon Kalou na Michael Ballack,
  3. 2013/14 akawasajili akina Thibaut Courtois, Willian, André Schürrle, dirisha dogo la January akaongeza Nemanja Matic, na 2014 akasajili Cesc Fabregas kutoka Barcelona, Diego Costa kutoka Atletico De Madrid
Na wachezaji hao wote waliendana na jinsi Mou alivyotaka, ya kujilinda sana na kushambulia kwa kushtukiza yaani Counter attck.
Vurugu mechi ikaanza baada ya Mou kutoak makocha waliokuja hawakupewa mamlaka ya kuchagua wachezaji aliowataka kwenye mfumo wake
Hata Conte alikuja akakuta bahati nzuri kulikuwa na asilimia kubwa ya wachezaji wanaofaa kwenye mfumo wake ila walimfanyai umafia mkubwa kwa kuwaletea wachezaji kama akina Drnkwater, Zapacosta, Bakayoko na wengine ambao kwakweli wameendelea kuwa mzigo kwa timu hadi leo

Sasa Uongozi mpya wakitaka kurudisha stori hii njema ya wakati wa Mou kwa kuhakikisha Tuchel anapewa wachezaji wanaoendana na mfumo wake na sio kuwaleta wachezaji kama akina Lukaku, Werner wanaolalamika eti mfumo wa Kocha hauendani nao.

Turudishiwe enzi hizo timu ikiingia kucheza unatulia kwa amani na kinywaji chako kuangalia burudani sio kama sasa kazi kubana miguu na kuomba ama mechi iishe mapema au ligi iishe mapema ili tujipange upya
 
Manchester United and #Chelsea are both interested in making Michael Edwards their next sporting director.

[via @MailSport]
 
Gleison Bremer ni beki mzuri sana huyu, Chelsea wakifanikiwa kumleta na Kounde tutakuwa tumemalia kuziba nafasi ya Rudiger na Christansen
Anaweza kukaba agressively na anaweza kushambulia agresively. Chelsea go for him stop scouting too much
1655975628057.png
 
Chelsea wanamtaka Michael Edwards kama Sporting Director
Na kwa sababu Boehly alishasema yeye anapenda kufanya usajili kama wanavyofanya Liverpool na kwa sababau hiyo hiyo Michael Edwards ndie alikuwa injiini ya usajili wa style anayopenda Boehly, kuna kila uwezekano Boehly akamng'ang'ania Edwards ili alete uzoefu wake Darajani.
Pia sambamba na hili wachunguzi wa mambo wanadai huyu huyu Edward ndie aliweza kubaghain Salah akaletwa Anfield kwa dau la Mil 38 tu kutoka AS Roma na pia huyu huyu Edwards ndie atakayekuwa na influence kubwa wapi Salah awepo mkataba wake ukiisha mwakani na kama Liver watashindwa kumlipa mshahara anaotaka.
Kuna uwezekano mkubwa Salah akarudi darajani mwaka ujao kama Todd atamchukua Michael Edwards
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom