juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,952
- 5,438
Wachezaj tuchel anaowataka ndio hao wakina Sterling,Raphinha,Dembele na Richarlison based na taarifa zinazotoka,Umekariri Sana hao wakuendana na TT ni wakina Nani mbona kai hata Takwimu zake haziridhishi mbona uzungumzii Hili Ziyech angekuwa anacheza na striker anayejitambua angekuwa na assist nyingi kuna game alitengeneza nafasi 6 kwenye game 1 na hakuna hata aliyefunga goal
Ukweli ni kwamba tunawachezaj wazuri ila wameshindwa kutupa kile tulichotarajia ambacho walikuwa nacho huko walipotoka.
Tukubali tu kuanza upya sio kosa,
Tumpe tuchel kile anachohitaj na ajenge tim kutokana na misingi yake
m naona mpk apate chance flan ambazo hazina ugumu sana ndo afunge....
muda utaongea